Hivi wasambaa wana sifa gani??

Tukianza kudadisi sifa za kila KABILA humu, watu wataishia kutiana vidole vya macho...............Kwa mtazamo wangu sidhani kama ni busara sana kudadisi tabia za makabila in general, watu watakwazana humu kwa sababu kama kuna mtu alitendwa na mtu wa kabila hilo, ndio atapata nafasi ya kumaliza hasira zake..........
Na tusipoangalia kila mtu atakuja hapa akitaka kujua sifa za kabila fulani na matokeo yake tutajikuta tukijadili makabila badala ya mambo ya msingi...........................

Hapa sio kazini au shule kwamba tunafata muongozo wa kitabu.
tanzania hua kuna utani wa makabila hua tunataniana sana sioni sababu ya kuacha kupata raha wenginetuta ambulia hata moja la kujifunza humu ndio raha ya mjumuiko wa marafiki tofauti tofauti usipo jichanganya utaishia kubaki na akiri mgando zakotu tuongee chochote ilimradi matusi hapana ukiona umezidiwa utani nyamaza.
 
Back
Top Bottom