Hivi Wazungu wao wanajisikiaje katika Dunia yenye 'Miafrika Ndivyo Ilivyo'?

miafrika siyo mibunifu all the time copying from wazugu kwa hiyo wazugu anasikia proud unless we change our altitudes tunaendelea tu kuomba hela za ujenzi wa barabara zetu.
.........Afadhali tumewaomba za barabara, kinachonisikitisha hata za kujenga vyoo tunawaomba! inasikitisha sana na ni aibu!
Ni aibu hata kuwaomba pesa eti ya kupambana na mbu na malaria. Ni aibu. Ni aibu sanaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Jana NASA (iliyoanzishwa na iko dominated na mizungu) wameutwanga mabomu mwezi katika jitihada kutafuta dalili za maji na hatimaye uhai. Mnaona mizungu ilivyo na akili?

Liafrika gani lingeweza kutengeneza miroketi itakayopiga mwezi (moon).

Mizungu deep down inatudharau sana sisi na ina haki ya kutudharau. Kamwe mtu aliyekuchukua utumwa na aliyekutawala hawezi kukuheshimu. Heshima inakuwa "earned".

Namsubiri Raj aje hapa maana hapatakalika. Na kwa upande mkubwa jamaa ana hoja kali kiasi kwamba kwenda naye toe to toe watu huwa hatuwezi na hatimaye huishia kumrushia matusi. Kuna siku moja aliwahi kuuliza kati ya binadamu na punda nani mwenye akili na nani anamwongoza mwenzake. Jibu lake ni wazi kuwa binadamu tuna akili zaidi ya punda. Hivyo basi hata katika binadamu wale wenye akili zaidi daima siku zote watawaongoza wale wasio na akili. Sasa linganisha kati ya mzungu na mwafrika nani anamwongoza nani?

Yaani unakubaliana na msemo huu wa Leopold Senghor kuhusu tofauti ya Waafrika na Wazungu: "Emotion is Negro - Reason is Greek"?
 
Jana NASA (iliyoanzishwa na iko dominated na mizungu) wameutwanga mabomu mwezi katika jitihada kutafuta dalili za maji na hatimaye uhai. Mnaona mizungu ilivyo na akili?

Liafrika gani lingeweza kutengeneza miroketi itakayopiga mwezi (moon).

Hapana, unless kama unamaanisha African-African. Ila African-Americans have played a major role in the fields of astronomy and space, and have much to be proud of. Kwa mfano, nani ali'Chair' Challenger disaster commission kama siyo Dr. Cuthbert Walker II? Frederick Gregory hakuwahi ku'pilot spacescraft? List ya famed African -Americans NASA Astronomers/engineers ni ndefu mno, na hata kwenye hiyo mission ya kubomu mwezi wameshiriki kibao. .. Tusipindishe historia ya NASA/ukweli.
 
Katika tafakuri zangu za kujiandaa kurudi kubeba maboksi kwa wazungu nimejikuta tena nikiitafakari nadharia tata ya 'Miafrika Ndivyo Ilivyo'. Ila leo nimeiangalia kwenye upande wa pili wa thumni. Hivi hawa wazungu ambao mwananadharia wa 'Miafrika Ndivyo Ilivyo' anadai wamependelewa na Mungu kuwa na vichwa vya kuvumbua sana wao huwa wanajisikiaje?

Kwa mfano, yanapotamkwa majina ya Galileo Galilei, Isaac Newton, Abraham Lincoln, Marie Curie, William Shakespear, Albert Einstein, Bill Gates na wazungu wengineo je mzungu anajisikiaje? Je, anajisikia kuwa hayo ni mafanikio ya Kizungu tu? Au anakubaliana na Frantz Fanon kuwa mafanikio hayo ni ya watu wote duniani ikiwamo Miafrika/Mitanzania?

Kama kuna mzungu humu ndani au mtu anayewaelewa vizuri wazungu basi naomba anisaidie kuelewa hili suala maana nadhani lina jibu la matatizo yetu Miafrika. Ningependa kujua mtu kama Jim Sinclair anajisikiaje hasa anapotoa yale matangazo yake kuhusu jinsi wanavyochota madini ya Mitanzania. Je, na yeye anajisikia kama yule Paul Mooney wa Makuadi wa Soko Huria? Kwa ujumla, je, wanajisikiaje kuhusu 'Miafrika ndivyo Ilivyo'?

Watakuwa wanajisikia vizuri tu na wanaomba tusibadilike ili waendelee kujipatia utajiri wa bure huku viongozi wetu wakiendelea kusimama mbele ya dunia nzima na kutoa statements kama ile ya JK kwamba sisi ni "grateful recipients of generous support from the government and people of the United States."
hizi statements na record za misaada zitawekwa kwenye record na kuandikwa kwenye vitabu vya historia kama njia zilizomwezesha mwafrika ku survive, historia ambayo watoto wetu na wao watafundishwa hata miaka 100 ijayo na zaidi...
 
Hapana, unless kama unamaanisha African-African. Ila African-Americans have played a major role in the fields of astronomy and space, and have much to be proud of. Kwa mfano, nani ali'Chair' Challenger disaster commission kama siyo Dr. Cuthbert Walker II? Frederick Gregory hakuwahi ku'pilot spacescraft? List ya famed African -Americans NASA Astronomers/engineers ni ndefu mno, na hata kwenye hiyo mission ya kubomu mwezi wameshiriki kibao. .. Tusipindishe historia ya NASA/ukweli.

Hebu niwekee hizo picha za hao "African Americans" niwaone maana Wamarekani weusi wengi wamechanganya damu na wazungu na wahindi wekundu.

Hata W.E.B. DuBois alikuwa ni Mmarekani mweusi lakini hebu mwangalie vizuri...jamaa ni mulatto fulani hivi..kama alivyo Obama.

Cuthbert Walker huyu hapa...hebu mtazame vizuri...siyo full bantu huyu...

Walker.abc_old.jpg



Frederick Gregory huyu hapa chini. Naye siyo full bantu huyu..Lol

gregory-f.jpg
 
.........from one being in love.....to a suicide mission/watch.....no wonder......Miafrika Ndivyo Tulivyo.......lol
 
Julius,
Mkuu wangu dhana ya Ndivyo Tulivyo sasa unaipotosha...
Vitu vyote unavyozungumzia ni vitu vinavyotokana na ELIMU hakuna zaidi.. mizungu inakwenda mwezini ni elimu ambayo hata wewe ungekuwa ktk mazingira hayo ungeweza kuyafanya..Sii akili wala IQ hata kidogo, ni sawa na nyani wa Zoo kule Las Vegas anayeweza kuvaa suti au akamenya ndizi tofauti na nyani wa msituni Mikumi. Au Simba wa sarakasi anayekata kiuno ana tofauti na Simba wa Serengeti.

Hivi unafikiri wazungu wajinga siku hizi kuweka mpango wa visa!.. wanajua mitumwa sisi tukisha ipata elimu waliyokuwa nayo wao nani atabeba box!.. hivyo wanachagua tu baadhi ya watu wa kui immigrate kwao na si kwa kufuata elimu kama mnavyodanganywa ila ni hesabu kamili ya watu wanaowataka kutoka Africa, Asia na Europe.

Sisi sote tunafanya tunayoweza kuyafanmya kutokana na yale yaliyokuwepo ktk mazingira yetu. Sema tu kosa kubwa la mwafrika hadi sasa hivi ni kutegemea mzungu kutatua matatizo yetu ambayo mengi hayatokani na mazingira..Waafrika tuna jua miezi 12, mvua ya msimu, hakuna baridi kali hivyo hata kutembea uchi ilikuwa poa tu ni jadi kuonyesha urijali..viatu haikuwa lazima, kuchamba kwa karatasi ya nini wakati maji yapo bwelele hivyo vipaumbele vyetu vilikuwa kulingana na mahitaji yetu...Tofauti na wazungu ambao walikuwa na matatizo kila kitu toka chakula, maji, hali ya hewa na kadhalika.. Ni kutokana na matatizo hayo wenzetu waliweza kutafuta solution za matatizo hayo.. Kinachofanyika leo hii ni sisi tunataka kuwa kama wao bila kujali matatizo tulokuwa nayo.. Hivyo mapungufu yetu yanahesabuika ktk kuwafikia wao na sii matatizo yetu.

Mzungu anatafuta kwenda mwezini kwa sababu ya matatizo yake.. mzungu anatafuta source nyingine ya nguvu iwe uwezo wa ku replace Oil, nuklia power station na kadhalika. Ni vipi wanaweza kuitawala dunia au ku monitor dunia wakiwa juu basi sii swala la kutafuta maji na uhai.. Hizi kamba kweli na wewe unazikubali mkuu wangu.. Maji gani wanayotafuta ikiwa dunia hii robo tatu ni maji, tumezunguykwa na maji kiasi kwamba tunaogopa kwamba dunia hii itakuja mezwa..Maji ya nini na uhai upi wanaoutafuta huko ikiwa wameshagundua kwamba hakuna Oxygen.. hayo maji yataweza vipi kuwa formed.

Kwa hiyo mkuu wangu kusema kweli waafrika hatuna shida kabisa zaidi ya Umaskini na tukitazama kwa makini nini asili ya umaskini wetu kulingana na vipimo vya Ulaya utakuta ni vitu ambavyo sisi hatukuvihitaji kabisa zaidi ya sisi kujaribu kubadilisha maisha yetu yawe kama yao badala ya kutafuta matatizo yetu na kuyatafutia solution. Tunasoma Elimu kwa ajili ya Ulaya zaidi ya Afrika, iwe historia, Geografia, sayansi au hata fizikia, Ni elimu ambayo imetungwa kwa ajili ya mazingira na kuboresha maisha mahitaji ya Ulaya zaidi ya mazingira yetu.. Tazama mbolea tunayoitumia haikutengenezwa kwa kuboresha mazao yetu, tukitumia tu inaharibu ardhi yetu,
hatukuwa na haja kutumia mbolea ya mzungu ila kwa sababu tulikula hadi mbegu zetu ilitubidi tuagize mbegu za kizungu kupanda upya kilimo kilichokufa..Angalia hao kuku, ng'ombe, nguruwe na siku hizi nasikia tunafuga hadi Turkey..huo Mchele, Mahindi, ngano vyote mbegu sii zetu za asili bali zinatoka Ulaya na ajabu ni kwa matumizi yetu sisi wala sii biashara.

Sasa vitu hivi vitaweza vipi kweli kustawi kwetu bila kutumia njia zile zile wanazotumia Ulaya na kushindwa kwetu kuvistawisha vitu hivi kunatokana na kutokuwa na elimu yao...
Hivyo makosa yetu makubwa ni ktk kuiga sana Ulaya tukasahau priority zetu ktk kupambana na umaskini. Tazama Wachina wao kwa kufuta umaskini walichofanya ni kutazama Ulaya wanataka nini yaani soko lipo Ulaya.. Matatizo yao wameshayawekea mfumo kwa ajili yao, hivyo badala ya kulima mpunga kwa watumizi yao wanalima mpunga kwa ajili yao na mwingine (for export) kwa ajili ya soko la nje.. Kama unakumbuka wakati wa Nyerere kulikuwa na beer Safari na Kilimanjaro za soko la ndani na nyingine kwa soko la nje (for export)! radha na matengenezo yake yalikuwa tofauti..
Leo sisi kwa ujinga na Ulimbukeni kwa shida na njaa tunawaita wageni kuja kulima ndani ya mashamba yetu pasipo sababu ya msingi..tena ati waarabu kuja kulima watu wasiokuwa na asili kabisa ya kilimo zaidi ya kuwa na fedha!
I mean nambie ni kitu gani wananchi wanachoshindwa ambacho mwarabu wa Saudia anaweza kama sii mtaji!.. Nina hakika wakulima wao watakuwa wananchi hao hao wenye ardhi na wanaofukuzwa leo, walichokosa ni mtaji wa kilimo cha kisasa that's all.. Then hizo Bank zetu kazi yake nini?.. Au Serikali inashindwa vipi kuingiza matrekta wakayakodisha kwa wananchi kwa kupitia Halmashauri za miji..Kama hawawezi yapo washirika yanayoweza kufanya hivyo, Kenya wanafanya hivyo..Mpakani na Tarime bonde lote la Sirari limejaa mashamba ya MIWA ambayo wananchi wamekodisha ardhi zao kwa mashirika ya nje..Wee nambie nani Tanzania asingekodisha shamba lake kwa hao waarabu kama hesabu zingekuwa zinakubalika. Lakini kwa uroho wa serikali badala ya kuwasaidia wananchi kuondokana na Umaskini kwa mali zao za urithi wa Uhuru wao serikali inachukua maamuzi dhidi ya wananchi maskini...yaani badala ya kuwaondolea matatizo serikali inawaongezea matatizo wananchi wake, tena nashangaa sana serikali haikuweza kuingilia nyumba za Kariakoo, pengine hawakuwa na jinsi tu lakini wangependa sana waziuze wao kama inavyofanyika huko Kigamboni.

Hivyo mkuu wangu kwa uwezo wa kufikiri tu jinsi serikali zetu ilivyokuwa mbovu, uwezo wa wewe kuyaona makosa ya tawala za kiafrika na jinsi tunavyoshindwa kujiendeleza ni hatua nzuri ya kuelewa kwamba Upofu wetu hautokani na maumbile hata kidogo.. Maadam Julius kaweza kuyaona makosa basi tayari umekwisha identify tatizo kazi kubwa ni jinsi ya ku solve hilo tatizo.. wenzetu swala kama hili halina mjadala hata kidogo, watakaa chini to identify a solution, lakini sisi Kina Ndivyo Tulivyo tutatazamana kwanza kisha tutamgeukia mzungu na kumuuliza anasemaje ahata kama huyo mzungu hakuona hilo tatizo!
 
Yaani unakubaliana na msemo huu wa Leopold Senghor kuhusu tofauti ya Waafrika na Wazungu: "Emotion is Negro - Reason is Greek"?
Kulalamika peke yake haitoshi. Naomba kusikia ufumbuzi basi. Tufanye nini tujikwamue? Ni minyororo gani imetuzingira? Maana kulalamika (blaming) pekee si chanzo cha uvumbuzi. Naomba kusikia kutoka kwenu
 
Afrika ina wazungu pia, na uzunguni kuna Waafrika, wengine viongozi kama Obama. Je Obama ubongo wake una tofauti gani na ubongo wa Waafrika wengine? Hakuna haja ya kukata tamaa.
 
Tidor,
Mkuu wangu kabla ya kusema tufanye nini lazima tujiulize kwa nini wazungu wanasema Emotion is Negro - Reason is Greek" na sisi tuna jawabu lipi..
Ukitazama kuna ukweli mtupu katika maneno haya kwa sababu sisi tunayo matatizo tena sii makubwa kama ya wazungu ukiweza pima mazingira yao na yetu.
lakini kinachofanyika ni kipi.. Sisi kwa matatizo yetu tunalalamika, Emotions zinatushika na kulia sana kutafuta mchawi wakati tatizo liko palepale.. wenzetu wana Reason out kwa kila tatizo.

Kama nilivyokwisha sema hapo awali kwamba utaratibu wa mtu akiumwa hutafutwa sababu ya maradhi yale, mgonjwa anapimwa, anatibiwa, na kama gonjwa la kuambukiza basi chanjo inafanyika na chonzo cha virusi vinafutwa. Utaratibu wote huu unatokana na hiyo Reason..
Sisi on the other hand, mgonjwa akiumwa kwanza tunafikiria kalogwa, nani mchawi, na mganga anapatikana wapi, hakuna diagnosis ila process ya matibabu ni kutafuta vitu ambavyo sii rahisi kupatikana.. na kama ni ugonjwa wa kuambukiza tutakufa wengi kwa sababu undugu wa mwafrika ni ktk maradhi.. Yote haya yanaendeshwa na Emotions!
Sasa basi kinachotakiwa kufanyika ni sisi kwanza kuelewa matatizo yetu ni yapi. meaning kama ni Umaskini basi ufanyiwe diagnosis, sii ndio elimu tuliyoisoma jamani?..Nina hakika maradhi ya umaskini wetu ni maradhi ya tropical (sub Sahara) hivyo dawa yake haiwezi kuwa sawa na ile ya Ulaya kwani hatukupita nyayo zile zile za umaskini wa Ulaya. Vurusi vya umaskini wetu vinatokana na mazingira yetu, watu wake na umaskini unazidi kusambaa kwa sababu hatukufuata utaratibu wa tiba.. bali tunajaribu madawa ya kuongeza nguvu na unene pasipo kuelewa haswa tunaumwa nini... wanachotupa IMF na vyombo vyote vya Ulaya ni madawa ya kukuza uchumi wetu (unene) hali ndani ktk community zetu gonjwa la umaskini lipo na virusi vyake vinazidi kusambaa. Na kibaya ni kwamba kwetu sisi Ndivyo Tulivyo huo unene siku zote ni dalili ya Afya nzuri! hivyo utabishana sana na wasomi wetu ambao wanahadaika na unene wa GDP..

Mwalimu Nyerere alisema Adui wetu wakubwa ni watatu - Afya, Ujinga na Umaskini.. lakini tazama nguvu yetu ktk kuboresha vitu hivyo! inachekesha kabisa lakini ukitazama matumizi yetu makubwa ni katika kuongeza nguvu yetu kimataifa tunenepe ili mataifa mengine yasijue kama Tanzania tuna gonjwa la Umaskini.. Tunaficha radhi hili kama Ukimwi... emotion kwa saaana lakini roho zetu zinatusuta tumeshindwa kukubali kwamba sisi ni maskini, wajinga na wenye Afya mbovu.

Sijui kama umenielewa napotumia mifano ambayo ni ktk hulka na tabia za maisha yetu ya kila siku.
 
Mkandara asante kwa kumpa shule Julius. Tofauti kati ya Wazungu na Waafrika sio nasaba. Hata wanasayansi/wataalamu wa vinasaba wanasema kuna tofauti kubwa za kinasaba miongoni mwa Wazungu wenyewe kuliko tofauti yao na Waafrika na hivyo hivyo kuna tofauti kubwa za kinasaba miongoni mwa Waafrika wenyewe kuliko tofauti yao na Wazungu.
 
Kulalamika peke yake haitoshi. Naomba kusikia ufumbuzi basi. Tufanye nini tujikwamue? Ni minyororo gani imetuzingira? Maana kulalamika (blaming) pekee si chanzo cha uvumbuzi. Naomba kusikia kutoka kwenu
Wapi tunalalamika? Unataka kupewa ufumbuzi? Hilo ndio tatizo lenyewe tunalojaribu kulitafutia ufumbuzi hapa - tatizo la kutaka kupewa ufumbuzi!
 
-kama atutojifunza basic na kuwa na discpline ya mendeleo
-mambo ya kupenda kusikia tunachotaka rather deal with the facts
-kutokakua realistic with life
-kutokua na plan za maisha na targets to motivate the going
-kupenda kuongopa mkapa kujiongopea mwenyewe

Na hii ni kwa wale wanao jiita wasomi, sasa atujafika hata kwa wale wa vingunguti ni hatari kwa kweli.

