Hivi watu wa Mbeya ni vichwa sana?

wataalam wa mambo wanadai wana roho 7 kama paka,

so ulimboka zilikufa roho 5 zikabaki 2
makyembe zilikufa 6 ikabaki 1
mandyosia zimeshakufa 3 bado 4
mwaikombo kwa bahati mbaya zote 7 ziliondoka kwa mpigo.

mungu awape nguvu wapone tuendelee na mapambano

Naona mapambano dhidi yao yanaendelea
 
ni jamaa wa TISS? vipi alikuwa na kashfa gani? nafikiri atakuwa anatokea mbeya. kumbuka tunaongelea watu wa mbeya sio kabila gani , sawa?

Apson cornel(aliamua kujiita mwang'onda).Baada ya kazi ya TISS (kushuswa cheo).Alizaliwa Tabora na kukua na kusoma huko.Amekuja mbeya miaka ya hivi karibuni.
 
ila kwa utafiti wangu mwingine nimegundua kwamba hawa Watu wa Mbeya wana Vichwa vikubwa sana in terms of size(physically) ukilinganisha na makabila mengine.ni maoni yangu tu,,,nyie mnaonaje?
 
wataalam wa mambo wanadai wana roho 7 kama paka,

so ulimboka zilikufa roho 5 zikabaki 2
makyembe zilikufa 6 ikabaki 1
mandyosia zimeshakufa 3 bado 4
mwaikombo kwa bahati mbaya zote 7 ziliondoka kwa mpigo.

mungu awape nguvu wapone tuendelee na mapambano

wewe chizi sana mkuu
 
Daima watu wanaotetea haki huuwawa. Haya ndio yanayotokea. Si lazima iwe mbeya ni mikoa yote akitokea mtu anadai haki sana
 
Kikwete hajawahi kukanyaga Mbeya tangu achaguliwe 2010.Nape mwenyewe kashindwa hata kuhutubia mkutano wa hadhara tangu alipoingia Mbeya, Watu wa Mbeya hawadanganyiki isitoshe wameshaichoka CCM rejea vurugu za machinga ilikuwa vita kali mpaka jeshi kuingilia kati maana polisi wote walishindwa tena wa mikoa miwili Iringa na Mbeya.

Hapo kwenye bold sio habari ya kweli.
Kikwete alikuwa Mbeya mwezi uliopita, kuzindua mradi wa maji katika kijiji cha Swaya, Mbeya Vijijini. Kazika ziara hiyo alitua katika Uwanja wa Kimataifa wa Songwe, akiwa ni mtumiaji wa kwanza wa uwanja huo. Soma habari zake HAPA, HAPA na HAPA
 
Ongeza hawa...

6. Jaji Mwakasendo...
7. Law Prof. Jwani Mwaikusa


I say usinikumbushe Mwaikusa, very sad story, japo inasemekana aliuwawa na jirani zetu wa Rwanda bada ya kuona anakaribia kuanika ukweli juu ya mauaji ya Rwanda
 
Back
Top Bottom