Hivi wanaume mmelogwa?

Ngoja mkeo apitie JF kama hujaomba hifadhi ya kudumu huko kwa small; Maana umeonyesha una uzoefu.

ngoja watoto walale,tuzime taa, hilo kitu haliingi mdomoni kwangu,usinyonye maziwa yataanguka, na bado hujamaliza tu ? huku nje -baby unataka staili gani leo,honey ngoja niilambe kwanza,shika finya popote,hamna kuzima taa,unavuliwa nguo na baadae kuvalishwa,yaani nilikumisi we acha tu utarudi lini sweety au lala tu wajameni nami nikumbatie kifua chako. Haya kazi kwako Mamaa Kigogo.
 
MIE YANGU MACHO.. NAPITAPITA TU
Duh! Salma unaishi Magomeni nini ? si ungepita kimya tu hahaha!

Sa siunaona??huyo mama siku zote alikuwa mchafumchafu hadi alipotokewa ndo akaanza kujipiga sopsop na kuanza kupendeza kwa kuvaa vizuri na kuwa mrembo. hapo inamaana kwa mume wake anajiwekaweka tu vile keshakuwa guaranteed maisha na mumewe.Mume atamwambiaje kapendeza wakati unasema siku zote alikuwa hapendez hadi alipokuwa approached??? jitahidin dada zetu kuwa fashioned mwanzo mwisho then muone kama kutakuwa na matatizo. Sio kabla hujaolewa mara kimini, mara skin jeans mara kijikaptura then ukishaolewa kaniki na wewe, wewe na kaniki au kanga ya juu ya matiti na wewe, wewe na kanga hadi maungo uliyonayo hayaonekani tena ka bi mkora, yanafichwa na tenge lako juu ya matiti, utamkalisha nani chini hapo???
we kweli kombora la Patriot kauli nzito sana hebu ifanye hafifu kidogo.

Ngoja mkeo apitie JF kama hujaomba hifadhi ya kudumu huko kwa small; Maana umeonyesha una uzoefu.
Nyumba kubwa's inabidi muelezwe ukweli huku nje wanakaba mpaka unajuta kwanini nawe sio wale wa 'bado nipo nipo tu' lol! usijali yeye ni mtu wa dinahicious.blog
 
Kazi za nje lzm hasikwambie m2...cwezi kula maharage kila cku bana.nyumbani kwnz watoto wanakaba sn mpk kupata MPODODO kw mama kazi ipo!
 
uzur sio ishu wengine wanajali uzur wao kwahyo wanakosa heshima katika ndoa, hasahasa hzi haki sawa zinawapotosha wanasahau kuwa majukumu ya mwanamke na mwanaume yanatofautiana tangu Mungu alipoumba ulimwengu.. so atimayake mwanaume anatafuta atapoheshimiwa
 
hahahahaha. mamaa kigogo pole sana inaonekana una hasira kweli na baba kigogo, sio wote wako hivo wengine wanakupa kila kitu kasoro hayo mahaba tu anakuwa hampi mkewe, hivi kati ya chakula/matunzo na mahaba ungechagua nini swali tu la kizushi
mahaba ndo kila kitu shantel. wajua nyumba ikiwa na mapenzi mazuri tena ya kutosha hakika hakuna kitakachokosekana. nina uhakika umaskini utatoweka kabisa maana kitakachopatikana katika hangaika za kila siku kitaingia katika tundu moja na si vinginevyo.
 
uzur sio ishu wengine wanajali uzur wao kwahyo wanakosa heshima katika ndoa, hasahasa hzi haki sawa zinawapotosha wanasahau kuwa majukumu ya mwanamke na mwanaume yanatofautiana tangu Mungu alipoumba ulimwengu.. so atimayake mwanaume anatafuta atapoheshimiwa

Sasa mama anafanya kazi na mumewe pia anafanya kazi. wanafika nyumbani jioni. watoto wamerudi shule. pale nyumbani kuna kazi ya kuonsha watoto, kuandaa chakula, baba anataka aandaliwe maji bafuni, mama pia anataka kuoga, familia iandaliwe chakula mezani, nyumba ifanyiwe usafi kisha viombo vioshwe na kuutia msumari moto kwenye kidonda baba anataka haki yake ya ndoa. kazi hizi zote ni za mama wakati baba amejikalia kutazama TV. jamani huo si udhalimu? kazi ni kusaidiana.

Mama akipika baba nae aandae watoto, ajiandae mwenyewe na kisha amwandalie mama maji bafuni. mama akienda bafuni baba naye aandae chakula mezani. wakati mama anaosha vyombo baba nae anafanya usafi wa nyumba. haya ndio maoni yangu na nimekua nikipractise kwa muda sasa na wala hakuna nilichopungukiwa. heshima palepale. nikisema nasikika.

Tuwape wake zetu heshima wanzostahili na sio kuwanya kama punda. Wanaume tukifanya hivyo nawaapia hakuna siku hata moja tutatoka nje ya ndoa zetu kwa sababu muda wote tuko bize. sisemi iwe ndo kila siku ila siku ambayo hatuna commitment nje tuwahi manyumbani bana. kwanini twende baa?

Tukinunua crate moja uweke kwenye friji nyumbani tutakufa? na kama itabidi kutoka out, tukiambatana na familia zetu nani atatuuliza maswali? hii ni karne ya 21, mambo yamebadilika, tuache ushamba wa kizamani na tubadilike jinsi ulimwengu unavyobadilika.
 
mamaa Kigogo Leo..

mamaa Kigogo JANA....

mamaa Kigogo JUZI..

mamaa Kigogo alivyoingia janvini Juzikati ilee....

MIE YANGU MACHO.. NAPITAPITA TU
huyo mama kigogo ni full patriotic. naomba yako yasiwe macho tu..wala usipite bali pata elimu kwanza kisha endelea na safari. hii mijadala ni muhimu kabisa maana jamii ikisha elimika, ulimwengu mzima utakua umeelimika. Asante mama kigogo na uendelee hivyo hivyo.
 
Mama punguza jazba, inaonekana una hasira kidogo.
Hiyo ndio hali ya dunia. UTAPIGA "vipapai" wangapi? Kuna waume wakorofi, watoto wakorofi, mawifi, majirani, mabosi, n.k Utaua wote?
 
mamaa Kigogo Leo..

mamaa Kigogo JANA....
naomba ushauri jamani nibaki single au nijitose kwenye ndoa

mamaa Kigogo JUZI..
Jamani naombeni mnielimishe na mimi niweze kumfurahisha wa ubavu wangu nirinde ndoa yangu

mamaa Kigogo JANA....
naomba ushauri jamani nibaki single au nijitose kwenye ndoa

mamaa Kigogo JUZI..
Jamani naombeni mnielimishe na mimi niweze kumfurahisha wa ubavu wangu nirinde ndoa yangu

Mamaa Kigogo, kumbuka kuwa LIERS MUST HAVE GOOD MEMORY. Jana ulikuwa unaomba ushauri uingie au usiingie kwenye ndoa, lakini juzi ulitaka upewe ushaur wa matumizi ya chachandu ili ulinde ndoa.
Any way, napita njia tu.
 
[h=6]PEOPLES!!!!!!!!!!!!!!!!!!
when u are single people ask about boyfriend/girlfriend
when u hv fiance,they ask about wedding
when u are married,they ask about a baby
when u hv a baby,they ask for more babies
when u break up/divorced,they ask WHY!!!?
PEOPLES!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!![/h]Sifa ya mwanaume ni kufanyakazi kuepuka maswali
 
