Hizi habari zina ukweli ?

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,779
Nakumbuka zamani tulikua tukiambiwa na waliokua wametuzidi umri, kwamba : Panapokua na mvua iambatanayo na Radi tusivae nguo nyekundu.

Kwamba : kwa wale wenye maduka ya walaji bidhaa rejareja (consumers shops) hawauzi chumvi usiku na ikitoke mlaji amelazimika kwa dharura basi akifika dukani aseme "NATAKA DAWA YA MBOGA" ndiyo muuzaji atampatia chumvi! Kwani akitaja neno chumvi ikiaminika kuleta Balaa ama mkosi (japokua hakuna aliyeweza kuweka bayana ni mkosi wa aina gani)

Sasa kuna la mwisho ambalo hasa ndiyo (kama mchezaji nyota) ambalo hass'sa nimelilenga nisaidiwe kupata comments za kutosha kuhusu ukweli wake :

Kwamba : Endapo binti/msichana whatever atakutana kimwili na kijana wa kiume ama mwanaume fresh aliyetoka jandoni, ikawa mwanamke huyo ndiyo wa kwanza kuzindua bakora mpya ya kijana husika, basi ikiwa ni binti au mwanamke mkubwa basi watakua hawashikiki kwa kua na mapepo ya ngono!

Nini ukweli wa haya?
 
umeelimika kiasi cha kutumia JF lakini bado unaamini mambo ya giza???
ndo nyinyi mnaosema radi ni kama likondoo hivi, aisee radi ni umeme, achana na hizo habari za mtaani, nenda google chimba utapata namna radi inavyotokea.
 
umeelimika kiasi cha kutumia JF lakini bado unaamini mambo ya giza???
ndo nyinyi mnaosema radi ni kama likondoo hivi, aisee radi ni umeme, achana na hizo habari za mtaani, nenda google chimba utapata namna radi inavyotokea.
Nasikitika ikiwa uko Jf then unaperuzi thread na unakurupuka ku'respond! Hv 21 century kuna watu wanasoma na kisha hawaelewi! Terrible! Headin' ina question mark! Inauliza! Wewe unanihukumu! Ht hivyo am offer u free apology!
 
hey! tusihusishe haya mambo na current global appearance ila jadi na tathmini za kale zina nafasi yake hata ktk jamii ya Leo. Tukumbuke imani yaweza kujengwa na mapokeo na pia mapokeo kujengwa na imani, yote yapo na ni kwa ajili ya binadamu.
 
Nakumbuka pia tulikuwa tunanyimwa kujitazama kwenye kioo usiku. Imani nyinhine balaa!!
 
Sie kulikuwa na haya;
  1. haturuhusiwi kutamka neno nyoka usiku, maana atakuja.
  2. Ukijisaidia haja ndogo barabarani lazima utemee mate, hadi leo natema, i dont know why
  3. Hakuna kumruka mtu miguu atakuwa mfupi
  4. Mjamzito asikae mlangoni, mtoto atakataa kutoka, angalizo hapa there is a confession kwa wajawazito tu M-PM na vocha ya 5000 na usinywe maji na kuyarudisha
  5. Kitovu cha mtoto, kisiangukie ofisi kuu
Bado tiba sasa nano za magonjwa kama vichomi, kuvimbewa ni kufanya vitu tu na unapona.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom