Hivi wanaume wengi wanapenda namba 8 au 6?

Mmhhh 9!!! Nadhani utakuwa ni wewe pekee yako unayeipenda kwa hapa bongo. Labda unaweza kupata wafuasi huko ulaya.[/QUOT
Wewe mwanamme anatakiwa awe namba Tisa yaani mambo ya shoulder zilizokwenda shule chini mdogo kiasi

Hapana bwana mwanaume anatakiwa awe namba 1. so energetic na mwepesi namba 9 anaelemea tu sio mtundu
 
Tofautisheni kati ya Kutamani na Kupenda jamani.......Kutamani=hulka,Mkia umejazia,sijui number 1,6,8,9 etc
NB:Kupenda=tabia,heshima, ushirikiano,anayekosoa pale mmoja anapokosea,anaelewesha nini anataka,anamawazo ya maisha ya mbeleni si ya kipindi cha ujana tu.... Na kadhalika.

Wanapenda namba walizonazo wenza wao
 
Namba 8 ndio yenyewe!!

Ila wasiwe na midomo mikubwa kama mtangazaji mmoja maarufu Bongo! Wenye midomo hiyo wanachosha haraka sana! Jamani sijamtaja mtu jina mimi hapa, ila najua kuna uwezekano mtu akanunua kesi ambayo siyo yake!
 
Mkuu 6 imekaaje!

Moja (1), Nane (8) na Tisa (9) nazijua ila sita (6)! kwa mwanamke sijawai kuiona sita najua wanaume wapo!

Mkuu mwanamke umbo husidanganywe tabia inarekebishika, uwezi kuchukua Polygony angle eti tabia nzuri au mwanamke akiwa nawe wakati wewe ni frige jua sio love just pochi yako. Umbo ndio mvuto wa awali kabla hata hujajua anatabia gani na anaitwa nani.

Mimi mara zote number 1 or 8 ndio ndoto yangu.
 
Ila wasiwe na midomo mikubwa kama mtangazaji mmoja maarufu Bongo! Wenye midomo hiyo wanachosha haraka sana! Jamani sijamtaja mtu jina mimi hapa, ila najua kuna uwezekano mtu akanunua kesi ambayo siyo yake!
He he heeh! Mbona unajihami mapema mkuu?
 
He he heeh! Mbona unajihami mapema mkuu?

Hujaona Mkuu! Hiyo tuhuma nzito sana kama hujaitafiti kiundani! Unaweza tukanwa hadi ukabadili jina humu! Hao watu wanahutaji sana mazoezi ya Kegel kwa wanawake hasa wakiwa na maunbo makubwa huwa hawawezi kujitune. Wanasema afadhali namba 9 kama wana midomo mipana kuliko namba 8. Utakimbia nyumba yako mwenyewe, usijiulize kwanini wanawake wengi wa hiyo 8 hawadumu na wanaume hasa wenye hiyo midomo na wenye miili tepetepe! Wazuri kwa show tu.
Siruhusu matusi jamani nilichosema ni mchango wangu tu ili tujue kuwa hakuna mtu au mwanamke mzuri zaidi ya mwingine.
 
Inategemea unapenda kwa ajili ya nini. Siku hizi kuna wanawake wa kuoa na wa kutokea. wa kutokea utataka awe na shep flan 8/6/1 kutokana na kimo chake. Lakini unapokwenda deep kwe marriage, ni tofauti kabisa. Hauoi umbo but what contents it entails. Tabia, uwezo wa kufikiri, Upendo, Huruma, Kumjua Mungu n.k. Yawezekana ukapata mwenye figa unayotaka na akawa na vigezo tosha kuwa mke, lakini kwa ufahamu wangu mdogo nilionao, wengi wanaojiona wazuri wana maisha mbayo ni complicated kukaa na wanaume classic (ambao hawapendi mambo ya kujikweza), Nasema hivi kwa kuwa nimeona wadada kadhaa ambao wengine walikua shemeji zangu, ila kwa hulka za kujiona ni matawi ya juu wakawapiga chini makamanda, lakin mpaka leo kule walikoenda wamekipata cha moto, hawajaolewa, ni kuvamia waume za watu, wakijua kua beauty is expensive, wata-maintain vipi kwa mishahara ya bongo?

Your topic is still open, and very subjective.
 
Poa kaka hasa hilo la kumjua Mungu ni la muhimu sana! Pia hizo namba huwa ni very used! Kama ni gari ya mtumba basi siyo ya Japan wala Dubai itakuwa used ya Mirereni kwenye machimbo tena umkute mtumiaji amefilisika kabisa.
Chonde chonde Matusi ctaki
 
hayo ni mawazo ya ujana tu, sidhani kama utakayemwoa atakuwa namba 0 au 7, au akizaa ikipotea hiyo namba 8 utamwacha mke wako kwa sababu amekuwa namba 9
 
Back
Top Bottom