Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,268
- 17,097
Kuelekea kwenye boogie Sansui 1977 Sea view....
kak old z gold, nikizikuta hizi hakianan lazma nimchukulie mama watoto. saaafiii sanaa.
kak old z gold, nikizikuta hizi hakianan lazma nimchukulie mama watoto. saaafiii sanaa.
wastamina ya miguu hao sio siku hizi/watoto ka kuku wa kisasa
St Joseph Jumapili unatililia hizi
ngazi ngapi hiyooo unanikumbusha enzi za mashati ya juliana. muziki wa maquis du zairee TELEMUKAAA CHEKEEECHA, masantula ngoma ya mpita, unamsikiliza mzee king kiki anakwambia TUKACHEZE KAMANYOLA NA MAQUIS OOOH NAKWENDA WAAAAPI. dah kweli tumetoka mbali
Hawa wa sasa na hizi Kata-K zao duh....