Hivi watanzania waliowachagua wabunge wa ccm wanajisikiaje sasa????

Mboko

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
1,095
293
Ni aibu sana kwa wabunge wa CCM kwa kulinda serikali yao na mambo ya kipuuzi kama kuchangai bajeti ambayo haimnufaishi mwananchi hasa yule mpiga kura na aliyetumbukiza kura yake kumchagua mbunge wa CCM magamba poleni sana nyie raia.Yaani mtu mzimaaa na akili zake anasimama kuwalinda viongozi wake mawaziri na rais wakati kafika bungeni kwa nguvu ya uma na sio nguvu ya waziri au rais,kwa kuchangia hoja mbovu nyie wabunge wa ccm ipo siku mtaulizwa na nyie wananchi waazibuni hao mnaowaita wabunge wenu kutoka ccm msiwape tena kura amkeni kuna vyama vya upunzani vikali tu Chadema nk kwa nini msiwape kura zote ifikapo 2015 ni wakati wenu sasa/wetu wa mabadiliko ya kweli
 
Kweli kabisa ni aibu kwa walio wachagua ndio maana wakiambiwa dhaifu na jk wao hawaelewi kinacho endelea.
 
wabunge wengi wa sisiem ni "misukule" wengi wanakubali kila kitu ili mradi MUKULU afurahi then wanalamba posho maisha yanaendelea...tatizo si wananchi tatizo ni elimu haipo kwa wananchi..nilizungumza na mzee mmoja yeye anaamini mpaka leo rais wa nchi bado ni NYERERE
 
Jamani karibuni napokea oda 2.jpg
 

Attachments

  • 1.jpg
    1.jpg
    22.6 KB · Views: 169
inabidi uivae ukiwa ndani kwako vinginevyo hawa askari wadaku hawakucheleweshi kusema unashatikiwa na jamhuri
 
tunatakiwa kuwa wakweli wao kimoyo moyo unajua wana sema kijana alisema ukweli. Siku zote ukweli utabaki kuwa ukweli hata wafanye nini uwezi kuubadili ukweli ndugu yangu
leo hata watoto wana jua kuwa hali ni ngumu nani asiyejua. wana muadaa sana rais wetu wakimpamba kwa maneno mazuri usijali upepo tu huu ila ukweli wanaujua kuwa wako pabaya
 
Back
Top Bottom