hizi fomu mpya za kujaza benki

ngony

Senior Member
Feb 7, 2012
153
17
jamani nauliza hv huu ujazaji wa fomu mpya ni kwa wateja wa CRDB tu au na benki zingine?
 
Mimi nimeona ni CRDB Bank tu ndio wamelishupalia sana hili zoezi!
 
CRDB Bado wana urasimu kama serikalini. Kila kukicha wanalo la kuzua. uoni uoni urasimu uliopo wakt wa kufungua acc
 
kwa CRDB nimeona dead line ni tar 11 march (sina uhakika na tarehe lakini ni mwezi march) na km ifika hy tarehe ambao hawajajaza fomu hawapati huduma zozote za kibenki. nlikutana na mtu benk tukawa tunaulizana kwa nini utaratibu huu tena ghafla. akanambia kuna hela nyingi sana zimepotea benk,nadhan ndo wanajaribu kufatilia. kwa sbb fomu mpya (kwa crdb maana walitoa za mwanzo alaf wamebadilisha zingne) unaandika particulars zako zote, ikiwemo kazi yako na copy ya kitambulisho cha kazi, barua y kuthibitisha makazi kutoka kwa katibu kata wa kata unayoishi, KIKWANGO CHA PESA UNACHOINGIZA KWA MWAKA! n.k
 
Nasali kwa bidii zoezi lisije kwa makabwela nmb.....maana shule na dispensari zitafungwa!
 
mbona mimi sijajaza wala kupeleka yote hayo
 
Hii ni kwa benk zote.bot ndiyo waliopendekeza huu utaratibu mpya.sijajua nikwanini wamefanya hivyo.
 
mbona mimi sijajaza wala kupeleka yote hayo
wamebadilisha fomu, wameleta mpya ndo hzo unajaza hadi pato lako la mwaka! Km ulijaza basi we utakua wa mwanzo kabisa, ila inaweza ikatangazwa waliojaza fomu za mwanzo wakajaze tena fomu mpya
 
Nasali kwa bidii zoezi lisije kwa makabwela nmb.....maana shule na dispensari zitafungwa!

Save your energy mkuu hata NMB zoezi lipo. Ni maagizo kutoka BoT wanadai wanadhibiti fedha haramu
 
CRDB mbona wana nafuu. NBC ni unoko mtupu, ATM access ziko blocked mpaka uwe umeupdate account yako. Kibaya zaidi hawajali uko wapi kwa sasa, ukitaka wakufungulie inakubidi ukakamilishe taratibu zao tena kwa kurudi kule ulikofungulia akaunti. Taratibu zao ni ngumu sana kulinganisha na benki zingine. Sasa inawezekana wao ndio wahanga wanaolengwa na zoezi hili, pesa chafu nyingi sana zinapitia/zimepitia NBC.
 
kuliwekwa thread humu ndani ikiongelea Rostam aziz wa igunga, anataka kuhamisha pesa zake kwenda malaysia je? Labda mtiririko huu ndio chanzo nini? wadau tuhabarishane bwana!
 
kama wanajaribu kuchunguza wizi wa hela mbona wameshachelewa sana kwani watu washahamisha account zao kwenye benk za nje
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom