Hizi kero maofisini usiombe

Mimi kero yangu, ofisini zaidi ya salamu hakuna kupiga stori ya aina yoyote ile. I really miss the bongo working behaviour, kazi kidogo na stori kidogo. Sio kazi tuu na kupeana smiles.
Ofisi za hivyo daha zinaweza zikamshawishi mtu kuondoka, isipokuwa mtu kama ana malengo flani falni ya kukamilisha panapo mshahara ni mzuri! Vitu vya kijamii ni muhimu kuvijua maana ndo unaishi humo!
 
kero hizo hazitaondoka kwa sbb zifuatazo./ 1.baadhi ya wafanyakazi ni wavivu.2.hawajui wajibu wao.3.hakuna moyo wa kujituma
Hiyo namba tatu inawezekana hakuna motisha katika hiyo ofisi! Ila ukizungukwa na wafanyakazi wenzio ambao wote ni wavivu duh sipati picha!
 
Kero hii ndo mbaya zaidi:
Wewe umeifanyia kazi fulani vizuri sana, mtu mwingine anapewa hiyo kazi yako na kuipitia anapeleka kazi kwa mtu mwingine, huyo mtu mwingine anamsifu aliyempa kazi yeye badala ya kumpa pongezi wa kwanza aliyeanza kuifanyia kazi pamoja na kujua aliyeanza ni nani. Wazungu wana huu mtindo wa kinafiki.
 
Men at changing the World PROJECT......................................hahhahahahahahah
 
Kuna mmoja huku kwetu akianza kucheka.....loooohhh yaani anakuwa kama wale wa ...........MAHOKAAAAAAAAA.........wa enzi za mwalimu
 
Kuna mmoja huku kwetu akianza kucheka.....loooohhh yaani anakuwa kama wale wa ...........MAHOKAAAAAAAAA.........wa enzi za mwalimu
Hahahhhaha! Pole sana! Kuna wengine wanacheka kwa sauti kubwa sana utafikiri sufuria tatu zinadondoka sakafuni toka juu kwenye urefu wa mita tano, kazi kweli kweli!
 
Hahahhhaha! Pole sana! Kuna wengine wanacheka kwa sauti kubwa sana utafikiri sufuria tatu zinadondoka sakafuni toka juu kwenye urefu wa mita tano, kazi kweli kweli!

haaah haaah Mkuu hii kiboko lol.
 
Gossips, hamna kitu sipendi kama mtu anyependa kugossips negative abt others...huu ni ufitni. Tujirekebisha, kuna jamaa hapa namlia timing manake tumemchoka na gosips zisizo na mantiki, mara ooh jamaa pay slip yake........
 
Back
Top Bottom