Hivi wanawake wote wako namna hii au?

Kwa hiyo wewe unapenda mwanamke anayekuchukulia poa in whatever you do and say??sasa utajuaje kama anakupenda bila kukuonyesha wivu japo kidogo?mmh you will never know with men kudadadeki!!
 
kwa ufupi nilichogundua since niingie JF (kulingana na mawazo ya wanaume walio wengi )ni wanaume wengi kutopenda mwanamke anayewa-possess too much. wengi utasikia hawapendi kuulizwa ulizwa uko wapi, unafanya nini, uko na nani, simu za kila dakika, na kero zingine za kuchungwa chungwa na kuonewa wivu. sijajua sababu ya wao kutopenda kuwa possessed ni coz wana ugube gube au nini ila hyo ndo observation yangu.

kwa mantiki hii mimi ninazo hizo tabia zote za kuwa too possessive. nikitaka nimpate wa kumatch nae ni lazima niwe kama kondoo yani mengine nijifanye tu mjinga na kufoji kuwa na vitu ambavyo kiukweli sina

Kwa kweli mwanamke na tabia hiyo ndio ananikimbiza jumla,nilikuwa na mmoja yani ni kero simu yangu ikiita anawai kupokea yeye,nikiongea na simu nae anasogelea sikioni asikie ni nani naongea nae,yani nilikuwa sipumui cku nikiwa off nae kazini aendi ili mradi niwepo tu karibu yake,mwishoe nikaona najinyima uhuru wa nafsi,tukamwagana jumla.
 
Hii ni asili/natural.
Ukiona una mwanamke hana muda na wewe, OGOPA SANA!
Ujue kuna anayekusaidia kum keep kampani ya kutosha
kiasi ambacho hana muda kujua uko wapi, unafanya nini.UKO TAYARI?
 
Kulingana na uzi wako huo, inaonekana una watia wasi-wasi wenzako, haswa mpango mzima wa kukaa miaka mitatu, minne na kadhalika!!, mwanamke anaanza kua na wasiwasi, kama ataolewa ama ndio kuwekana alafu kwaheri!!!!. Ukioa..possesiveness itaisha!!!!
 
Hii ni asili/natural.
Ukiona una mwanamke hana muda na wewe, OGOPA SANA!
Ujue kuna anayekusaidia kum keep kampani ya kutosha
kiasi ambacho hana muda kujua uko wapi, unafanya nini.UKO TAYARI?

Ingawa inaweza kuonekana kuwa ni ajabu, kutooana ni bora zaidi kwa siku hizi. Just imagine una mume unamtumza na kum-care lakini kila leo anakuwa na wanawake wengine, au una mke unajitahidi kumfanya awe na maisha mazuri lakini anamegwa na wengine. So, iwe kwa sababu za maana na zinazoeleweka kutembea nje ya ndoa, au ziwe za kijinga na ambazo hazieleweki, ni bora kuwa single. Ukiwa single huaibiki sana kama ukiwa ndani ya ndoa. Ukiwa nje ya ndoa hakuna mwenye haki ya kukuposses, au huna haki ya kumposses yeyote.

Just imagine unatembea halafu unasikia mtu anasema aaaa mke wa K nimegonga, au unasikia mwanamke mwezio anasema eee, yule jamaa jana kani..... Ni kinyaa ambacho ni wachche sana wanakivumilia, labda wale wanalazimika kukivumilia kutokana na taabu za maisha au wale wanaotoka kwenye makabila ambayo ufuska ni jadi yao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom