idumu
Member
- Jun 5, 2009
- 44
- 1
Nani anapicha za watu walioathirika na maji machafu ya mgodin, Jana CH 10 walionyesha, TUNAZIOMBA TUZIPELEKE HAKI ZA BINDAMU HAWA WAZUNGU WAUAJI KABISA.
Haiwezekani, Mwanasheria Tindu Lisu alisema, Anaomba msaada kutoka kwa wananchi kuunga mkono yale yanaendelea huko, Pia Rais wetu mstaa alipokea DHAHABU KUBWA SANA HUKO GEITA miaka ya nyuma na alikana, Jana ch 10 wameitoa hiyo baada ya mtu mmoja kupiga simu toka ZNZ na kudai yeye ni shahadi na aliwahi kufanya kazi mgodini GEITA. Watz wa TARIME MKO WAPI// Ng zetu wanakufa. Tunamkumbuka sana CHACHA WANGWE.