Hizi kero maofisini usiombe

  • Maji kazini hayatoki na hamna akiba hali uko porini.
  • Boss kukulazimu mtoke lunch alafu kutaka muende stage inayofuata.
  • kufanya ofisi haina sare ya kazi - presha tupu kuhusu mavazi!
  • Kuomba assistance kwa mfanyakazi mwenzio ambae hujifanya yuko busy kweli kumbe yuko jf.


hiyo no 2 hiyo
mko wengi naona kumbe lol
 
1. Upo rum mmoja na mwenzio, anaweka AC juu kupita uwezo wa mwili wako kuhimili ile baridi kali.
2. Upo rum mmoja ofisini, mwenzio wageni ni vidosho tu kwa kwenda mbele.

3. Ile unafika asbh ofisini, mood ya kuwepo ofisini haipo unatamani utoke ukazurure kidogo ndo urudi ofisini.

4. Mtu anakupa kazi ambayo siyo ya kwako, ukiharibu hiyo kazi imekula kwako

5. Mengineyo ntaongezea.......
Acha hiyo kazi ukatafute FWEDHA
 
Hii sredi nimeipenda sana. Kero zangu:1. Uko bize na kazi mtu anakuja kukaa kwenye kiti mbele yako anatia storii hazina kichwa wala mguu2. Una share office na mtu/watu anaongea kwa simu kwa sauti kubwa utadhani anahutubia mkutano wa hadhara3. Office mate wajo kila baada ya dk anakuuliza swali ambalo halina msingi4. Hasa wanawake, anakueleza story za mume, watoto, mpaka jana yake mtoto wake alivyotapika kabichi nzima nzima na mumewe alivyo na allergy ya dagaaAaaarggghhhh
Hiyo namba tatu anakuuliza "jana usiku ulikula chakula gani?" Hi hi hi duh aisee akili inahama kwa kero!
 
na hakuna kero kama mtu aje ofisini kwako
akuanzishie mazungumzo usiyo yapenda..

mfano hupendi siasa,mtu anakuja na story za bunge hivi...
 
Duu sijui umefikiria nn leo? kero zipo za aina mbalimbali mwingine anaweza kukuta unakula nae akaanza kudokoa chakula chakokatika sahani huku akikusemesha kero tupu.
Duuh DaMie pole sana! Mbaya zaid unakuta anatafuna chakula unakiona waziwazi mdomoni mwake huku anakupa stori ofisini!
 
hizo zote sio kerokero ni hizi..1.ofisi inajua wewe ni addicts wa internet unakuta ki memokuanzia leo marufuku kuingia mitandao mingine isiyo ya kiofisi....2.net kwako iko slow,unamuita administrator anakudengulia..kisa anatembea na bosi wa head office3.unaingia ofisini unakuta kuna ma trainee wanawake wapyawalivyovaa utasema wanatangaza biashara4.unafika ofisini,unakuta kuna mabadiliko,umekewa pc nyingine ya zamani na software za zamani...unauliza unaambiwa ile nyingine inafanyiwa serviceikirudi wamefuta kila kitu...5.kuna mgao wa umeme na ofisi haina bajeti ya genereta6.kuna mgao wa umeme na genereta la ofisi lipo dirishani kwako
Dah umepita kwingi mzee, hao vidosho wanatafuta pa kuolewa siyo bure!
 
  • Maji kazini hayatoki na hamna akiba hali uko porini.
  • Boss kukulazimu mtoke lunch alafu kutaka muende stage inayofuata.
  • kufanya ofisi haina sare ya kazi - presha tupu kuhusu mavazi!
  • Kuomba assistance kwa mfanyakazi mwenzio ambae hujifanya yuko busy kweli kumbe yuko jf.
Point ya mwisho ndo kero kabisa, unakuta umeshamaliza kazi unajiandaa kusepa hm, anakuja mtu anaomba assistance kwako umalizie kazi ukiipokea tu huyoo anajitimua na bosi anakuja kukagua kazi yako na kukuambia urekebishe basi unajikuta unasota na kazi ya mtu mpaka saa nne usiku!
 
