Hizi fomu za ku update information za accounts zinaboa!

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,091
Dah kama mwezi umepita sasa tangu nijaze fomu ya ku update information ya akaunti yangu ya CRDB, nikajua nimemaliza kumbe kha! Leo tena nimeletewa fomu nyingine ina madudu ya kujaza kibao kama nafungua akaunti mpya au natafuta mkopo wa loan board bhana!
 
Umeona eeeh
CRDB na NMB hazina usumbufu hata kidogo
hebu njoo NBC kha mpaka Mwenyekiti wa mtaa akusainie sijui vitu gani
Sijui attach copy ya salary slip ,kitambulisho ,barua ya mwajiri
Customer care yenyewe hakuna …yaani mie niliboreka vya kutosha
 
Dah hiyo ya NBC hata sijui kama bado iko activated maana niliachana nao siku nyingi... kwanza wamejaa wazee watupu na kila kitu chao cha kizamani
 
Umeona eeeh
CRDB na NMB hazina usumbufu hata kidogo
hebu njoo NBC kha mpaka Mwenyekiti wa mtaa akusainie sijui vitu gani
Sijui attach copy ya salary slip ,kitambulisho ,barua ya mwajiri
Customer care yenyewe hakuna …yaani mie niliboreka vya kutosha

mbona me a/c yangu ya Nbc waliniambia sihtaji tena kuiupdate cz haikua na mapungufu yoyote,au inakuaje hapo mdau?
 
Tabu sio kama haina mapungufu ama la ila sheria ile iliyopitwa hivi karibuni na Bunge ya fedha haramu ndio inawalazimisha wateja wote, nikimaanisha wote ku update information zao so check vizuri na bank yako
 
Ili swwla hata mimi linanichanganya, nilienda NBC kuwauliza wakaniomba account namba wakacheki halafu wakasema aina shida hivyo sihitaji kuupdate MERU BRANCH ARUSHA.
 
Unajua basically ni usumbufu tu kwasababu wakati mtu anafungua account anakuwa na vitu vyo te vinavyotakiwa sasa sijui wanachotaka ni nini tena hawa watu
 
Umeona eeeh
CRDB na NMB hazina usumbufu hata kidogo
hebu njoo NBC kha mpaka Mwenyekiti wa mtaa akusainie sijui vitu gani
Sijui attach copy ya salary slip ,kitambulisho ,barua ya mwajiri
Customer care yenyewe hakuna …yaani mie niliboreka vya kutosha

First Ledy hayo huyasemayo sio kweli, embu toa uthibitisho,maana kwa taarifa yako ktk ma bank yote NBC,NDIO BANK INAONGOZA KWA KYC, IWEJE LEO WAWE WASUMBUFU? Plz let me know this.
 
mbona me a/c yangu ya Nbc waliniambia sihtaji tena kuiupdate cz haikua na mapungufu yoyote,au inakuaje hapo mdau?

Umeona Eee! First Ledy katumwa namashaka. Nenda hata BOT, NBC WANATISHA KWA KUTUNZA TAKWIMU NA SIRI ZA WATEJA WAKE.
 
Back
Top Bottom