Hizi bra za kisasa za wasichana

Kuna siku nilikuwa napitapita sehemu yenye msongamano wa watu nikamsikia mkaka mmoja anamuuliza mwenzie eti siku hizi kila mwanamke unayemuona ana makalio makubwa huwezi tofautisha kama zamani kiukweli nilijichekea kimoyomoyo....naona alikua hajui mambo ya kimjinimjini lol
 
Lol...hata mimi nshawahi kuingia mkenge mara kibao.

Unakutana na demu unaambiwa nyonyo hizo...zinadunda dunda tu...udenda unaanza kukutoka huku ukizipigia mahesabu ya jinsi ya namna utakavyozifaudu......unasema leo ndio leo....zitanikoma.

Mkishaanza gemu unaanza kumchojoa item moja baada ya ingine ukifikia kwenye sidiria unaifungua... unaitoa......lol....vitu hivyo vinajidondokea kaa matawi ya mgomba yaliyojikaukia.

Inaudhi sana aisee. Ni bora kujua moja tokea mwanzo kuliko kuangushwa katikati ya safari
inaboa sana,ila sababu tushawajua wala hawatuumiz kichwa tena,,,kwamba tushajuwa kuwa akichojoa yanadondoka pwaaaa so unakuwa wala hushtuki man
 
hizo booty pads zikiingia bongo
sipati picha........
Itafikia wakati unaingia chumbani na mrembo
mnaanza kugombana kwanza..............

wee boss unamla kwanza then ndo ugomvi unaanza ili husikose vyote,maana utakuta kabla hamjakubaliana kwenda ku do lazma ashakula na kunywa sanaaa,ha h ahaa wanawake bhana
 
Kuna siku nilikuwa napitapita sehemu yenye msongamano wa watu nikamsikia mkaka mmoja anamuuliza mwenzie eti siku hizi kila mwanamke unayemuona ana makalio makubwa huwezi tofautisha kama zamani kiukweli nilijichekea kimoyomoyo....naona alikua hajui mambo ya kimjinimjini lol
hahha umenikumbusha riziwani
 
leo nlikuwa na huzuni lkn baada ya kusoma hii mada huzuni yote ikatoweka
the boss your real funny

Duh,,,,,
jamani hizi bra ,sijui sidiria za kisasa za wasichana zinababaisha mno.......

I mean unakutana na msichana unamtazama kifuani unakuta saa sita kamili, matiti yamejaa jaa...
Kimoyoyo unasema ntafaidi mimi....

Siku ya siku uko na huyo msichana chumbani, unayavamiamatiti na kuanza kusalula hiyo bra sijui sidiria...
Mara ghafla matiti yanadondoka chini pwaa....duh...kumbe ni sidiria za kichina hizi sijui.....

Yaani.....ningeweza ningepiga marufuku hizo sidiria manake unaweza zuzuka na matiti ya msichana kumbe
ni sidiria tu.....yaani.....
 
leo nlikuwa na huzuni lkn baada ya kusoma hii mada huzuni yote ikatoweka
the boss your real funny
Kweli bana mi huwa nikifanya kazi muda mrefu na akili ikichoka ndio huwa naingia humu jf Mmu huwa ina-activate kichwa changu na usingizi unatoka lol
 
Duh,,,,,
jamani hizi bra ,sijui sidiria za kisasa za wasichana zinababaisha mno.......

I mean unakutana na msichana unamtazama kifuani unakuta saa sita kamili, matiti yamejaa jaa...
Kimoyoyo unasema ntafaidi mimi....

Siku ya siku uko na huyo msichana chumbani, unayavamiamatiti na kuanza kusalula hiyo bra sijui sidiria...
Mara ghafla matiti yanadondoka chini pwaa....duh...kumbe ni sidiria za kichina hizi sijui.....

Yaani.....ningeweza ningepiga marufuku hizo sidiria manake unaweza zuzuka na matiti ya msichana kumbe
ni sidiria tu.....yaani.....

hahahahahahaha.., The Boss hmslf.
 
Last edited by a moderator:
L
eeh bwana eeh umeniacho hoi! yakisimama muda mrefu yanachoka na kudondoka si kwa sababu eti yamekuwa used sana ni nature hata gravitationa forces zinahusika kuyadondosha Pwaaaa... hata mgomba ukichanua na ndizi kuwa kubwa unahitaji egemeo na matiti yanahitaji Bra mazee!... Hamia kwenye vitu vingine vya kuzimikia kama wowowo, face angalau na shape! lakini maziwa huwa ni temporaly thing baada ya muda yata bwagika tu hata uyahandle vizuri namna gani, la sivyo kila siku utajikuta sokoni kutafuta vitu vipya na umri unaenda mwishowe watoto watakubatiza FATAKI bureeee The Boss

Hilo neno mkuu...au wajiumbie watu wao ambao watakuwa kama watakavyo ...mbona mnashindwa kuappriciate kazi za muumba..yeye aliona kuwa ni vyema na kupendeza mchoni pake...kalagabaho yetu macho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom