Mazingira
JF-Expert Member
- May 31, 2009
- 1,833
- 298
Watu wanaoweza kuiongoza hii nchi na kutupeleka kwenye nchi ya maziwa na asali ni wa kutoka mikoa mitatu tuu,MBEYA, KAGERA na KILIMANJARO nadhani hata kwenye baraza la mawaziri la sasa mnaona utendaji wao.
Siyo kweli. Naweza kusema kuwa watu waadilifu zaidi ni wa-Kurya. Akipatikana kiongozi aliyeenda shule Mkurya nchi itakuwa ni ya asali na maziwa.
Mifano mibaya.
Moshi:Mramba (kaiba na kuuwa ATC), Mgonja, Anna Mkapa etc
Kagera: Karamagi (jizi la kupindukia, kauza madini yetu na anaihujumu bandari)
Mbeya: Nafuu Mwakyembe. Mwandosya hafai kabisa. Ni mkabila mno na aliihujumu TTCL akiwa waziri wa mawasilianao na uchukuzi in favour of Airtel. Na akiwa waziri wa maji alizuia DAWASCO kuwakatia maji mawaziri wanaokwepa kulipa bili zao(hafai kuwa kiongozi huyu), wengine ni hao akina Mboma na Mwang'onda etc