Hivi we nani hadi uwe wa kwanza kwa uliye naye!!!!!!!

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,319
Nimekutana na threads kadhaa ambazo wadau wanalalamika kuwa wamegundua kuwa walio nao wana wapenzi wengine hivyo wanaomba ushauri. Nimeona niianzishie thread kabisa, ili lijadiliwe upya.

Kwa wanaume,
Mwanamke mzuri unayemuona leo, ameshaonwa na wanaume wenzio kibao kabla yako. Unapomtongoza leo, keshatongozwa na wanaume kibao kabla yako. Na usishangae anapokukubalia leo, keshawakubalia wengine kabla yako. Hivyo sio kitu cha ajabu, kukuta kuwa demu wako alikuwa na mtu/watu wengine na pengine bado wanawasiliana.
Kwa taarifa yenu wanaume wenzangu ni kuwa asilimia kubwa ya wasichana wazuri siku hizi wana wapenzi mmoja au zaidi waukwel, na wengine kadhaa kwenye reserve list. Wanaume wengi waliowapata wanawake wazuri, hata kuwaoa, waliwazidi nguvu wanaume wengine waliokuwa wanataka hiyo nafasi. Hivyo itakuwa ni ujinga usio na maana eti unapolalamika kuwa nimegundua mpenzi wangu anawasiliana na x wake, au ana mpenzi mwingine.
Wasichana wengi wazuri hupunguza idadi ya wapenzi wa kwel au wa reserve list, pale mmoja wapo anapobahatika ku upgrade mahusiano kwenda level ya uchumba, na huwamaliza kabisa wanapoingia kwenye ndoa, japo kuna wengine wanakosa adabu na kuendelea na ma x hadi wakiwa kwenye ndoa.
Hivyo wewe uliye na demu mzuri kwa sasa, usivimbe kichwa na vijimamaneno unavyoambiwa 'upo peke yako' au 'bila wewe siwezi ishi'. Kwa taarifa yako mpo kadhaa, na wewe unapewa heshima unayopewa kwa sababu tu ya juhudi zako za kuonyesha upendo. Siku ukiharibu tu mwenzio anachukua nafasi fasta.
Na kwenu wanaume mnaojijua kuwa mnamendea demu mwenye mpenzi, msikate tamaa. Endeleeni kupiga jaramba hapo nje, kwani wakati wowote yakifurumuka humo ndani unawezajikuta unaambiwa vaa jezi, ingia, then unapata nafasi ya kuonyesha kiwango chako, na namba unaimiliki moja kwa moja.
 
Mke au kimada/nyumba ndogo!!!! Kwa mke (baraka za padri na sheikh) kauli yako ina utata kidogo. umegeneralise mno
 
i think hilo sio tatizo,tatizo ni pale mtu anaposhindwa kudeclare mapema kuwa ana mtu mpk hapo mtu ashajenga mazoea naye ndipo anajua kuwa una mtu-its time wasting
 
Hawezi kudeclare mapema P, wanaume wenyewe siku hizi nao wa kubip. Wasichna wengi wanachofanya wanajitahidi kucheza karata zao vizuri, na kuangalia yupi yupo siriaz
 
Nimekutana na threads kadhaa ambazo wadau wanalalamika kuwa wamegundua kuwa walio nao wana wapenzi wengine hivyo wanaomba ushauri. Nimeona niianzishie thread kabisa, ili lijadiliwe upya.

Kwa wanaume,
Mwanamke mzuri unayemuona leo, ameshaonwa na wanaume wenzio kibao kabla yako. Unapomtongoza leo, keshatongozwa na wanaume kibao kabla yako. Na usishangae anapokukubalia leo, keshawakubalia wengine kabla yako. Hivyo sio kitu cha ajabu, kukuta kuwa demu wako alikuwa na mtu/watu wengine na pengine bado wanawasiliana.
Kwa taarifa yenu wanaume wenzangu ni kuwa asilimia kubwa ya wasichana wazuri siku hizi wana wapenzi mmoja au zaidi waukwel, na wengine kadhaa kwenye reserve list. Wanaume wengi waliowapata wanawake wazuri, hata kuwaoa, waliwazidi nguvu wanaume wengine waliokuwa wanataka hiyo nafasi. Hivyo itakuwa ni ujinga usio na maana eti unapolalamika kuwa nimegundua mpenzi wangu anawasiliana na x wake, au ana mpenzi mwingine.
Wasichana wengi wazuri hupunguza idadi ya wapenzi wa kwel au wa reserve list, pale mmoja wapo anapobahatika ku upgrade mahusiano kwenda level ya uchumba, na huwamaliza kabisa wanapoingia kwenye ndoa, japo kuna wengine wanakosa adabu na kuendelea na ma x hadi wakiwa kwenye ndoa.
Hivyo wewe uliye na demu mzuri kwa sasa, usivimbe kichwa na vijimamaneno unavyoambiwa 'upo peke yako' au 'bila wewe siwezi ishi'. Kwa taarifa yako mpo kadhaa, na wewe unapewa heshima unayopewa kwa sababu tu ya juhudi zako za kuonyesha upendo. Siku ukiharibu tu mwenzio anachukua nafasi fasta.
Na kwenu wanaume mnaojijua kuwa mnamendea demu mwenye mpenzi, msikate tamaa. Endeleeni kupiga jaramba hapo nje, kwani wakati wowote yakifurumuka humo ndani unawezajikuta unaambiwa vaa jezi, ingia, then unapata nafasi ya kuonyesha kiwango chako, na namba unaimiliki moja kwa moja.
unajua tia moyo mhh aise
 
Hata Fabianski alikuja kupata namba ya kudumu pale arsenal, baada ya Alumnia kuumia... lol
 
na kwa upande wa wanaume vp?
wao waaminifu wana mpz mmoja ..so inabd wanawake wasiwe na hofu?
uchambuzio wako mzuri lakin ni uchambuzi kilema cz umelenga jinsia moja tu wakat subject husika inacut across adamu na eva
nawasilisha.
 
Kule kwetu tunaanza uchumba mara binti anapozaliwa kwa hiyo mimi nilikuwa wa kwanza?
 
mkuu naona nia yako siyo kuelimisha bali ni kupotosha jamii kwa kuhimiza tabia chafu ambayo mwisho wake ni maangamizi ama ya magonjwa au kujiangamiza/kuangamizana (kujiua/kuua kwa wivu wa mapenzi). ukweli ni kwamba unapoamua kuingia kwenye mahusiano mapya (me/ke) lazima uwe tayari kuvua penzi la zamani ili uwe salama (mfno, unanunua kiatu kipya unakivalisha juu ya kile cha zamani- utaweza kutembea kweli??? ukiweza basi ni kwa taabu sana!) kwanini ujipe taabu sana! there is a wide ground for making choice, pekua mpaka ujiridhishe/mjiridhishe then mnatulizana! mengine hayo ni kudanganya nafsi tu!:ballchain:
 
Infact sijaelewa vizuri,
Labda ni njaa ngoja,
Nitarudi ngoja niende kwanza.
 
Kule kwetu tunaanza uchumba mara binti anapozaliwa kwa hiyo mimi nilikuwa wa kwanza?
Itabidi nije kijijini kwenu mkuu kutafuta katoto kanakozaliwa, sababu style hii anayoiongelea hapa Tuko itakuwa ngumu kupata mtu mjini!!!
 
Back
Top Bottom