Hivi wanawake wana akili ya mapenzi kweli?

Oooo,,mfumo wa maisha unatufanya wanaume tumdharau mwanamke kwa kila namna,lakin maumbile na kiutamadun inaonesha kuwa mwanaume anamtumia zaidi mwanamke,na mwanamke yuko tayari kutumiwa kwa namna yeyote ile,,,,,,,,sasa kikaragosi unautumia huo mfumo kujisifu,lakini huwez jua ya mbeleni,wa kwanza kucheka ndo huwa wa mwisho kulia,nahisi UTOTO NDO WAKUSUMBUA NA IMANI DHAIFU

Nimeamini mwanamke c wa kumuamini na c wote ILA wengi wao cjui wana fikiria kitu gani,Mfano jana kuna demu ameletwa na rafiki yake ambaye ni shem wangu basi tukapiga story sana yule demu akaonyesha dalili ya kunipenda kama unavyojua wanaume nikamuonyesha NAMI nimekufa nimeonza KUMBUKA ndo tumeonana kwa mara ya kwanza basi kwakuwa rafilki yangu amesoma mchezo akabidi ajifanya anaenda kutembea na demu wake ili mm nimalize kazi.Kweli bana tukafanya mambo vibaya mno namshukuru mungu nilikuwa na kinga bila hvyo ningekuwa katika mawazo kama Anangoma kwasabbu amejiraisisha,baada ya rafiki yangu kurudi akaniambia demu wake na huyu demu niliyekula URODA ni mtu na wifi yake,Nikamuuliza ataenda kumwambia kaka yake kama demu wake nimepiga akaniambia wanafichiana SIRI c raisi.NiMEAMINI WANAWAKE NI DHAIFU SANAAAAAAA narudia tena c wote bali wengi wao

THIS IS JF, WHERE PEOPLE DARE TO SPEAK FREE. NO MATTER HOW THE CONTENT IS POOR, NO REASONING AT ALL. AND THEY CALL THEMSELVES GT!!!

Tafuteni wake muoe, usijidanganye kuwa ulikuwa na kinga, ni kinga ipi hiyo ambayo iko full proof? condom wamesha sema sio full proof.

Unafanya uasharati halafu unakuja jisifu? ama kweli hili ni Taifa la dhambi.

TAIFA HALINA SHIDA, TATIZO NI KWAMBA NDANI YA TAIFA VINAISHI 'VIKARAGOSI'. CJUI WATU WATABADILIKA LINI WAONDOKANE NA UJINGA! ANY WAY LETS WAIT, THEY MAY CHANGE AND BECOME GOOD TO TEACH THE YOUNG ONES.

unaona sifa kwa uliyoyaelezea,umehisi umemkomoa huyo msichana ila na wewe umekomolewa hivyo hivyo,wewe kicheche pamoja na huyo msichana

Kuna baadhi ya wanawake wana akili siku tatu za wiki,
hahahaaaa....!!.duh!.kauli nyingine ni sawa na kujitoa muhanga.hapa wakina dena,lizzy,husninyo na sample zao zote watakuwa wamenuna na wanakutafutia tusi linalofaa la kukutukana wamekosa.mia

nyie ndo nmalazimisha tufanye hivyo.nikisema nikuache kwenye mazingila kama hayo unaenda kunitangazia hadi kwa ndugu zangu eti haifanyi kazi.utasikia anaogopa mademu.so mtu unafanya shingo upande ili kujilindia heshima mitaani.hao walipanga ndo maana mwenzake kazuga kutoka halafu huyu aliyebaki kaanza kujiachia.usiulize alivaaje.wakubwa tushajua.mia

Nakushauri usijisifu wala kuwaona hao dada zetu kwa ubaya. wanahisia kaka. halafu nakushauri uache kama huwezi kujizuia oa tafadhali, Itakusaidia

hv wewe mzima kweli? Wewe mwenyewe kicheche umekutana na kicheche mwenzio ndo umemuandika hapa? Unajisifia kugonda demu humjui? Wakati waasherati 2 mmekutana, msiojali kesho yenu

dah et wanawake wana akili ya mapenz..?
wewe mbona ujisemi?wewe una akili kweli?umeonana nae leo na kumtia leo then wamnyoshea kidole mwanamke et ana akili?
wewe mcahngo wako auuon kwenye ilo?au alikubaka?

wewe na uyo demu wote vcheche tu akuna mtu wa kumuona mwenzake hana akili la sivyo ungekaa kimya cz ata nia,lengo la kuleta apa sjapata mantiki yake....AU TUJUE JANA ULICHAPA?

wewe ungekua unajieshimu.si kicheche wa kiume usingefanya fasta ivo
yeye angekuwa anajieshimu pia asingekubali kusanuliwa kirahisi ivyo wala asingejirahisisha

so WEWE NA YEYE NDO WALE WALE

nakubali hoja kwa 100%..... wote hao ni vicheche tena saa yoyote vinaweza kuripuka

We mwenyewe huna akili!
Unawezaje kulala na mwanamke siku ya kwanza tu mmeonana!

wewe jamaa unazalilisha wanawake....ungenyimwa mzigo ungeona anaringa..hata yeye anahisia.siku ingine ukipata mzigo wa faster usije kuadisia hapa au bado under sixteen....mimi namueshimu mwanamke anaejua haja yangu na kunitimiziausinihoshe nisikuhoshe

Nimeamini mwanamke c wa kumuamini na c wote ILA wengi wao cjui wana fikiria kitu gani,Mfano jana kuna demu ameletwa na rafiki yake ambaye ni shem wangu basi tukapiga story sana yule demu akaonyesha dalili ya kunipenda kama unavyojua wanaume nikamuonyesha NAMI nimekufa nimeonza KUMBUKA ndo tumeonana kwa mara ya kwanza basi kwakuwa rafilki yangu amesoma mchezo akabidi ajifanya anaenda kutembea na demu wake ili mm nimalize kazi.Kweli bana tukafanya mambo vibaya mno namshukuru mungu nilikuwa na kinga bila hvyo ningekuwa katika mawazo kama Anangoma kwasabbu amejiraisisha,baada ya rafiki yangu kurudi akaniambia demu wake na huyu demu niliyekula URODA ni mtu na wifi yake,Nikamuuliza ataenda kumwambia kaka yake kama demu wake nimepiga akaniambia wanafichiana SIRI c raisi.NiMEAMINI WANAWAKE NI DHAIFU SANAAAAAAA narudia tena c wote bali wengi wao

Naomba nikuulize na wewe swali hilohilo: Hivi na wewe una akili ya mapenzi kweli? Ulichoelezea hapo ni uzinzi wako na wa huyo mwanamke hakuna mapenzi hapo.

wote hamtumii akili zenu ipasavyo huyo rafiki yako anasema demu wake anafichiana siri na wifi yake ina maana naye demu wake huwa anatoka nje ndio maana ya kufichiana siri

Back
Top Bottom