Hivi wasambaa wana sifa gani??

Huwaga nasikia ati wasambaa wana jua sana yale mambo yetu yaleee hivi ni kweli??Pia nasikia wanajua sana kulea wanaume na kupiga hapo ndio kabisa.Naomba kuwafahamu hawa watu

Wasambaa wana sifa ya kusambaa nchi nzima kutafuta malisho ya matumbo yao. Mara nyingi wanakuwa masokoni wanauza mihogo na wengine makuli....

Ga ma point ma men?????????

Nale nsukuma ga Shinyanga!!!!!!!!!!
 
Ijo jaahuma kiau, wazakakata kaja kachalii kabumbui mwekiti iviaha watationdeeza kwa waumbujeshu mosie, newakaje visiku vya wanine zawe mosie.

Hahaaaa mimi siyo mghosi ila nimeambulia tu jana ccm wamemkata chalii wa bumbuli
 
Haha wakuu mnenifurahisha mlivyo amua kutembea kigosi ,sifa nliyojifunza haraka haraka mna umoja
 
wakike ni wapole nahata umpigeje haondoki ila ukimuoa ndio ujue umeoa ukoo wote
wakiume wahuni kila anakoenda kutafuta maisha anazaa n kuacha mke
tabia ya ujumla ni wakarimu sana na wanajali utu wa mtu,wanajua kubembeleza mnoooooooo

Dear hujakosea hata kidogo... To add it up ni wachapa kazi sana huwa hawachagui Job.. Niliwajua hawa watu as wapangaji wetu when I grew up ..( I lived with them in the same house ). And one of my relative married in this tribe .. Very nice people ... Thanks..
 
Back
Top Bottom