Hivi watanzania tunatumia leso jamani?

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,338
6,463
Nimeona mara nyingi watanzania wanasafisha pua zao kwa kutumia vidole halafu wanataka kukupa mkono wakati wa kusaliamiana au (kwa wale wakristu kupeana amani kanisani), kushika milango vitu ambavyo ni rahisi kuambukiza magonjwa ya mafua. Vitambaa hivi aina ya leso vinauzwa kwa wingi barabarani na madukani kwa bei nafuu kabisa na wengi tunanunua lakini bado tunatumia vidole kusafisha pua zetu. Hivi tatizo hapa nini? Pia hatunawi mikono mara kwa mara hivyo kujikuta tunaambukizana magonjwa kama 'red eyes', minyoo. Je kifanyike nini ili watu wanawe mikono na kusafisha pua zao kwa leso badala ya vidole? Kama uamini angalia kuanzia sasa mpaka j3 utuambie umeona wangapi wanasafisha pua kwa vidole vyao.
 
Ukishatumia lesso mara moja unaifanyaje unaitupa au, maana kuweka makamasi mfukoni ni uchafu.
 
:yuck: Lesso inaweza kuonekana ni usafi ila ni uchafu mwingine.Tissue ndo nzuri, ukishatumia unatupa!!!
 
Ndio maana mimi huwaga sipendi kusalimiana kwa kushikana mkono na watu. Huwaga natoa fist pound tu...awe mkubwa au mdogo. Kuna watu hata wakimaliza kujisaidia msalani hawanawi mikono. Watu wanajishika madudu yao halafu eti waje kunisalimia kwa kunipa mkono...mtu akifanya hivyo nampa kiwiko...
 
Wachafu! Kuna siku nilimwona mdada anafuta jasho kwapani alf anatumia leso hiyo hiyo kujifuata usoni!! Inaingia hiyo?
 
Usafi wa watu wa kileo kutoa makamasi puani na kuyaweka mfukono. Song of Lawino by Okot p' Bitek
 
Usiweke mkono kinywani kama hujanawa.
Hiyo ndio general rule!

Ni ngumu kucontrol mafua kwa njia yoyote ile. Kutumia hangkerchief bado siyo suluhisho. kutumia tissue bado sio suluhisho coz kuna baaadhi ya sehemu ukitumia itakulazimu uweke mfukoni, na kuna sehemu itakulazimu kupenga, and so forth.

Usafishaji wa pua unatakiwa ufanyike wakati unaoga.
Sasa kama mafua yamekukuta njiani unafanyaje?!

Unayaacha yachuluzike mpaka wakati unarudi nyumbani uende kuoga!
Hapo ndio hizo means za tissue, hangkerchief, kupenga zinapokuja.

Just follow the general rule, ingawa mtu akipiga cha afya anaambukiza more than 1000 people!
 
Asante. Jamani woote tujirekebishe. Inaudhi sana mtu anachokonoa pua afu anachezea makamasi kwa kuviringisha na vidole. Kuna siku nilimuona coaligue wa zamani kwenye tv doing just that! Huh! Especially kwa huku kwetu, ukiingia nyumbani tu au sehemu ya kula, na hasa ukitokea kanisani, nawa mikono yako na sabuni!
 
zuri sana, tena wazazi tuanzie kwa watoto wetu tuwakumbushe kila mara picking nose ni jambo lisilopendeza ili wakue wakijua hilo tulirudie mara nyingi :yuck:

Hahaha!! Liz Senior nimecheka kweli hilo neno ulilotumia 'picking nose'
 
Asante. Jamani woote tujirekebishe. Inaudhi sana mtu anachokonoa pua afu anachezea makamasi kwa kuviringisha na vidole. Kuna siku nilimuona coaligue wa zamani kwenye tv doing just that! Huh! Especially kwa huku kwetu, ukiingia nyumbani tu au sehemu ya kula, na hasa ukitokea kanisani, nawa mikono yako na sabuni!
Jamani, better being criticised mradi tu iwe ni constructive criticism. Na pia bora tunawe mikono yetu tena kwa sabuni. Im new to JF. Hi all!
 
