hivi zile nafasi utumishi walitanga mwaka jana zimeishia wapi?

pomo

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
267
31
habari wa jf
naomba mnijuze zile nafasi nyingi sana zilitangazwa na utumishi mwezi wa kumi mwaka jana zimeishia wapi? mi niliomba nafasi ya mtendaji sasa naona kimyaaa kingi sana
 
Mbona watu walishaitwa na kupangwa kazini, uliomba wilaya gani ili nikuangalizie mana mpaka leo gazeti lenye majina ya walioajiliwa ninalo? Una sifa zipi kwani inawezekana ukawa huna sifa ndo mana walikupiga chini. Sifa za watendaj kama unakumbuka ni zipi walikuwa wanataka.
 
mi niliomba wilaya ya bukombe,,dah huenda waliniita ila sikuona gazeti dah bora wangekuwa wanatutumia msg
 
Mbona watu walishaitwa na kupangwa kazini, uliomba wilaya gani ili nikuangalizie mana mpaka leo gazeti lenye majina ya walioajiliwa ninalo? Una sifa zipi kwani inawezekana ukawa huna sifa ndo mana walikupiga chini. Sifa za watendaj kama unakumbuka ni zipi walikuwa wanataka.

habari za kuaminika ni bado hawajaita kwani serikali haikuwa na fungu wakati ule so walizipotezea.
 
Back
Top Bottom