utakuta mtu ana mke tena nzuri kweli kweli huduma kumpa mkewe ni utata lakini hata chakula cha watoto tabu lakini akiombwa huko nje na micharuko anaonesha ufundi wote wa kuhonga waki nyumba kwake matatizo kibao hivi unategemea nini na nimegundua wake za watu hawapendi kuchiti kwa asilimia kubwa wanawake wana mapenzi ya dhati ila wanakuwa forced na vituko vya waume zao ndio maana wanakuwa rahisi kupata vishawishi nje ili wapate faraja angalau .haya huwa wanasingizia wanakosa mapenzi kwa wake zao ndo maana wanatoka nje ya ndoa watoto je ?wapi mihongo tu .nao watoto wanamakosa kuwalisha shida unaenda kulisha mijanamke ambayo ukiwa hauna unachapa lapa? wale wanaume wakware jirekebisheni ingekuwa ni uwezo wangu ningewapiga vipapai wote wenye tabia hizo ambao hawajuhi majukumu yao sijuhi waliowa ili iweje jirekebisheni habari ndio hiyo .

nawakilisha
uuwiii mama kigogo tutakutambua leo ,tutaficha wapi sura zetu .
 
home is the best sawaaa, ila wanawake wanazidisha aisee duh!! kwanza wao kipato chao hawataki kitumike kutunza familia, zao zinaishia kwenye salon tu na mavazi ya bei mbaya eti unakuta mwanamke anaenda kusuka nywele laki 4 ila ndani hata maziwa ya watoto yakiisha hanunui anakupigia simu tu hata kama una kikao cha marafiki utasikia baba nanihiiii ukiwa unarudi nyumbani njoo na maziwa ya watoto yameisha aargh.., kuna wanawake hapa naskia wanaongelea viatu sijui CL pound 1400 ila kutoa na wao kidogo wachangie hata school fees hakuna, kwa wao jukumu loooote la kutunza familia ni la mwanaume aisee si bora mara moja moja na sisi tujipoze machungu na vya nje ya ndoa!!

Mkuu Bright Smart, nakubaliana na wewe kuwa kuna wanawake hawatoi kabisa pesa zao kwaajili ya matumizi ya nyumbani wanachojua wao ni mavazi,salon kujirusha etc etc. Mimi ni mwanamke na nimekubali kuwa hilo ni tatizo ila justification yake siwezi kuikubali hata kidogoooo.......kama mwanamke hajitumi ndio mwanaume aende nje ya ndoa????ni vizuri kukaa chini na mkeo mkaelezana ukweli ingawa nimegundua kuna wanaume wengine hawathubutu kubisha akipigiwa simu huku nyumbani LUKU imeisha kabisa inabidi urudi haraka utuleteee,hivi wewe mwanamke unaefanya kazi barclays bank(ni mfano tu jamani)unakosa elfu kumi kwa wallet mpaka mwanaume akuletee umeme???!!!!! Hebu tujifunzeni wanawake wenzangu tuache huu ujinga wanaume nao wanachokaaa!kama hatuweza kufanya vitu vidogo vidogo kama hivi. Ila sio kwamba ndio waende kutafuta nyumba ndogo.
 
mi nilikuwa nashauri akinadada/mama ambao hawajaolewa wasiwachukue waume wa wenzao manake wanaumia wenye waume zao. kwa hiyo mi nategemea mwenye ndoa akikutokea utamtolea nje!!!Ila na akina dada tamaa zimewazidi hii kupenda penda ofa, kununuliwa vitu vya thaman angali hawana uwezo ndo chanzo cha yote haya.
 
ngoja watoto walale,tuzime taa, hilo kitu haliingi mdomoni kwangu,usinyonye maziwa yataanguka, na bado hujamaliza tu ? huku nje -baby unataka staili gani leo,honey ngoja niilambe kwanza,shika finya popote,hamna kuzima taa,unavuliwa nguo na baadae kuvalishwa,yaani nilikumisi we acha tu utarudi lini sweety au lala tu wajameni nami nikumbatie kifua chako. Haya kazi kwako Mamaa Kigogo.

Kwa hiyo wewe unataka hadi watoto wakariri sauti zenu ili kesho yake waje kuwauliza mbele ya wageni au wakasimulie watoto wenzao?? Alafu, don't u know that mapenzi ni kufundishana? Kama mwenzako hapendi kufanya kitu flani ilhali we unataka, kwanini usifunguke? Teta nae na umuelekeze waziwazi kitu ambacho we ungependa akufanyie, then na yeye atakwambia pia akifanya 1,2,3, anajisikiaje na mwisho wa siku mnaelewana sio kukimbilia nyumba ndogo!! Mbembeleze mwenzio nae akubembeleze na sio utafute raha yako tu. Alafu watoto wanahusiana nini na hayo mambo yenu ya ndani hata ususe kuwahudumia??
 
utakuta mtu ana mke tena nzuri kweli kweli huduma kumpa mkewe ni utata lakini hata chakula cha watoto tabu lakini akiombwa huko nje na micharuko anaonesha ufundi wote wa kuhonga waki nyumba kwake matatizo kibao hivi unategemea nini na nimegundua wake za watu hawapendi kuchiti kwa asilimia kubwa wanawake wana mapenzi ya dhati ila wanakuwa forced na vituko vya waume zao ndio maana wanakuwa rahisi kupata vishawishi nje ili wapate faraja angalau .haya huwa wanasingizia wanakosa mapenzi kwa wake zao ndo maana wanatoka nje ya ndoa watoto je ?wapi mihongo tu .nao watoto wanamakosa kuwalisha shida unaenda kulisha mijanamke ambayo ukiwa hauna unachapa lapa? wale wanaume wakware jirekebisheni ingekuwa ni uwezo wangu ningewapiga vipapai wote wenye tabia hizo ambao hawajuhi majukumu yao sijuhi waliowa ili iweje jirekebisheni habari ndio hiyo .

nawakilisha

Dah! hapa greti thinka mama kigogo kaongea kwa hasira kweli!
 
Sasa mama anafanya kazi na mumewe pia anafanya kazi. wanafika nyumbani jioni. watoto wamerudi shule. pale nyumbani kuna kazi ya kuonsha watoto, kuandaa chakula, baba anataka aandaliwe maji bafuni, mama pia anataka kuoga, familia iandaliwe chakula mezani, nyumba ifanyiwe usafi kisha viombo vioshwe na kuutia msumari moto kwenye kidonda baba anataka haki yake ya ndoa. kazi hizi zote ni za mama wakati baba amejikalia kutazama TV. jamani huo si udhalimu? kazi ni kusaidiana.

Mama akipika baba nae aandae watoto, ajiandae mwenyewe na kisha amwandalie mama maji bafuni. mama akienda bafuni baba naye aandae chakula mezani. wakati mama anaosha vyombo baba nae anafanya usafi wa nyumba. haya ndio maoni yangu na nimekua nikipractise kwa muda sasa na wala hakuna nilichopungukiwa. heshima palepale. nikisema nasikika.

Tuwape wake zetu heshima wanzostahili na sio kuwanya kama punda. Wanaume tukifanya hivyo nawaapia hakuna siku hata moja tutatoka nje ya ndoa zetu kwa sababu muda wote tuko bize. sisemi iwe ndo kila siku ila siku ambayo hatuna commitment nje tuwahi manyumbani bana. kwanini twende baa?

Tukinunua crate moja uweke kwenye friji nyumbani tutakufa? na kama itabidi kutoka out, tukiambatana na familia zetu nani atatuuliza maswali? hii ni karne ya 21, mambo yamebadilika, tuache ushamba wa kizamani na tubadilike jinsi ulimwengu unavyobadilika.

Umesema kweli kabisaaaa! Wanaume wengi wanakaa idle sana tena wengiwao wanapenda kuishia bar thats why wanajikuta wanapata hata nafasi ya kutafuta nyumba ndogo! Lakini kama wangefanya kama ulivoshauri, ingesaidia sana!
 
ahaa tatizo wanawake mnajisahau mkishaolewa ndani unajiachia wala hujijali tena usafi unapungua maudhi kibao naamini kwa mwanamke anayejiweka saafi na asiye kiburi ndani hawezi fanyiwa hizi kibaya zaidi wakati mwingine mzee akitaka mambo mnazingua kwa nn m2 asione vya njeeee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom