hizi nazo ni swaga za wapi????

stevoh

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
2,921
1,104
angekua bongo tungesema ana swagaa sasa kashikilia nini??

373974_424374790956228_205040059_a.jpg
 
Kwani wewe wadhani hapo kunani ?
Na ni karibu na nini?
Na umeona kipi?
Asipopashika mwenyewe apashike nani ?
Na akipashika kuna ubaya gani? Na kama kuna ubaya tumlaumu nani ?
 
Kwani wewe wadhani hapo kunani ?
Na ni karibu na nini?
Na umeona kipi?
Asipopashika mwenyewe apashike nani ?
Na akipashika kuna ubaya gani? Na kama kuna ubaya tumlaumu nani ?

Bila shaka wewe ni riafande
 
Huyu ni Steffi Maria Graf aliyekuwa super star kwenye mchezo wa tennis na ambaye miaka 9 iliyopita aliolewa na mkongwe mwenzake wa tennis bingwa wa zamani wa mchezo huo Andre Agassi. Huwa wanaweka mpira vya tennis maeneo hayo kurahisisha mpira ukienda nje, badala ya kusubiria mpaka uletwe wao wanaendelea na uliokuwa reserved mapajani.
 
Kwani wewe wadhani hapo kunani ?
Na ni karibu na nini?
Na umeona kipi?
Asipopashika mwenyewe apashike nani ?
Na akipashika kuna ubaya gani? Na kama kuna ubaya tumlaumu nani ?

JT una maswali mengi kwani wewe ni polisi?
 
Huyu ni Steffi Maria Graf aliyekuwa super star kwenye mchezo wa tennis na ambaye miaka 9 iliyopita aliolewa na mkongwe mwenzake wa tennis bingwa wa zamani wa mchezo huo Andre Agassi. Huwa wanaweka mpira vya tennis maeneo hayo kurahisisha ukienda nje

Mmmhh!! Sibishi walaaa sikubali not yet proved
 
Huyu ni Steffi Maria Graf aliyekuwa super star kwenye mchezo wa tennis na ambaye miaka 9 iliyopita aliolewa na mkongwe mwenzake wa tennis bingwa wa zamani wa mchezo huo Andre Agassi. Huwa wanaweka mpira vya tennis maeneo hayo kurahisisha mpira ukienda nje, badala ya kusubiria mpaka uletwe wao wanaendelea na uliokuwa reserved mapajani.
lakini hapo sio mpirani hapo yupo matembezini na anaonekana dhahiri amekamatia kitu au uroda unamomonyoka?
 
Back
Top Bottom