Hivi watu wa Mbeya ni vichwa sana?

Synthesizer

JF-Expert Member
Feb 15, 2010
11,143
18,774
Unajua nimekuwa nafuatilia jinsi ambavyo hadi sasa nimeona watu wa Mbeya wanakuwa na mwamko sana katika kupigania haki za watu, sijui kama wana kitu fulani kinachowafanya wawe hivyo. Ajabu ni kwamba mara nyingi wanakuwa victimised

1. Gibson Mwaikambo - alitaka kujiengua CCM kuingia Chadema, akapata "accident" iliyomuua siku usiku wa wa kuamkia kutangaza kujivua gamba kuingia Chadema

2. Prof. Mwandosya - tunajua yasiyojulikana yaliyomkuta

3. Dr. Mwakyembe - Tunajua yale ambayo hakuyaweka wazi yaliyomkuta na jidihada zake

4. Dr. Ulimboka - tunajua yaliyomsibu

5. ? Daudi Mwangosi - auwawa na polisi

Nilipotoa hii thread, niliweka kiulizo namba tano, na sasa naona kwa mara nyingine mtoto wa Mbeya amekuwa victim
 
siyo hivyo sema tu ni mambo yana tokea na yana wakuta tu cha msingi ni kwamba tuombe mungu atusaidie
 
wataalam wa mambo wanadai wana roho 7 kama paka,

so ulimboka zilikufa roho 5 zikabaki 2
makyembe zilikufa 6 ikabaki 1
mandyosia zimeshakufa 3 bado 4
mwaikombo kwa bahati mbaya zote 7 ziliondoka kwa mpigo.

mungu awape nguvu wapone tuendelee na mapambano
 
nahisi ni waadilifu sana! labda kutokana na mila na malezi yao, japokuwa wengi wanapost nzuri serikalini sijawasikia kwenye makesi ya ufisadi.
 
ni jamaa wa TISS? vipi alikuwa na kashfa gani? nafikiri atakuwa anatokea mbeya. kumbuka tunaongelea watu wa mbeya sio kabila gani , sawa?

Mkuu yule ni fisadi la nguvu kwa kutumia cheo chake akiwa TISS. Yeye na mwenzake Mboma nafikiri huyu naye ni wa Mbeya walikwapua mabilioni ya pesa mmoja kupitia Kagoda na mwingine kupitia Meremeta. Kikwete alipoingia madarakani akamwongezea zawadi kwa kumteua mwanaye kuwa mbunge.
 
Kiaina huwa wanawa kubali.Leave apart,hao watata.Vijana Wa Tunduma kama wangekuwa ni wote Wa-tz tungekuwa tuna unafuu,kwa ile issue ya mawe kwa wazri wa mambo...Mantk yake nn?Kjana yupi na sehemu gani kwa haraka apate awarenes haoji mtu unakuja kwenye ziara ya chama unatumia gar la serikal?Hata hawa wasomi we2 wa Teku,nk.hawakuweza fanya hvyo.
 
Watu wanaoweza kuiongoza hii nchi na kutupeleka kwenye nchi ya maziwa na asali ni wa kutoka mikoa mitatu tuu,MBEYA, KAGERA na KILIMANJARO nadhani hata kwenye baraza la mawaziri la sasa mnaona utendaji wao.
 
Unajua nimekuwa nafuatilia jinsi ambavyo hadi sasa nimeona watu wa Mbeya wanakuwa na mwamko sana katika kupigania haki za watu, sijui kama wana kitu fulani kinachowafanya wawe hivyo. Ajabu ni kwamba mara nyingi wanakuwa victimised

1. Gibson Mwaikambo - alitaka kujiengua CCM kuingia Chadema, akapata "accident" iliyomuua siku usiku wa wa kuamkia kutangaza kujivua gamba kuingia Chadema

2. Prof. Mwandosya - tunajua yasiyojulikana yaliyomkuta

3. Dr. Mwakyembe - Tunajua yale ambayo hakuyaweka wazi yaliyomkuta na jidihada zake

4. Dr. Ulimboka - tunajua yaliyomsibu

5. ?
Synthesizer niwajuavyo kwa asili watu wa Mbeya hususani Wanyakyusa huwa hawapendi kunyanyasika. Wengine watakuwa na kumbukumbu shule za secondary hadi vyuo vikuu jinsi vijana hawa walivyokuwa wakitetea haki za makundi wanayoyawakalisha. Hawana aibu. Ukienda kama Kyela kiongozi unapewa live bila chenga. Hawaoni shida kukosana na wanafiki. Ni gene tu. Ila la ufisadi, lipo kila sehemu; japo vijisenti vingi naona vimeenda Mwanza, Shinyanga, Arusha, Kilimanjaro, Bagamoyo na si Mbeya.
 
wala ndizi !akili zao vodafasta!hazikwamikwami!zinawaza na kutenda kwa kujiamini mno!
 
CCM na Mbeya ni wapinzani wa jadi.
CCM mbeya haikubaliki
Kikwete anawaonea sana watu waa Mbeya. Anawaona kama ni cheap target kuwanyanyasa na kuwafanyia anavyotaka. Aliwanyima maendeleo kwa miaka mitano kisa walimnyima ubunge mtoto wa fisadi mwenzie Mwakyoma na akawachomea moto masoko yao mara nne tangu ameingia madarakani. Wao hawana makuu wamemuachia Mungu huku wakisema NDAGA FIJO KIKWETE, KYALA YU MPOKI
 
Kuna mtu alisema katika wanafunzi wa Yesu aliwapo mnyakyusa alieitwa Filipo-yawezekana baraka za Mungu
 
Kikwete anawaonea sana watu waa Mbeya. Anawaona kama ni cheap target kuwanyanyasa na kuwafanyia anavyotaka. Aliwanyima maendeleo kwa miaka mitano kisa walimnyima ubunge mtoto wa fisadi mwenzie Mwakyoma na akawachomea moto masoko yao mara nne tangu ameingia madarakani. Wao hawana makuu wamemuachia Mungu huku wakisema NDAGA FIJO KIKWETE, KYALA YU MPOKI
na wao si walimpiga mawe kule kanga. alafu wakamkataa mpesya wakampa sugu jamaa kumpooza kampa ukuu wa wilaya kahama
 
Ndo zetu sisi wa kule mbeya mimi mwenyewe naitwa MwaPombekali!
 
Kikwete hajawahi kukanyaga Mbeya tangu achaguliwe 2010.Nape mwenyewe kashindwa hata kuhutubia mkutano wa hadhara tangu alipoingia Mbeya, Watu wa Mbeya hawadanganyiki isitoshe wameshaichoka CCM rejea vurugu za machinga ilikuwa vita kali mpaka jeshi kuingilia kati maana polisi wote walishindwa tena wa mikoa miwili Iringa na Mbeya.
 
Back
Top Bottom