Ndibalema
JF-Expert Member
- Apr 26, 2008
- 10,956
- 4,648
Habari wana JF.
Jamani mwenzenu kuna swala linanitatiza sana kuhusu huu mchezo wa Mieleka.
Ni huu tunao uona kwenye TV mf. WWF, WCW n.k
yaani hapa nawaongelea akina John Cena, Batista, Undertaker na wengine wengi.
Swali langu la msingi je huu mchezo ni wa kweli au ni maigizo tu?
Kwani kuna kipindi hadi refa anapigwa, wapiganaji wakizidiwa wanatumia hadi viti kama siraha ktk mpambano na mambo yanakuwa shwari tu hafungiwi mtu.
Wakati kwenye ndondi Tyson alimmegua kipange kidogo tu cha sikio Evander Holyfried, pambano likavunjwa na Tyson akafungiwa kucheza masumbwi kwa muda.
Alafu kingine ni kama wapiganaji wanashambuliana kwa zamu zamu,
yaani mmoja anaweza akapigwa kwa dakika mbili mfululizo kisha kibao kikamgeukia and vice versa.
Lakini pamoja na mapigano yote,
Ni nadra sana kumwona mpiganaji anavuja damu.
Wana JF naomba kwa anaye fahamu kwa undani mchezo huu wa mieleka anifafanulie kama ni maigizo tu kama Movie au ni real?