Hizi fedha nazo ni zetu?

Companero

Platinum Member
Jul 12, 2008
5,604
1,704
Yule mwanamapinduzi machachari, Frantz Fanon, aliwahi kusema kuwa mali za mabepari ni mali zetu pia maana walizichota kutoka kwetu, hivyo tuna haki ya kuzidai na kuzitumia pia. Sasa mimi nauliza: Hivi hizi fedha hapo chini ni za kwetu sisi Watanzania tuliotumia TTCL na Celtel pia au ni za mfadhili huyo na anaowafadhili tu? Kama ni zetu, je, ni vyema kwenda kuzitumia huko zinakotolewa? Na kama sio zetu, je, tukizitumia tutakuwa tumewasaliti wenzetu walionyonywa na bepari huyo?

"On 17 March 2008, Director and Principal Paul Webley welcomed Dr. Mo Ibrahim to SOAS to commemorate the very generous donation of £1.375 million from the Mo Ibrahim Foundation to SOAS. The signing ceremony was attended by other members of the Mo Ibrahim Foundation and SOAS staff.
This generous gift will fund a new initiative, Governance for Development in Africa, which will support increasing knowledge and debate in Africa on the economic, political and legal dimensions of governance and development. The initiative is comprised of four dedicated programmes organised by SOAS: short-term visiting Leadership Development Fellowships; Residential Schools on Governance and Development, to be held in different African countries; an annual series of Governance Lectures commissioned for streaming to sub-Saharan Africa; and PhD Scholarships linking African universities with SOAS. They will be managed by the Centre of African Studies at SOAS..." - http://www.soas.ac.uk/news/newsitem42715

"The Mo Ibrahim Foundation in association with SOAS and the Centre of African Studies-University of London is organising a Summer School in Dakar , Senegal , in April 2009 on the topic of ‘Governance and Development in Africa '. The residential school is for 25 participants who are policy makers, academics, or civil society representatives from any African country who will gain, through this training, new ideas and experience on the wide issue of good governance and development. We welcome applications from a wide range of backgrounds. Applicants should have proven research and/or professional experiences in fields relevant to the theme of Governance and Development in Africa. All costs for successful applicants, including economy flights, accommodation, and subsistence, will be covered. The school will run from March 30th to April 3rd, 2009..." -http://www.soas.ac.uk/cas/gdai/governance-for-development-in-africa-initiative.html

"SOAS Honorary Degree Awarded to Mo Ibrahim..." - http://www.soas.ac.uk/about/fellows/ibrahim/mo-ibrahim.html
 
"I think Mr. Mo is a great man doing all this single handedly, maybe it is neccessery to say here that there are a lot of students sponsered by Mr. Mo in expensive university pursuing postgraduate studies." - Bisrat Girma

"Mr. Mo Ibrahim: you have made millions of dollars from the sweat and blood of the African people. If you want to return a few million to the people, build schools, dispensaries, and water wells in the south of your own country rather than giving them to Chisasanos of this world. Do not add insult to injury by robbing (poor) Peter to pay (rich) Paul. " - Issa Shivji

Source: http://www.pambazuka.org/en/category/features/44153
 
"Mr. Mo Ibrahim: you have made millions of dollars from the sweat and blood of the African people. If you want to return a few million to the people, build schools, dispensaries, and water wells in the south of your own country rather than giving them to Chisasanos of this world. Do not add insult to injury by robbing (poor) Peter to pay (rich) Paul. " - Issa Shivji

Source: PZN - The Mo Ibrahim Prize: Robbing Peter to pay Paul[/QUOTE]

Kama Issa Shivji ni huyu wa hapa kwetu Tanzania basi inashangaza kuona anaweza kumchachamalia Mo Ibrahim na anashindwa kuwachachamalia matajiri wanaowapata faida kubwa kutokana na kuwadhulumu/kuwaibia walalahoi wa hapa hapa nchini petu!
 
"Mr. Mo Ibrahim: you have made millions of dollars from the sweat and blood of the African people. If you want to return a few million to the people, build schools, dispensaries, and water wells in the south of your own country rather than giving them to Chisasanos of this world. Do not add insult to injury by robbing (poor) Peter to pay (rich) Paul. " - Issa Shivji

Source: PZN - The Mo Ibrahim Prize: Robbing Peter to pay Paul[/QUOTE]

Kama Issa Shivji ni huyu wa hapa kwetu Tanzania basi inashangaza kuona anaweza kumchachamalia Mo Ibrahim na anashindwa kuwachachamalia matajiri wanaopata faida kubwa kutokana na kuwadhulumu/kuwaibia walalahoi wa hapa nchini petu!
 
"Mr. Mo Ibrahim: you have made millions of dollars from the sweat and blood of the African people. If you want to return a few million to the people, build schools, dispensaries, and water wells in the south of your own country rather than giving them to Chisasanos of this world. Do not add insult to injury by robbing (poor) Peter to pay (rich) Paul. " - Issa Shivji

Source: PZN - The Mo Ibrahim Prize: Robbing Peter to pay Paul

Kama Issa Shivji ni huyu wa hapa kwetu Tanzania basi inashangaza kuona anaweza kumchachamalia Mo Ibrahim na anashindwa kuwachachamalia matajiri wanaopata faida kubwa kutokana na kuwadhulumu/kuwaibia walalahoi wa hapa nchini petu![/QUOTE]

Prof Shivji amewachachamalia mafisadi kwa urefu wa kamba yake...give him his credits.

On the Mo Ibrahim; he has a point...read again, Prof hataki watu wawe rewarded kwa majukumu wanayotakiwa kuyatekeleza kama wajibu wao. Hela hizo ni kweli zingeweza kutumika vyema kwenye mambo mengine lakini tajiri hapa ni Mo na ni yeye mwenye maamuzi kwenye matumizi ya hela zake. Mimi namuunga mkono Mo Ibrahim kwa juhudi zake kwa sababu kwenye masuala ya uwajibikaji Afrika hakuna mwenye fresh idea hivyo angalau Mo anajaribu kitu ambacho hakijawahi kujaribiwa katika historia. Huenda akafanikiwa; na hapo ndio itakuwa faida kwa waafrika wote.
 
Companero,

My dear Brother, Waafrika tumelewa mvinyo wa kutaka vya chapchap bila kuvivujia jasho. Mo Ibrahim alipotuzidi akili kwa urahisi wet akaja kavuja jasho, kavuna kisawasawa sasa tunamshikia bango!
 
Back
Top Bottom