Hivi watu wa IT ni wangapi kwa mishahara minono TZ?

redSilverDog

JF-Expert Member
Sep 18, 2010
470
76
Habari zenu,

Hivi kuna mtu anazo statistics ya 'professions' zinaongoza kwa kulipwa mishahara minono tanzania? Tafadhali azimwage hapa.
 
Ufisadi...hulipwi unajichotea! Yaani wao bilioni moja,wanaita vijisenti. R u tempted?

Nadhani inategemea na kampuni husika!
 
Profession/career inayoongoza kwa malipo ni Politics

  1. Politics- Mbunge ni most highest paid jimboni kuliko hata Ofisa kilimo wa mkoa engineer wa mkoa , Mganga Mkuu wa mkoa ,Afisa nyuki wa mkoa au Afisa Elimu wa mkoa Afisa Mifugo Au Afisa madini , Afisa Ustawi wa jamii. Hakuna logic but ndio hivyo
Usishange hakuna cheo cha ICT officer kwenye lever ya mkoa au wilaya.

Nadhani ukiangalia kwa waliotutanguli mambo ni tofauti . Thats why mambo yetu mengi yanakwenda mrama.
 
Back
Top Bottom