Hizi ndio kauli za Dr. W. P. Slaa....!

Ndio maana JK akienda mahali utasikia akiahidi Ohhh...! Shule zote za kata nitawawekea Maabara na waalimu wataletwa...! Hivi, je, wakati hizi shule zingijengwa, maabara na waalimu hayakuwa kwenye utaratibu?
 
Hizo ni baadhi tu, jiulize watanzania wamewekea Bold mambo hayo.

na kama mengine ni ya uwongo basi waseme mbona kimya? au ndo wanaendelea kuyatungia. Maana majibu kwa dr. Slaa mwaka huu ni mazito kweli kweli.
Atawatoa jasho sana!

DR SLAA ana upeo wa juu sana. Ukifuatilia hotuba yake utaona kuwa alichokuwa anaongea ni policy related issues. Kwa level ya presidency uwezi ikuwa unaongelea consumer lists. Barabara, hospitali, shule ni kazi ya msingi ya serikali iliyoko madarakani. Juzi au jana, JK alikuwa alipokuwa Karatu alikuwa anazungmzia kuisha kwa swala la maji wakati tayari kuna mradi wa maji. kuna tija hapo?. Je mgombea ubunge atajinadi kwa lipi? Pia aliuliza kama wana-Karatu hawajachoka kuwa na upinzani for 15 year? ipi ni miaka mingi ktk utawala ya upinzani 15 kwa Karatu au 49 ya CCM?

Kifupi ni kwamba kwa ngazi ya uraisi kinachotakiwa ni unaboreshaji huduma za kijamii na kwa serikali kuangalia itakabiliana vipi na changamoto za mfumuko wa bei. Haya na mengine mengi yanahitaji kutizamwa kwa sera husika mfano fiscal policy. Bahati mbaya utashi huu CCM hawana ni Business as usual. Ndio utaona ahadi za mgombea Urais kwa tiketi ya CCM anaongelea majukumu ya msingi ya serikali kama barabara, maji, etc wakati hakuna sera nzuri za kusupport anachosema. Nasema hakuna sera nzuri kwa sababu 50 years later huwezi kuwa unatoa ahadi zilezile. Kutokuwa na sera makini ndio maana utasikia mgombe Uraisi wa CCM kwa mfano anatangaza kupandisha hadhi za hospitali kuwa za rufaa. Kimsingi kwa wananchi haijalishi hadhi ya hospital wanachotaka ni huduma iwe karibu nao. watu wnahitaji zanahati zilizo na matabibu na vifaa.
 
11. Uongozi si elimu peke yake, bali uadilifu, uaminifu na kuchapa kazi pia ni sehemu ya uongozi. Balali (RIP) aliyeiibia Serikali ni PhD "holder".
12. Tutaanza mchakato wa Katiba mpya baada ya siku 100 nikiwa Ikulu, ili uchaguzi wa 2015 tuingie kwa katiba mpya.
13. Kiravu anatakiwa awajibu watanzania kuwa, Marmo alituambia (bungeni) karatasi za kupigia kura zitachapishwa hapa nchini na mashine zimeshanunuliwa, Tume inatuambia wamechapisha Uingereza, Je ruhusa hiyo walipata wapi? Je zile mashine zilizonunuliwa kwa pesa ya watanzania nani tumshitaki?


Nadhani hiyo kauli ilimfanya JK apoteze fahamu kidogo maana imegonga palepale penyewe. Hivi kwenye ule mdahalo JK na wapambe wake walikuwa IKULU au walikuwa wapi wakiangalia DR akimwaga sera zake
 
Sikilizeni hii ya CCM:

WAZIRI wa Nishati na Madini, William Ngeleja, amesema kiasi cha asilimia 30 na 45 ya mapato ya madini ya dhahabu yanayochimbwa kwenye migodi mikubwa hubaki hapa nchini na si asilimia 3 kama inavyodaiwa na baadhi ya wanasiasa wanaosaka kuingia Ikulu kwa kuwahadaa wananchi.

Aliyasema hayo jana jijini Mwanza wakati akizungumza na waandishi wa habari.

Alisema, wawekezaji huchukua kati ya asilimia 55 na 70, na hiyo asilimia 97 inayodaiwa na upinzani ni propaganda za kisiasa zenye lengo la kupotosha jamii.

Alisema kutokana na mfumo wa uendeshaji wa migodi uliopo, serikali imekuwa ikipata faida ya madini kutoka katika vyanzo vitano tofauti vya mapato na siyo aina moja ya asilimia tatu ya mrahaba ambayo hata hivyo imeongezeka kuanzia mwezi huu.

Alifafanua kuwa mrahaba huo ni moja ya vyanzo hivyo vya mapato vilivyomo katika mfumo wa kodi inayotozwa kwenye migodi ya dhahabu wakati madini ya vito kama almasi na tanzanite, hutozwa mrahaba wa asilimia 5.

Alivitaja vyanzo vingine vya mapato vinavyolipwa na migodi mikubwa ya madini kuwa ni pamoja na kodi ya mapato kwa asilimia 30, mapato kutokana na kodi ya zuio asilimia 10 na kodi ya zuio kwenye huduma za kitaalamu ambayo ni asilimia 5 kwa makampuni ya ndani na ya kigeni asilimia 15.

