Hivi wenzetu wahindi hawana timu?

hata nchi zingine eg ukienda afrika ya kati,gambia au bangladesh wanauliza pia tanzania hakuna soka,au inajulikana kwa fani gani.
 
india wanatufunga,nakumbuka mwaka 1993 au 1994 timu yao ya taifa ilikuja ikadraw na yanga 0-0,ikaichapa simba 2-1 dar es salaam
 
lazima ujivunie kuwa m'bongo kwa sababu hili la wahindi kutaka kucheza peku ni wewe tu hulijui

Umejuaje kuwa hupenda kucheza peke?inamaana hawapendi kuvaa? Hebu preta fafanua vizuri jamani.:pound:
 
Kama kungekuwa na mashindano ya kuzaliana na kulala hovyo barabarani, au mashindano ya kula pilipili basi wangeshiliki na kuburuza Dunia nzima
 

..Ni swali ambalo limenijia kutokana na sekeseke hili la kombe la dunia. Wadau naomba msaada kutoka kwenu kama kuna anayejua kuhusu soka huko India. Zaidi ya hayo hongera Ghana kwa kufika hapo ilipofika


Wanajulikana sana kwa mchezo wa cricket, nchi nyingi wanajitangaza kwa mchezo huu hususan England, Australia, India, Pakistan, South Afrika, Zimbabwe na hata Kenya wananyemelea kuwa kwenye top cricket teams bila kuwasahau West Indies wamebadili jina hawa sijui wanaitwaje siku hizi etc. Mchezo huu unakufundisha kuwa na subira mnaweza cheza siku nzima bila runs au mchezaji kutolewa nje etc.

Soka imewapiga chenga kama Tanzania inavyopigwa chenga.
 
Usizungumzie kuhusu timu ya Simba.
Simba ni uharo tu
teh teh teh teh,ila kaka nimejaribu kuangalia ukweli nimegundua gaucho alikuwa anahitajika brazil,mana walikuwa na viungo wakabaji walimkosa mchezeshaji,ila sidhani lakini kama ni 7bu wao kutobeba kombe mwaka huu 2010 fifa world cup south africa,nimeingilia mada ingine lakini,ila india kiwango ni sawa na sisi tu hatuchekani kwa maana nyingine,stay blessed and peace.
 
Tatizo la mhindi ukimpa kona yeye anafungua duka. Umenipata apo?
 
teh teh teh teh,ila kaka nimejaribu kuangalia ukweli nimegundua gaucho alikuwa anahitajika brazil,mana walikuwa na viungo wakabaji walimkosa mchezeshaji,ila sidhani lakini kama ni 7bu wao kutobeba kombe mwaka huu 2010 fifa world cup south africa,nimeingilia mada ingine lakini,ila india kiwango ni sawa na sisi tu hatuchekani kwa maana nyingine,stay blessed and peace.

Unajuwa kochaDunGayembe alisahau kuwa Saint Gaucho mmoja ni sawa na Philip Melo wanne.

Mwisho wa siku kabaki anajambajamba hana mtu wa wakukusanya kijij na kisha kutoa pasi zenye upako.

Kwa kifupi laana lilijibu mapema mno.
Na nilifurahi siku hiyo saaaana.
Nilikunywa Jack Daniel, nilitafuna Mirungi, nilikandamiza na Chalas, nikamaliza kwa kumung'unya Kubel mida ya saa kumi kasoro Alfajiri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom