Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,192
- 3,351
why kwaniin hili somo wa2 weng sana wanalichukia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
THE WORLD AFTER 2020 - EMPLOYING LOGIC |
why kwaniin hili somo wa2 weng sana wanalichukia
why kwaniin hili somo wa2 weng sana wanalichukia
Vifaa vya kufundishia na kujifunzia,aina ya walimu, njia za kufundishia ,motisha pia promosheni!!!!
Vyote vipo nyuma!
Nililichukia baada ya Mwalimu wangu kutumbukiza kitu kinaitwa 'pai', na nilipomuuliza huyo pai ni mdudu gani na anatoka wapi, nkaambiwa 'leave pai as pai'. Hiyo ilinikata stimu kabisa.
Hata mimi sijui ila ni perception ya watu tu kuwa somo ni gumu but mathematics si gumu hata kidogo
maths ngumu banaa,huwezi linganisha na somo kama history geograph au chemistry,inahitaji thinking ya hali ya juu!
Kwani katika mambo ya kawaida hakuhitaji thinking ya hali ya juu? Math ni somo la kawaida tena sana inahitaji kusoma na kujituma kujua basi. kama unaweza biology why not mathematics?