Aidha Ngeleja alisema michango ya hisani imekuwa ikitolewa na migodi kwa ajili ya maendeleo ya wananchi wa maeneo yanayozunguka migodi ambayo sasa baada ya sheria mpya kuanza kutumika, ni asilimia 0.03 ya pato la uzalishaji wa mgodi ambapo awali walikuwa wakitoa dola 200,000 kwa halmashauri.

Waziri Ngeleja alisema migodi ya Geita (GGM) na Resolute wa Luthu wilayani Nzega, imekuwa ikilipa kodi hizo tangu mwaka 2008 huku mingine ikifanyiwa tathmini ili ianze kulipa kodi husika baada ya kuwa imerejesha mitaji.

Migodi itakayoanza kulipa kodi zote hivi karibuni baada ya tathmini ni pamoja na ile ya Buzwagi, Tulawaka, North Mara na Bulyankhulu inayomilikiwa na kampuni ya Barrick African Gold.

Source:Habari Leo

My take:Huo mrahaba wa 3% anaousemea WN unatosha?

alichosema Dr. Slaa ni kuwa tunahitaji win win situation na siyo huyo ngeleja anazungumzia asilimia wakati tukijua kabisa CCM ni mabingwa wa takwimu na siyo fact tunahitaji fact na siyo takwimu hatuli takwimu sisi
 
Mi jamani juzi nilikuwa nasisimka tu jinsi Rais Slaa alivyokuwa anaeleza na kunadi sera zake, huyu jamaa ni kiongozi kweli na anauchungu na nchi hii kiukweli, real kama watanzania hawatamchagua Dr Slaa watafanya kosa la jinai.JK kazi yake ni nunadi bajeti iliyopitishwa na bunge lililo na wabunge wa upinzani, sioni jipya kwake kabisaaaaa.Tarehe 31 tusifanye kosa tumchague Dr slaa atuongoze ndiye chaguo la Mungu.
 
  1. monduli wanaishi maisha magumu.
  2. tanzania bila ccm inawezekana, na kuendelea kukaa na ccm ni maafa makubwa.
  3. kama ningesema uongo kuhusu ufisadi wa jk na waswaiba wake, mbona sichukuliwi hatua?
  4. ukitukanwa, angalia, puuzia na uondoke. Ukipigwa kofi, mgeuzie na la pili...!
  5. sipendi kwenda ikulu huku damu zikimwagwa, au kuwaacha watanzania wakiwa vilema kwa ajili yangu...!
  6. nipo tayari kula mihogo ikulu, ili mtoto wa tanzania asome...!
  7. siendi kuwa raisi wa afrika mashariki, bali wa jamhuri ya muungano wa tanzania...!
  8. kodi ya saruji kutoka tanzania ni 18%, kenya 15% na uganda 16%....! Eti ndio makubaliano yaliyowekeana kwenye jumuiya ya afrika mashariki...!
  9. ninazo nyaraka kuwa serikali ya tanzania imefanya partial payments huko canada kwa ajili ya mabango ya ccm...!
  10. sikatai kujiunga na jumuiya ya afrika mashariki, lakini lazima tufanye maandalizi kuwapatia watanzania elimu itakayowawezesha kuingia kwenye ushindani...!
  11. nk

tanzania bila ccm haiwezekani kabisa
 
14. nitapunguza kodi kwenye baadhi ya vifaa vya ujenzi km bnati na sementi ili wanachi wangu wajenge nyumba nzuri na za kisasa
 
15. Hakuna idara au kitengo cha serikali ambacho chenyewe kinaruhusiwa kuiba (Meremeta)
 
Urongo mwingine huu hapa:

The government is sourcing funds for the implementation of a 30bn/- water project in Simanjiro District, Manyara Region.

The CCM presidential candidate Jakaya Kikwete disclosed the multi-billion water project at a campaign rally held at Orkesmet Township, Simanjiro District in Manyara Region yesterday.

“It is a huge project which needs a lot of money but if elected, my government will ensure that it is implemented immediately,” he said.

He said feasibility studies have been completed and that the government was looking for funds from internal and external sources to facilitate implementation of the project. According to him, the project would be pumping water from Ruvu River, Coast Region to Simanjiro District. He admitted that the district was facing serious water shortage which he said was caused by limited water sources.

“This is the major fact which caused the government to embark on such a project,” said Kikwete.

Water from the project would be supplied to different parts of the district.

“This is done strategically to avert water scarcity caused by extensive drought in these areas,” he said.

While waiting for the project, Kikwete said already the government had set aside 1.8bn/- for the construction of water wells and the necessary infrastructure to supply water in Orkesmet township.

He said in the same spirit, 12 villages in the district will soon start getting water under another countrywide water project financed by the World Bank in collaboration with the government.

On roads he said his government will tarmac the KIA-Mererani, Iendenai road.

“The government has already approved the project and feasibility study has been completed,” he said.

He told Orkesmet residents that the construction of Orkesmet, Njoro road has started and the government had already disbursed about 560m/-for the project.

Kikwete promised to improve operations of Simanjiro district hospital and the Evangelical Lutheran Church of Tanzania (ELCT) owned health facility to enhance provision of quality health services in the area.

He reaffirmed government commitment to revamp animal keeping sub-sector in Tanzania - including Maasai land by identifying specific areas for grazing to improve the livestock sector.

“We want to do so to also eliminate frequent conflicts between farmers and pastoralists.

The candidate also promised to speed up the launch of rural electrification project in Simanjiro.

The CCM Parliamentary aspirant for Simanjiro, Christopher Ole Sendeka asked the presidential candidate to help solve a dispute between the district residents and an investor who is illegally occupying pastoralists’ grazing land.

According to Sendeka, the investor had grabbed grazing land of from 3 villages in Simanjiro.

He mentioned the villages as Sukru, Terat and Komolo.

SOURCE: THE GUARDIAN

Hapo penye red hivi kweli pana ukweli??? Hivi Simanjiro ipo wapi na Ruvu ipo wapi?? I think kati yangu na mtoa ahadi mmoja wetu ana matatizo ya Geography!!! Hivi kama Ruvu imeshidwa kusupply maji Dar na Pwani, JK atawezajekufikisha maji Saimanjiro kutoka Ruvu?? Unless Bwana Ahadi yupo kazini.............!!!
 
Hapo penye red hivi kweli pana ukweli??? Hivi Simanjiro ipo wapi na Ruvu ipo wapi?? I think kati yangu na mtoa ahadi mmoja wetu ana matatizo ya Geography!!! Hivi kama Ruvu imeshidwa kusupply maji Dar na Pwani, JK atawezajekufikisha maji Saimanjiro kutoka Ruvu?? Unless Bwana Ahadi yupo kazini.............!!!
Mkuu nakuunga mkono kwa 100%. Yaani nashindwa kumuelewa raisi wetu huyu....!
 
  1. Monduli wanaishi maisha magumu.
  2. Tanzania bila CCM inawezekana, na kuendelea kukaa na CCM ni maafa makubwa.
  3. Kama ningesema uongo kuhusu ufisadi wa JK na waswaiba wake, mbona sichukuliwi hatua?
  4. Ukitukanwa, angalia, puuzia na uondoke. Ukipigwa kofi, mgeuzie na la pili...!
  5. Sipendi kwenda ikulu huku damu zikimwagwa, au kuwaacha watanzania wakiwa vilema kwa ajili yangu...!
  6. Nipo tayari kula mihogo ikulu, ili mtoto wa tanzania asome...!
  7. Siendi kuwa raisi wa Afrika Mashariki, bali wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...!
  8. Kodi ya saruji kutoka Tanzania ni 18%, Kenya 15% na Uganda 16%....! Eti ndio makubaliano yaliyowekeana kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki...!
  9. Ninazo nyaraka kuwa serikali ya Tanzania imefanya partial payments huko Canada kwa ajili ya mabango ya CCM...!
  10. Sikatai kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki, lakini lazima tufanye maandalizi kuwapatia watanzania elimu itakayowawezesha kuingia kwenye ushindani...!
  11. nk

Anatumia idea za Mrema, alizozifanya ktk kampeni zake.
 
Ruvu .................................maji:nono:......................................>>>>>>>>>>>Simanjiro.....................................................................
 
dr slaa ana upeo wa juu sana. Ukifuatilia hotuba yake utaona kuwa alichokuwa anaongea ni policy related issues. Kwa level ya presidency uwezi ikuwa unaongelea consumer lists. Barabara, hospitali, shule ni kazi ya msingi ya serikali iliyoko madarakani. Juzi au jana, jk alikuwa alipokuwa karatu alikuwa anazungmzia kuisha kwa swala la maji wakati tayari kuna mradi wa maji. Kuna tija hapo?. Je mgombea ubunge atajinadi kwa lipi? Pia aliuliza kama wana-karatu hawajachoka kuwa na upinzani for 15 year? Ipi ni miaka mingi ktk utawala ya upinzani 15 kwa karatu au 49 ya ccm?

Kifupi ni kwamba kwa ngazi ya uraisi kinachotakiwa ni unaboreshaji huduma za kijamii na kwa serikali kuangalia itakabiliana vipi na changamoto za mfumuko wa bei. Haya na mengine mengi yanahitaji kutizamwa kwa sera husika mfano fiscal policy. Bahati mbaya utashi huu ccm hawana ni business as usual. Ndio utaona ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya ccm anaongelea majukumu ya msingi ya serikali kama barabara, maji, etc wakati hakuna sera nzuri za kusupport anachosema. Nasema hakuna sera nzuri kwa sababu 50 years later huwezi kuwa unatoa ahadi zilezile. Kutokuwa na sera makini ndio maana utasikia mgombe uraisi wa ccm kwa mfano anatangaza kupandisha hadhi za hospitali kuwa za rufaa. Kimsingi kwa wananchi haijalishi hadhi ya hospital wanachotaka ni huduma iwe karibu nao. Watu wnahitaji zanahati zilizo na matabibu na vifaa.

nakupa tano bab...
 
Back
Top Bottom