Hivi wasichana wakiingia chuon huwa wanazuzuka na nin?

nampenda sana demu wangu, ujumbe wenu nyote umenichoma sana coz yupo a dvance!!! eeeh mungu baba wa milele mwenye nguvu na mamlaka naomba umuepushe huyu mb****e na hiki kinachojadiliwa hapa amina!!!!!!

amen....!
Kwioo kwioo kwiooooh! Duwa la kuku... Mwewe watu tulichanjiani na madem damu tulikula kiapo. Mwanamke sio ndugu yako.
 
Kwioo kwioo kwiooooh! Duwa la kuku... Mwewe watu tulichanjiani na madem damu tulikula kiapo. Mwanamke sio ndugu yako.

wajinga ndio waliwao ndugu yangu .....kuna mademu wanaakili kinoma ndugu yangu!!!!!!!!!!
 
Hahahahaha...mie nakumbuka mabinti huwa wanaanza mwaka wa kwanza kwa kuvaa magauni wanapo ingia zile lectures za mwanzomwanzo...then wape mwezi mmoja tuu...kitu kimechange wanaanza ingia lectures na vipedo....tehetehe
 
wanakuwa kwenye ile foolish age ya kujaribu kila kitu. peer pressure ya kuendana na maisha ya chuo, ambayo lazima uwe na helaaa nayo ni sababu
 
Back
Top Bottom