Hivi wazee ambao ni couples (70+)yrs huwa wana do sex?

wanaume hawana expiring wanafanya hadi siku uhai wake utakapochukuliwa na mtoa roho maana ile kitu hata ukiwa mzee wa 100+ inasimama ila ukipiga mechi moja ya pili utapata kwa tabu sana. kwa wabibi wakifikisha age hiyo hamu nayo inapotea hawana tena mzuka pia ule ulaini knye uke nao hupotea hivyo wakifanya mapenzi huishia kuumia.
 
  • Thanks
Reactions: rom
Napita tu. Jestina, changia mada km umeona vibabu/vibibi vina-do, usiogope
 
Last edited by a moderator:
Naskia kama untaka kujua babu hatunaye tena tembelea ikulu utakuta mzee keshatema ujue ndo hivyo tena kesharudi kwa muumba wake
 
ng'ombe hazeeki maini..wanafanya ingawa sio kwa walio wengi kwani hata mawazo yao hawawazi sana kuduu kama vijana.
 
Kwa vibabu ngoma kama kawa ila vibibi, noma, wakifanya wanaumia sana, manake mashine, lubricants zinakuwa zishaisha mwilini na haziwi manufactured tena.
 
Back
Top Bottom