Mfano wa maendeleo yeyote JF has been a round for some time lakini ni MWKKJ peke ndio so far has got their attention.
Why? because he is persistent and doesnt shake, ni discpline hiyo ndio inayoitajika kokote kwenye maendeleo hamna. Lakini kwenye discipline ndio kunatoa desired outcomes. Sasa the guy is he special no, but he has the discipline and clear vision of his battle. Na hiyo ndio tofauti kubwa ya wazungu na Miafrica discipline amna.

Leo hapa una laumu viiongozi kesho mnatukanana dini, kwa kua viongozi wetu ni wasomi wanaona its a joke no wonder only one member has really got their interest because of his persistence. Leo tuna ambiwa mpaka baadhi ya mods wana two three ID's to argue into other silly debates, sasa kuna move kweli hapa.

Now analyze the thinking in our society ndio utamuelewa jamaa anaesemaga 'kazi kweli kweli'.
 
Katika tafakuri zangu za kujiandaa kurudi kubeba maboksi kwa wazungu nimejikuta tena nikiitafakari nadharia tata ya 'Miafrika Ndivyo Ilivyo'. Ila leo nimeiangalia kwenye upande wa pili wa thumni. Hivi hawa wazungu ambao mwananadharia wa 'Miafrika Ndivyo Ilivyo' anadai wamependelewa na Mungu kuwa na vichwa vya kuvumbua sana wao huwa wanajisikiaje?

Kwa mfano, yanapotamkwa majina ya Galileo Galilei, Isaac Newton, Abraham Lincoln, Marie Curie, William Shakespear, Albert Einstein, Bill Gates na wazungu wengineo je mzungu anajisikiaje? Je, anajisikia kuwa hayo ni mafanikio ya Kizungu tu? Au anakubaliana na Frantz Fanon kuwa mafanikio hayo ni ya watu wote duniani ikiwamo Miafrika/Mitanzania?

Kama kuna mzungu humu ndani au mtu anayewaelewa vizuri wazungu basi naomba anisaidie kuelewa hili suala maana nadhani lina jibu la matatizo yetu Miafrika. Ningependa kujua mtu kama Jim Sinclair anajisikiaje hasa anapotoa yale matangazo yake kuhusu jinsi wanavyochota madini ya Mitanzania. Je, na yeye anajisikia kama yule Paul Mooney wa Makuadi wa Soko Huria? Kwa ujumla, je, wanajisikiaje kuhusu 'Miafrika ndivyo Ilivyo'?

Mkuu Companero, heshima mbele.

Mimi nipo ughaibuni miaka mingi sasa na toka nimetia mguu huku nimejifunza mengi saaana.

Nimejifunza kwamba wazungu ni watu wa aina gani, tabia zao, hulka zao na ni kwanini hawaoneshi kwa nje kwamba mwafrika wanamchukulia kwamba yupo majuu kwa bahati mbaya.

Jamii ya wazungu hasa Ulaya Magharibi) inaamini kwamba wanaamini kwamba jamii yao imejengwa kwa utaratibu ambao una mpangalio unaoeleweka na ambao utatambulika kote ulimwenguni.

Hizi vita yoote unayoiona duniani inatokana na dhana hio na ukifuatilia kwa makini utasikia wanatamka maneno kama "our tradition and values", "freedom", "better life", "world order" na "our way of life".

Marekani walitawaliwa na waingereza lakini baada ya vita vya kikabila na kuvumbuliwa kwa "The New World", George Washington na Abraham Lincoln waliondoa mawazo hayo ya kwamba jamii fulani ni bora kuliko ingine na kuweka dhana kwamba jamii yote ni sawa na itatambulika kwa misingi ya usawa na tofauti na mifano umeiona kwamba Collin Powel, Condoleesa Rice walikuwa mawaziri wakuu wa kwanza nchini humo na sasa kuna raisi Barak Obama na hawa wana damu ya mwafrika ukiondoa mama Rice.

Sasa kama hali hii ya mtu mweusi kuweza kuwa na nafasi ya juu katika vyombo vinavyoongoza nchi kama Uingereza na akakubalika katika jamii yote ndio ambayo huwa naisubiri niione Mwenyezi Mungu aniendelea kunipa uhai.