Ndio maana mimi huwaga sipendi kusalimiana kwa kushikana mkono na watu. Huwaga natoa fist pound tu...awe mkubwa au mdogo. Kuna watu hata wakimaliza kujisaidia msalani hawanawi mikono. Watu wanajishika madudu yao halafu eti waje kunisalimia kwa kunipa mkono...mtu akifanya hivyo nampa kiwiko...

heheheeeeee nyani ngabu umemaliza yoooote niliyotaka kusema, my self, no shaking hands with people ovyo ovyo especially men! maana wao kukojoa mpaka wayasaport madubwana yao kwa mikoni, kisha ajikune kune mapumbu , akimaliza kukojoa aikung'utekung'ute mboo kwa kuisukasuka halafu akitoka hapo akikuona tu ooooh mambo vipi? na mkono mbele, mie huwa najitia hata sijauona mkono wenyewe, napata picha ya mtu mwenye gonjwa la zinaa, we ulishike mkono mar aumetia mkono machoni aaaghh! hata sitaki kupata picha hiyo! mbona ya kushika pua chamtoto!!:angry:
 
:bounce: tehe tehe tena mwingine akisha chokoa pua yake anajifutia au kwenye ukuta au sehemu aliyokaa kisha ananunua karanga kwa kweli kama hujamuona unaona nii shwari ila kama umemuona inatia kinyaa, au mwingine makamasi yakiwa mepesi sana basi yanageuka kuwa mafuta ya mikono loh!

kwa kweli kama sio mafua kusema yatakusumbua njiani usafi wa pua unabidi ufanyike pale unapooga kwa sababu mtu unapopiga mswahi ndio a ile hali ya kutoa makohozi na kamasi unapogujia theni baada ya hapo unasafisha na kitabaa pua zao kabla hujatoka bafuni. ukifanya hivyo utajikuta umeshinda shwari bila kuka una-dig you nose kila wakati.

Tatizo ni kuwa watu wanajua kuoga tu mwili hawakubuki kusafisha pua na masikia pengine hata ulimi hawapigi deki. ni maoni tu.
 
heheheeeeee nyani ngabu umemaliza yoooote niliyotaka kusema, my self, no shaking hands with people ovyo ovyo especially men! maana wao kukojoa mpaka wayasaport madubwana yao kwa mikoni, kisha ajikune kune mapumbu , akimaliza kukojoa aikung'utekung'ute mboo kwa kuisukasuka halafu akitoka hapo akikuona tu ooooh mambo vipi? na mkono mbele, mie huwa najitia hata sijauona mkono wenyewe, napata picha ya mtu mwenye gonjwa la zinaa, we ulishike mkono mar aumetia mkono machoni aaaghh! hata sitaki kupata picha hiyo! mbona ya kushika pua chamtoto!!:angry:

...hujatulia! ntakung'ang'aniza mpaka upokee mkono wangu!!!:rofl: Seriously, though yote uliyosema ni kweli. katika suala la kanuni za usafi wengi wa wabongo ni ziro kabisa! Tunamaindi sana mambo ya kupeana mikono na ndio maana mambo ya Nairobi Eyes, Kipindupindu, vikohozi na kadhalika vimejenga makazi kwetu!

nafikiri tissue ni nzuri. miaka ile nilikuwa natumia leso, kwa joto hili la dar nilikuwa nanunua karibia kila siku. kamasi iyoiyo, kutolea jasho iyoiyo, ndivyo utoto bwana ajabu. tatizo cha watu wetu ni cha chini, hivyo badala ya kununua tissue anaona bora anunue lesso ambayo atakapokuwa ametumia ataifua na kuitumia tena, lakini kwa usafi, leso si usafi, ni kitu ya kupangusia jasho tu na si usafi.
 
heheheeeeee nyani ngabu umemaliza yoooote niliyotaka kusema, my self, no shaking hands with people ovyo ovyo especially men! maana wao kukojoa mpaka wayasaport madubwana yao kwa mikoni, kisha ajikune kune mapumbu , akimaliza kukojoa aikung'utekung'ute mboo kwa kuisukasuka halafu akitoka hapo akikuona tu ooooh mambo vipi? na mkono mbele, mie huwa najitia hata sijauona mkono wenyewe, napata picha ya mtu mwenye gonjwa la zinaa, we ulishike mkono mar aumetia mkono machoni aaaghh! hata sitaki kupata picha hiyo! mbona ya kushika pua chamtoto!!:angry:

Hahahahahahahaha nimecheka sana aisee...nilikuwa na mgeni juzi ambaye huwa anapanda basi kuja kwangu na nimeshafuatilia usafi wake kwa kweli si msafi basi baada ya kumkaribisha kaingia moja kwa moja kwenye friji na kuchukua jug la maji...roho inaniuma natamani nimwambie anawe mikono kabla ya kuingia kwenye friji...baada ya kupanda basi na humo ndani ya basi usafi wake kwa kweli ndiyo hivyo lakini nikajua ndyo yatakuwa yale yale jamaa anajifanya msafi sana...basi alipoondoka tu ilibidi nilioshe jug ili kuondoa uwezekano wa balaa lolote lile maana magonjwa yaliyopo siku hizi huwezi kujua ni bora kuchukua tahadhari kabla ya shari.

Back
Top Bottom