Hizi hela nizitumieje?

bombu

JF-Expert Member
Jun 8, 2011
1,127
542
HIZI HELA NIZITUMIEJE?

Jamani nimepewa Bonus hata sijui ya nini, ila nataka nizitumie ndani ya weekend hii ziishe. Kuna vitu nimeorodhesha hapa naomba ushauri ni kipi cha muhimu nikifanye kwa hili jibonus.
  1. Niende tour, hii inamaanisha kula, kunywa, kulala mbali na nyumbani--Company inahitajika(ntatoa mwaliko hii ikipita)
  2. Niende Mr price au siju wapi kuna nguo nzuri ni"change wadrobe" yangu, lol--expart wa kuchagua mavazi na viatu hapa atahitajika
  3. Nifanye sherehe ya kuzaliwa niliyoiahirisha mwezi wa kwanza, lol--jiandaeni kualikwa
  4. ...
  5. ...
  6. ...
Nipeni maushauri, zinaniwasha aiseee...fasta.
 
hizo hel mpe huyo niliyem bold hapo juu akupangie bajet...
 
Sajuki ndo nani na nitampataje? Naomba namba yake ya simu. Naweza kupata thawabu hapa

SAJUKI ni msanii wa maigizo ambaye anaumwa...na inaonekana bado hajapata kiasi cha hela kwa ajili ya matibabu...fanya ivo aisee...ijumaa kareem!
 
HIZI HELA NIZITUMIEJE?

Jamani nimepewa Bonus hata sijui ya nini, ila nataka nizitumie ndani ya weekend hii ziishe. Kuna vitu nimeorodhesha hapa naomba ushauri ni kipi cha muhimu nikifanye kwa hili jibonus.
  1. Niende tour, hii inamaanisha kula, kunywa, kulala mbali na nyumbani--Company inahitajika(ntatoa mwaliko hii ikipita)
  2. Niende Mr price au siju wapi kuna nguo nzuri ni"change wadrobe" yangu, lol--expart wa kuchagua mavazi na viatu hapa atahitajika
  3. Nifanye sherehe ya kuzaliwa niliyoiahirisha mwezi wa kwanza, lol--jiandaeni kualikwa
  4. ...
  5. ...
  6. ...
Nipeni maushauri, zinaniwasha aiseee...fasta.

Ukute hela yenyewe sh.500
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom