Hizi ndizo kero za muungano wetu.

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,681
1,698
Mh Hamadi Rashid katueleza hati ya mahakama aliiwasilisha kwa Maalim Seif lakini mkutano ukaendelea na kumfukuza yeye na wenzake kadhaa.
Mwanasheria mkuu katika serikali ya Jamhuri katueleza kuwa kama CUF waliikaidi amri hiyo basi inavunja KATIBA.
Jamhuri ya Muungano wa TANZANIA ina nchi ndani yake iitwayo Zanzibar, ina KATIBA na MAHAKAMA yake.
Swali:=
1. Kikao cha CUF kilifanyika Zanzibar chini ya Katibu Mkuu ambaye ni Makamu wa Kwanza wa Zanziar sasa HR kawakilisha amri ya mahakama kutoka Dar, je Maalimu Seif hakuwa sahihi kuikataa? Nadhani ingetoka mahakama ya Zanzibar angiheshimu.
2. Maalimu Seif kutotekeleza amri hiyo ya mahakama ya Dar ina maana CUF imevunja KATIBA, je ni katiba ipi kati ya hizo mbili?
NASISITIZA KIKAO KILIFANYIKA ZANZABAR NA MAALIMU SEIF JAPO NI KATIBU WA CUF LAKINI PIA NI MAKAMU WA KWANZA WA SERIKALI YA ZANZIBAR.:A S embarassed:
 
Back
Top Bottom