Sisi waafrika tulitawaliwa na wazungu miaka hio iliopita na bado mpaka sasa tunatawaliwa kwa mtindo wa utandawazi, biashara huria, na migogoro katika maeneo kama DRC, Darfur, Niger Delta, Somalia, Elitrea, Ethiopia na sasa Guinea Bissau.

DRC kuna vita ambayo ni ya kubadilishana silaha kwa dhahabu na almasi, na vita hii majeshi ya umoja wa mataifa yanashiriki na nyuma yake serikali zote za Kiafrika zinashirikiana na zile za mataifa ya magharibi.

Hali ni hiohio katika maeneo mengine niliyoyataja. Lakini waandishi wa habari wa Afrika wakiwemo wale wanaofanya kazi katika vyombo vya habari vya nchi za magharibi wamekuwa ni wasimulizi tu wa habari za vita hivyo pasipo hata siku moja kuwaweka kiti moto viongozi wa nchi hizi na kuwasuta.

Ughaibuni huwezi kwenda kugonga mlango kuomba chochote ule, huwezi kuokota pesa, huwezi kuomba mtu pesa njiani na akakuonea huruma, na huwezi kufanya madili ya ajabuajabu, ila unaweza kuchakarika kwa kazi na kula kwa jasho lako.

Kwa hio mimi nadhani bado sisi waafrika wengi wetu bado ni watu tunaoendekeza tabia ya kujijali binafsi na ndio unaona watu wanafanya madudu ya ajabu ya EPA na kadhallika.

Wazungu wengi wakija Afrika wanaendeleza desturi zao bila kujali kwamba wapo wapi na mifano mbona ipo mingi tu kwa kuangalia wanaishi wapi, wanafanya manunuzi wapi, na wanapata starehe wapi.

Sidhani kama wanajali kwamba sisi waafrika kama tunawasumbua.
 
Afrika ina wazungu pia, na uzunguni kuna Waafrika, wengine viongozi kama Obama. Je Obama ubongo wake una tofauti gani na ubongo wa Waafrika wengine? Hakuna haja ya kukata tamaa.

Obama ni nusu mzungu nusu mwafrika. Nadhani hapa tunazungumzia full bantus kama kina Mugabe....
 
Mkandara asante kwa kumpa shule Julius. Tofauti kati ya Wazungu na Waafrika sio nasaba. Hata wanasayansi/wataalamu wa vinasaba wanasema kuna tofauti kubwa za kinasaba miongoni mwa Wazungu wenyewe kuliko tofauti yao na Waafrika na hivyo hivyo kuna tofauti kubwa za kinasaba miongoni mwa Waafrika wenyewe kuliko tofauti yao na Wazungu.

Shule ya kinadharia haitanishawishi mimi. Kitakachonishawishi ni sisi Miafrika kufanya kweli na kuanza kuishi maisha bora kama mizungu. Longolongo nyingi hazitatui matatizo yoyote.

Haya nendeni kule Mbinga mkajenge shule bora zenye viti na sio wanafunzi kukaa chini kwenye vumbi. Is that too hard?
 
Hata mimi nina wasiwasi huenda IQ zetu ni Ndogo sijui ni kwa sababu ya mazingira au urithi au vyote.Iq is based on what you have achieved not what you are capable of achieving. Ukifanya mtihani kila ulichopata ndo uwezo wako. wameproduce na wanendelea kuproduce kila kitu kinachorahisisha na kuwezesha maisha duniani.Maprofessa wetu hakuna hata moja anayeishi kwa kutegemea au kuendeleza research works zilizompa uprofesa.wote walipata cheti then wakaanza maisha na mambo megine kabisa ambazo hazina usiano na utalaam wake. waafrica tunapenda short cut. waafrika tu tulivyo ni usemi unaotufaa kabisa.Wakiona tunaomba chakula na nguo kutoka kwao, tumeridhika na tunafurahia maisha wanajua ama kweli miafrika ndo walivyo.
 
Back
Top Bottom