Elections 2010 Hivi Zanzibar ile ni selikali ya umoja wa kitaifa au ya vyama viwili?

Safari ni Safari kila siku huwa sipingani na wewe hata siku moja. Nahii inatokana na points ambazo unaziheat kwa dwatu wenye upeo mdogo wa kuelewa kama Pauluss,
unajua tunapo zungumzia jambo la msingi watu wanarudi nyuma kwenye uchaguzi na Vyama vya siasa, tusiwe vishoka jamani au tusiwe na akili ya kuku kwasababu gani, unakatazwa hiki baada ya muda unafanya the same.

Selikali hapa ni propaganda Tanzania, na Hawa CUF si wanafurahi sasa hivi, we subiri changa litakapo anza kuwawasha next uchaguz

Ni kazi ngumu kidogo mkuu....uzuri nilwahi kufundisha EWW(Elimu ya Watu Wazima) enzi hizo
 
Selikali ya umoja wa kitaifa sisi watazania hatuuwezi tutaishia kuenda kimasiaramasiala hivi hivi
 
Back
Top Bottom