HiY

Mmhh Madame B umemuwahi mgeni! Kwani masharti ya huku chit chat lazima uwe na patna?
 
Last edited by a moderator:
Mi sina Madame B nipigie winga basi ila malipo kwani lazima hela? Kuna namna nyingi za kulipana! Teh
 
Last edited by a moderator:
wallah nafc inaniuma yani dogo Dennize mnamkaribisha mnamtafutia patna,mbona mie ckufanyiwa hivyo ? Huu si usawa @FP Madame B mnahusika kujibu ,yaan hapa nilipo nimenuna !!
 
Last edited by a moderator:
wallah nafc inaniuma yani dogo Dennize mnamkaribisha mnamtafutia patna,mbona mie ckufanyiwa hivyo ? Huu si usawa FP Madame B mnahusika kujibu ,yaan hapa nilipo nimenuna !!

Usikasirike Shoga.
Ngoja nikutafutie ila kwa muda huu ambao nakutafutia,njoo tujibanze kwa Rutta wangu kwanza mpaka hapo nitakapokutafutia,umesikia Ciello?
 
Last edited by a moderator:
Madame B aku simtaki Rutta ana wivu sana pia kushare siwezi kuhimil vishindo mie ntafutie wangu alon
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom