Hivi wanaume mmelogwa?

Kwa hiyo wewe unataka hadi watoto wakariri sauti zenu ili kesho yake waje kuwauliza mbele ya wageni au wakasimulie watoto wenzao?? Alafu, don't u know that mapenzi ni kufundishana? Kama mwenzako hapendi kufanya kitu flani ilhali we unataka, kwanini usifunguke? Teta nae na umuelekeze waziwazi kitu ambacho we ungependa akufanyie, then na yeye atakwambia pia akifanya 1,2,3, anajisikiaje na mwisho wa siku mnaelewana sio kukimbilia nyumba ndogo!! Mbembeleze mwenzio nae akubembeleze na sio utafute raha yako tu. Alafu watoto wanahusiana nini na hayo mambo yenu ya ndani hata ususe kuwahudumia??

Umesema kweli kabisaaaa! Wanaume wengi wanakaa idle sana tena wengiwao wanapenda kuishia bar thats why wanajikuta wanapata hata nafasi ya kutafuta nyumba ndogo! Lakini kama wangefanya kama ulivoshauri, ingesaidia sana!
Dah! na greti thinka kipipi hii sredi imemgusa kweli!
 
mamaa Kigogo JANA....
naomba ushauri jamani nibaki single au nijitose kwenye ndoa

mamaa Kigogo JUZI..
Jamani naombeni mnielimishe na mimi niweze kumfurahisha wa ubavu wangu nirinde ndoa yangu

Mamaa Kigogo, kumbuka kuwa LIERS MUST HAVE GOOD MEMORY. Jana ulikuwa unaomba ushauri uingie au usiingie kwenye ndoa, lakini juzi ulitaka upewe ushaur wa matumizi ya chachandu ili ulinde ndoa.
Any way, napita njia tu.
for the future time try to understand
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom