Hizi ndio zama za mababu watoa tiba. Tujihjadhari.

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,684
8,832
Kuna babu wa Mbeya, yuko maeneo ya Sae. Kuna babu wa Tarakea, Mpanda nako kaibuka babu kwenye pori la Katavi anagawa dawa kama babu wa Loliondo.
Je ni wapi taifa linakoelekea? Je tunasonga mbele kimaendeleo au tunarudi nyuma?
Sipondi tiba asili, naziheshimu na kzithamini sana. China tiba zao zote ni za asili, zimepimwa, zimetafitiwa na kuthibitishwa.
Msiahangae next week mkisikia Nazjaz yuko Tanga anatoa dawa baada ya kuoteshwa na Mtume Mohamed S. A. W
 
good observation

tuko katika wakati wa hatari sana kiimani mpendwa, lakini hatimaye neno litashinda

Glory to God
 
miaka yote hakuna sehemu isiyokuwa na watabibu asilia kwani huduma za mahospitali hazijaenea hasa vijijini..na wengi lazima wawe watu wazima kwani ni kazi za kurithi na kupata uzoefu kutoka kwa waliotangulia,muda wa kufunzwa na kupractice mpaka kuja kukabidhiwa mikoba baada ya kifo cha mhusika au uzee huwa ni mrefu hivyo si ajabu tabibu mpya nae kuwa tabibu kamili wakati tayari ni mtu mzima au Babu
ulitarajia kule katavi mtu akiumwa na nyoka atapelekwa sumbawanga mjini hospitali?
no cars,no good roads, no health centres...hivyo lazima mababu wapo tu...wa ukweli na wa bla bla
ila hili la mbabu huyu anaevuma liko tofauti na limeshuhudiwa na wengi tofauti wakiwemo wasomi nk hivyo sioni kama linafanana
 
kuna uncle wangu leo amefariki wakati akirudi nyumbani baada ya kunywa dawa kwa babu, ina maana hakupona ugonjwa wake.
 
Hujaugua!

PJ hili nalo ni jambo...kuna post moja nimeweka story ya mama mmoja mlokole alienihubiria kumuona babu mchawi lakini mama ake alipozidiwa mbaya akatuma fedha kisirisiri apelekwe kwa babu.......

Tuamini analosema au analotenda?
 
Every body must die regardles anaumwa au haumwi na haijalishi kapata kikombe au hajapata
 
Pole kwa kufiwa na mpendwa wako. Hata kwenye hospitali za Ulaya kuna wagonjwa wanakufa.
kuna uncle wangu leo amefariki wakati akirudi nyumbani baada ya kunywa dawa kwa babu, ina maana hakupona ugonjwa wake.
 
Kuna babu wa Mbeya, yuko maeneo ya Sae. Kuna babu wa Tarakea, Mpanda nako kaibuka babu kwenye pori la Katavi anagawa dawa kama babu wa Loliondo.
Je ni wapi taifa linakoelekea? Je tunasonga mbele kimaendeleo au tunarudi nyuma?
Sipondi tiba asili, naziheshimu na kzithamini sana. China tiba zao zote ni za asili, zimepimwa, zimetafitiwa na kuthibitishwa.
Msiahangae next week mkisikia Nazjaz yuko Tanga anatoa dawa baada ya kuoteshwa na Mtume Mohamed S. A. W
hapo red alikamatwa jumatatu ya wiki hii na wana kijiji wakamwambia atafute njia ingine ya kukusanya hela.Aliomba msamaha kwa kulia kama toto vile.
(siwasemei mababu wengine) ila wa Tarakea alikuwa anaganga njaa.
 
PJ hili nalo ni jambo...kuna post moja nimeweka story ya mama mmoja mlokole alienihubiria kumuona babu mchawi lakini mama ake alipozidiwa mbaya akatuma fedha kisirisiri apelekwe kwa babu.......

Tuamini analosema au analotenda?

Amini neno la Mungu.
 
hapo red alikamatwa jumatatu ya wiki hii na wana kijiji wakamwambia atafute njia ingine ya kukusanya hela.Aliomba msamaha kwa kulia kama toto vile.
(siwasemei mababu wengine) ila wa Tarakea alikuwa anaganga njaa.

Makubwa haya jamani duh!??! Mijitu inaganga njaaa sio tunaiabudu
 
Back
Top Bottom