Hizi namba za magari zikoje.?

msnajo

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
3,066
1,136
T 158 TIA, T 367 VUZ, T 281 MBO. T 901 UKE, T 108 UCH, T 445 SEX. Wakuu zitaleta hamasa ya kutamka huna haja ya kutamka kwa herufi, unataja neno full.
 
Kuliko nisajiliwe kwa namba hizi bora nisubiri awamu ziishe ndio nisajili....
 
common grown-ups, sometimes kuweni na mada muhimu za kujadili kwenye blog hii. wewe uliyeanzisha thread hii una akili za kingono ngono. stop that.
 
Mdau mbona unasahau nyingine kanma T 206 HIV, T 367 AFE, T 999 UFE; T 111 ALE/ULE; T 764 LEO; T 886 ADE; T 555 DAD; T 331 LIA; T 195 SOO; T 689 DIC; T 347 ARV, etc, etc
 
common grown-ups, sometimes kuweni na mada muhimu za kujadili kwenye blog hii. wewe uliyeanzisha thread hii una akili za kingono ngono. stop that.

Kwani hii blog si ya utani? We kama hupendi kilichokufanya ukaja huku kitu gani. Dont come back again, this blog is less concern with you.
 
common grown-ups, sometimes kuweni na mada muhimu za kujadili kwenye blog hii. wewe uliyeanzisha thread hii una akili za kingono ngono. stop that.

Kwani hii blog si ya utani? We kama hupendi kilichokufanya ukaja huku kitu gani. Dont come back again, this blog is less concern with you coz you don need joke!
 
common grown-ups, sometimes kuweni na mada muhimu za kujadili kwenye blog hii. wewe uliyeanzisha thread hii una akili za kingono ngono. stop that.

Pole sana Mkuu, without offending you, naona imeku-irritate sana

Hata hivyo kama unataka majukwaa sirious ya kujadili mambo muhimu yapo mengi humu JF.......yapitie utayaona tu na kwa nature yako huku usije maana utajitafutia makwazo bila sababu na utapata pressure bure
 
common grown-ups, sometimes kuweni na mada muhimu za kujadili kwenye blog hii. wewe uliyeanzisha thread hii una akili za kingono ngono. stop that.

Umesoma title ya forum au unajijibia tu watu wengine bana sijui mkoje!!! Hayo maneno yako peleka hukoooo Facebook
 
Back
Top Bottom