Elections 2010 Hizi Bendera, Matangazo na Tshirts za kampeni zinachefua!!

Jumboplate

Senior Member
Jul 29, 2008
133
10
Hivi kwa nchi maskini kama yetu tunapata wapi ujasiri wa kutuma fedha nyingi kiasi hiki kwa ajili ya matangazo makubwa (na mengi), bendera na tshirt nyingi kiasi hiki??inatia huzuni sana ukienda hospitalini (ama zahanati) kukuta hakuna vitanda au mashuka kwa ajili ya wagonjwa wakati marobota ya vitambaa yanachezewa katika kampeni...wanafunzi tena sehemu zenye baridi sana hawana uniforms lakini wazazi wao wanapewa tshirt nyingi tu kwa ajili ya kampeni. Inaudhi sana......
 
Nchi ya wadanganyika inapelekwa kisanii zaidi.
Wacha watu wavae mafulana na kanga na baada ya uchaguzi uvisikie vilio.
Pesa wanatoa wapi?
 
Tatizo hapa ni kuwa serekali ipo kwa ajili yake na sio wananchi.
 
Back
Top Bottom