Hizi kamati na bodi huko bungeni ni kero kwa watz

Kisendi

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
699
178
Mimi kama mtanzania nasikitika sana hizi kamati na bodi zinazoundwa bungeni ni kulipana posho tu hakuna lolote, Juzi January Makamba wameenda kutembelea Bwawa la Mtera wamekuja na jipya gani ili hali sisi tunaumia tu kukosa umeme hata vibanda vyetu hatuingiza hata sh?? Leo Tena Spika anasema wataenda MTERA NA JOHN MNYIKA, NAKUOMBA MNYIKA USIENDE MAANA HALI YA MTERA INAFAHAMIKA. MWISHO SISI KAMA WATZ TUNACHUKUA HATUA GANI??


Mimi binafsi nakwera na hizi kamati, MATATIZO YAKO PALE PALE.
 
Back
Top Bottom