Hivi wapo mabikra kuanzia 30yrs na kuendelea?

Hakuna aliyekusingizia wewe unadai sina,mimi najua ninayo....ndo nikakuuliza nikasema utakuwa uliitoa wewe.....ukiacha kusingizi nawe hutasingiziwa......siwezi kubali sina wakati ninayo,mambo yasiishe but nasema NINAYO tena ORIGINAL......

Kila mtu ana mamlaka na mwili wake,kuitoa au kubakiza litabaki kuwa suala la mtu binafsi.......:first:

I don't know how i feel reading btn lines!! Inshort Congraturations! I always don't question kama mtu akiniambia anaumwa, ananjaa, ameshiba nk. siokila kitu mtu anaweza prove na sio lazima kuprove, naamini wapo mabikira, kwamba hawapo hizi nipropaganda za kubishana ili mwisho wa siku utake prove! someone can't prove it. Kunajamaa alioa mke bikira sasa watu wengine wanabisha aah muongo huyo it doesnt make sense!! :coffee:
 
Siku hizi uanza kutolewa darasa la nne, tano kufikia la sita zote zimeisha.
 
labda mleta mada angefafanua ni bikra gani? bikira ya maumbile asilia ama bikra ya kutokushiriki tendo la ndoa?
wapo ambao hawajashiriki tendo hadi ukubwani lakini mazingira ya kuvunja ungo, kazi ngumu ama michezo yakaondoa ile bikra membrane sasa huyo utamuweka kundi lip??
nadhani kama angeuliza kama kuna mdada yeyote wa 30+ hajawahi kutana na mambo haya
 
mmm. Michelle, ngoja nijikumbushe hesabu rahisi, uki integrate(from 0 to N) discussion zako katika jukwaa la wakubwa jibu linakuja kinyume na na comment yako hii (i.e. mzoefu) - lol.

Jukwaa la wakubwa ndo lipi??mi sijawahi ingia lile jukwaa,ila wanaleta thread zao huku tunajadili wanahamishia huko....kule sifiki.....l.o.l
Unajua Ngoko,si kila kitu mtu anachozungumza kina-reflect alivyo au anavyosema....sometimes,tunataka collect information au opinion na wengine tunafanya utafiti especially kwenye masuala ambayo ukimhoji mtu moja kwa moja hawezi kupa jibu ila hapa watu wako honest kwa kuwa hatujuani.......Ngoko,kumbe we huenda lile jukwaa mmmmhhhhhhhhhm,haya mkuu ngoja nitachungulia huko baadaye.....l.o.l:laugh::laugh::laugh:
 
Awali ya yote naomba nikaribishwe maana mimi ni junior member wanajamii hamjambooo....sawa mabikra wapo wa miaka 30 na zaidi ya hapo inategemea ni mazingira yapi? kama watawa wapo wengi tu na katika jamii isiyo ya kitawa wapo pia ila wanaweza wakawepo wachache mno....na hutegemea aina ya bikra maana bikira inaweza ikatolewa hata kwa njia tofauti na kujamiiana kama magonjwa,mazoezi au mabadiliko tu ya kiumbo na kama imetolewa basi anabaki kuwa bikra tu hata kama kiwambo hakipo ili mradi awe hajaingiliwa kimaumbile..hivyo basi tafsiri nzuri ya bikra ni kutokuwa amejamiaana kabisa huyo mhusika na hiyo ndiyo inaongeza uwezekano wa mabikra katika umri wa miaka 30 kuwa kubwa kama mtazamo wa ubikra umeeleweka hivyo .....asante mtoa mada.
 
Wapo, mimi ninamfahamu mmoja ana miaka 42, alinishirikisha msongo wake kwamba kwa sasa anataka mtoto ila penetration imegoma. Yeye anaumia na hata bf anaumia. Sijui atafanyaje. Maana kwanza wanakaa mikoa tofauti na bf wake so wanaonana kwa nadra sana. Anasema she was shocked. Kajaribu mara ya kwanza na ya pili still penetration haijapatikana. Nimshaurije so far mpaka sasa sijampa ushauri wowote zaidi ya ku-sympathise nae tu.
 
Karibu sana Societa,ujisikie nyumbani na huru hapa JF,usiogope challenge ndio kujifunza......karibu sana sana......

Naona una busara na una uwezo mzuri wa kujenga hoja makini.....keep that........,aunt michelle.
 
Wapo, mimi ninamfahamu mmoja ana miaka 42, alinishirikisha msongo wake kwamba kwa sasa anataka mtoto ila penetration imegoma. Yeye anaumia na hata bf anaumia. Sijui atafanyaje. Maana kwanza wanakaa mikoa tofauti na bf wake so wanaonana kwa nadra sana. Anasema she was shocked. Kajaribu mara ya kwanza na ya pili still penetration haijapatikana. Nimshaurije so far mpaka sasa sijampa ushauri wowote zaidi ya ku-sympathise nae tu.
Hospitali wanafungua za hivyo,kuna rafiki zangu walijaribu wiki nzima baada ya kuoana mpaka jamaa akavimba wakaenda hospitali akaambiwa bikira ya mwanamke ilikuwa ngumu sana wakamchana.
 
Back
Top Bottom