Hii sredi nimeipenda sana. Kero zangu:1. Uko bize na kazi mtu anakuja kukaa kwenye kiti mbele yako anatia storii hazina kichwa wala mguu2. Una share office na mtu/watu anaongea kwa simu kwa sauti kubwa utadhani anahutubia mkutano wa hadhara3. Office mate wajo kila baada ya dk anakuuliza swali ambalo halina msingi4. Hasa wanawake, anakueleza story za mume, watoto, mpaka jana yake mtoto wake alivyotapika kabichi nzima nzima na mumewe alivyo na allergy ya dagaaAaaarggghhhh
5. Office mate anafunga subwoofer ktk Pc ya ofcn ni mziki mwanzo mwisho.6. Majungu mengi kila cku nani katupia pamba kali.7. Kila cku ofc mate anataka umtoe Lunch duh...
 
unakuta kuna mshkaji ofcn anakuzimikia,so kila saa anataka kuja mezani kwako! ananuka kikwapa ama mdomo,kumuambia huwezi na yy haji-express ili umtupe kule mkae mbali! taabu kweli!
ama unakuta mna ofc useless kweli,disorganised!sasa ukikutana na client unaona aibu jinsi mnavyokuwa unproffessional!(ofc za gvt inahuu sana hii)
 
anakubeep ili umpigie unaenda lunch moja wewe unalipa za kutosha
Yaani majasho yoote ya kuhangaikia kutafuta fedha za kujikimu wewe na familia yako mtu anazidandia humohumo wakati na yeye naye anapata mshahara!! Watu bana!
 
Mimi kero yangu, ofisini zaidi ya salamu hakuna kupiga stori ya aina yoyote ile. I really miss the bongo working behaviour, kazi kidogo na stori kidogo. Sio kazi tuu na kupeana smiles.
 
hizo zote sio kero

kero ni hizi..

1.ofisi inajua wewe ni addicts wa internet unakuta ki memo
kuanzia leo marufuku kuingia mitandao mingine isiyo ya kiofisi....

2.net kwako iko slow,unamuita administrator anakudengulia..
kisa anatembea na bosi wa head office

3.unaingia ofisini unakuta kuna ma trainee wanawake wapya
walivyovaa utasema wanatangaza biashara

4.unafika ofisini,unakuta kuna mabadiliko,
umekewa pc nyingine ya zamani na software za zamani...
unauliza unaambiwa ile nyingine inafanyiwa service
ikirudi wamefuta kila kitu...

5.kuna mgao wa umeme na ofisi haina bajeti ya genereta

6.kuna mgao wa umeme na genereta la ofisi lipo dirishani kwako

Mkuu hapo namba 4 na 6 afu hapohapo kuna li-AC window type si mikelele hiyo..
 
yani kwetu kuna limlinzi hapa ofisini hata kusoma halijui lool kitu kidogo tuuu
anampigia mkurugenzi simu tuna mpango wa kumpaka kinyesi nyambaf agggghhhhgggrrrr
 
yani kwetu kuna limlinzi hapa ofisini hata kusoma halijui lool kitu kidogo tuuu anampigia mkurugenzi simu tuna mpango wa kumpaka kinyesi nyambaf agggghhhhgggrrrr
Duh! Inawezekana kapewa kazi na Bosi kwamba akiwaona tu 'late comers' ampigie bosi!Pole sana dada yangu, kila mahali kuna magugu!
 
Duh! Inawezekana kapewa kazi na Bosi kwamba akiwaona tu 'late comers' ampigie bosi!Pole sana dada yangu, kila mahali kuna magugu!
kesho kuna kikao cha staf lazma tumkomalie. wala bos hajamtuma ni ujinga wake tu anafkia hatua ya kumsema mama mkurugenz kwa mumewe! karbia anaivnja ndoa hiyo yaani! nashkuru kwa pole
 
Back
Top Bottom