Hivi waziri kama Mwinyi anajiskiaje anapoona picha kama hii??

ZionTZ

JF-Expert Member
Oct 6, 2009
1,283
538
Hivi waziri kama Mwinyi anajiskiaje anapoona picha kama hii?? je kitendo cha yeye kuendelea kung`ang`ania madaraka tukitafsirije???? kwangu namuona zaidi ya muuaji...
 
Attachments

  • 170220111580.jpg
    170220111580.jpg
    169.9 KB · Views: 271
  • 170220111581.jpg
    170220111581.jpg
    150.1 KB · Views: 97
Ninyi watu hamna kumbukumbu hata kidogo....Mwacheni tu hapo kwenye uwaziri.. au munataka,munapenda kumuona siku moja anakuwa Rais wa TZ?

Hivi hamjui kuwa Baba yake Waziri Mwinyi, "Mzee Ruksa" Rais mstaafu Ali Mwinyi alijiuzu uwaziri wakati wa Nyerere na kuibukia kuwa Rais TZ?

Akiondoka basi atarudi kwa gia kali kama ya Lowassa!

Ilivyo awajibike, awajibishwe, tatizo ni system yetu baada ya muda kutokana na madudu uliyofanya basi unarudishwa ndani ya system na unapandishwa cheo.
Wakimtoa hapo, watampeleka kuwa balozi, halafu watamrudisha kuwa Waziri mkuu au Rais.
Sasa nafuu iko wapi?

Ona hiyo post # 4 utafahamu vipi CCM wanacheza karata zao.
 
Ajiuzuru , haya mabom mpaka lini ya mbagala yalitosha kuwa fundisho!
 
Hivi waziri kama Mwinyi anajiskiaje anapoona picha kama hii?? je kitendo cha yeye kuendelea kung`ang`ania madaraka tukitafsirije???? kwangu namuona zaidi ya muuaji...
Anajisikia kama kawaida kwa kuwa hiyo ni ajali hakuna mutu anayekusudia kufanya mambo Kama hayo.
 
Akiiona hiyo picha yeye anafurahi sana na kuagiza kikombe kingine cha kahawa!:behindsofa:
 
Hakuna mankiti yoyote kwa waziri wa jeshi la wananchi na JKT kujiuzulu,wanaopaswa kufukuzwa kazi ni watendaji wa jeshi la wananchi kuanzia mkuu wao,wakuu wa vikosi wa mahali yalipotokea maafa na wengine wote watakaoonekana inafaa.

Kwa sasa serikali yetu haieleweki ilipo kwani mambo mengi yanayofanyiwa maamuzi hayana manufaa makubwa kwa wananchi,angalia suala la umeme,kupanda kwa petrol,kupanda kwa bei za vyakula na ujenzi,kupanda kwa nauli,ubovu wa miundombinu,uuzaji wa nyumba za serikali kiholela,kuvuruga mfumo wa elimu,michezo kutokuwa na mwelekeo,vijana kukosa mwelekeo kimaisha,nk.(hapa nani anayestahili kubakia serikalini?).

System nzima ni tatizo,huwezi kumwondoa waziri mwinyi wengine wakabaki,hata wao hawana sifa za kuendelea kuwepo walipo.Suala la mbagala ilikuwa fundisho hasa kwa mkuu wa nchi,si ndie tuyempigia kura,hao wengine si wamealikwa tu!
 
kuna kitu wana kiita COLLECTIVE RESPONSIBILITY' kwa hili Mwinyi anatakiwa mara moja kujiuzulu, MKuu wa Majeshi na idara ya usalama wa Taifa pia manake wao wanajua kazi yao ni kmlinda rais na sii usalama wa raia hata jina lenyewe linanishangaza usalama wa taifa au usalama wa rais???tatizo la Tanznaia kila mtu akishapewa cheo anajiona Mungu mtu hakuna kujali.....thats terible.
 
Back
Top Bottom