ndyoko
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 4,971
- 1,650
Huu ni uzoefu wangu wa miaka zaidi ya 8 juu ya wanaume wanapokuwa safarini kikazi nje ya ofisi zao.
Kwa kweli kwa asilimia kubwa nakubaliana na ule usemi kwamba vidume vingi ndivyo vinavyoleta magonjwa
na vyanzo vya ndoa nyingi kuvunjika.
Iko hivi; wanaume wengi wanapokuwa safarini mkakati na jambo la awali wanalolifikiria ni kama huko atapata
mwanamke wa kumchakachua kama sio siku hiyo basi the next day. Yaani ili mradi tu apatae 'pochi' ili aweze
kupata starehe hiyo.
kinisikitishacho, pengine kwako kinaweza kuwa kituko ni pale unakuta walipofikia kuna uhaba wa wanawake, yaani ni full kuzidiana kete kama sio kupinduana ktk kumpata mwanamke husika.
Sina uzoefu wa kusafiri kikazi na wanawake. Hebu tupeane uzoefu kwa hii jinsia nyingine juu ya haka katabia kalikoota mizizi kwa wanaume wajemeni!
Mlalage salama wajemeni!