Hivi wanaoshabikia CCM ni watanzania?

Tusijidanganye kwa kuquote maandiko na kusema kila mamlaka imewekwa na Mungu. Hapa Tanzania na nchi zingine za africa tuna mamlaka zilizo laanika kwa kutumia hila na udanganyifu wa hali ya juu ili kukaa madarakani. Siku zote hila ni za mwovu na hivyo tuna watawala wa lucifer.
 
Ufalme wa Babel uliangushwa kipindi hicho hivyo sio mbali sana kwa CCM mwisho wao umefika na hivyo sasa ni wakati tofauti sana na wao wanajua kuwa muda wao umefika asante kwa kuonyesha kwa maneno ya Mungu na yale ambao watu wengi sana wanapigia debe
 
Hivi ni Mungu gani huyo unayemsema.........Hujui kama Mungu wako siyo wa wote.........Wewe una mamlaka gani na umepewa na nani ya kuanza kuhukumu wengine...............put in your memory, politics and politician don't do God.

laana kuu na iwe juu yako!
Kama unadhihaki hata quote: ya mandiko matakatifu.
 
Maandiko gani hayo yanayosema watu wote ambao ni wafuasi wa CCM watatupwa motoni. Ninyi ndiyo wale kama yule muhubiri wa Uganda aliyedanganya watu wakajichoma moto eti mwisho wa dunia unakuja.

Nenda kwanza kayatafute maandiko matakatifu na ujifunze yana maana gani. Biblia siyo gazeti la mipasho na udaku. Unasoma na kuanza kuwapasha watu hapa janvini. Chukua hiyo dawa yako ya roho ikakuponye. MATTHEW 7:1-2
 
Wengine hatuamini mungu.

Sema jingine.

u asi huu si kwa mungu tu bali hata kwa binadamu kwa kufuata maadaili ya u-binadamu.hawa CHAMASUMU na mwenyekiti wao ''FASTJET'' a.k.a DHAIFU ni hatari mpaka kwa wanyama na mimea.
 
Kwamba Mungu yupo CHADEMA hii ni Mupya!

Mungu muda wote yu-pamoja na watenda haki bila kujali vyama vyao wala itikadi ila kwa mustakabali wa (CCM) Chama cha jani la tumbaku,wanasumu hatarishi kwa viumbe hai na visivyo hai kama VITO etc.
 
Tuambie basi nani mtenda haki kati ya hawa wapiga porojo za kisiasa hapa TZ?

Husitumie mafumbo kuwa muwazi tu,maana haiwezekani wote wawe watenda haki
 
Hivi ni Mungu gani huyo unayemsema.........Hujui kama Mungu wako siyo wa wote.........Wewe una mamlaka gani na umepewa na nani ya kuanza kuhukumu wengine...............put in your memory, politics and politician don't do God.

Ndo tope ulizonazo kichwani hizi??? Shame on you.

Mungu gani unaye msema? Hujasoma biblia kwamba usihukumu usije ukahukumiwa pole sana kila mamlaka huweka na mungu hivyo ukipinga mamlaka yeyote halali unapingana na mungu, hivyo basi kwa uelewa wako mdogo unastahili kupewa maziwa yasio goshiwa!!

tunapinga mabovu yote ya ccm. hao unaodhan ni bora hujawapa nafas uone. unaweza kukuta wao ndo wanatufanya kama congo kabisa.

Kwa hiyo Mwalimu Nyerere ndio alikuwa mtume wa mungu kwa CCM? halafu dini nyingi kubwa mitume yao ilishakufa maelfu ya miaka iliyopita kwa hiyo kuendelea kuziunga mkono,kuzitetea na kuzishabikia ni kumpinga mungu wa mbinguni?

Too desperate...

Mithali 24:24-25 "Amwambiaye mtu mwovu, Wewe una haki; Kabila za watu watamlaani, taifa watamchukia"
" Bali kwao wakemeao furaha itakuwako; Na baraka ya kufanikiwa itawajilia"

Haya si maneno yangu, ila kwa baadhi yetu hapa yametugusa. Kwa nini kuwa mkali ikiwa haya ni maneno yasisiyo na uhai. Ila ni juavyo mimi ni kwamba " Kila maandiko yenye pumzi ya Bwana yafaa kwa maarifa" na Bwana hulitazama neno lake na kulitimiza,... maana Yeye si mwanadamu hata akaseme uongo.
 
My fried,

Your just wasting time. Siasa na dini nani alikudanganya kama zinapikika chungu kimoja. Kama wewe ni mpiganaji mahili wa Mungu, basi hujui hata adui wako ni nani. Rudi kwanza kambini ukajifunze na kuelewa adui yako ni nani. Utazeeka mapema fight wrong enemy. Hapa ni jukwaa la siasa, ndiyo maana hata JF waliliona hilo. By the way, who are you?. Who gave you the right to bash people with this nonsensical argument. We don't need a dog's dinner.
 
Mithali 24:24-25 "Amwambiaye mtu mwovu, Wewe una haki; Kabila za watu watamlaani, taifa watamchukia"
" Bali kwao wakemeao furaha itakuwako; Na baraka ya kufanikiwa itawajilia"

Haya si maneno yangu, ila kwa baadhi yetu hapa yametugusa. Kwa nini kuwa mkali ikiwa haya ni maneno yasisiyo na uhai. Ila ni juavyo mimi ni kwamba " Kila maandiko yenye pumzi ya Bwana yafaa kwa maarifa" na Bwana hulitazama neno lake na kulitimiza,... maana Yeye si mwanadamu hata akaseme uongo.
Kama umefundishwa au unaamini siasa za Tanzania ni maono ya kanisa lako basi kanisa lako linahitaji maombi.
 
Wana JF Wenzangu,

Nimetafakari sana juu ya tutokapo,tulipo na tuendapo na kufikia hitimisho kuwa unahitaji kuwa na akili za mwendawazimu kuishabikia CCM na kuwa mwanachama wa CCM. Nimefikia hitimisho hilo kwa kuwa CCM imekuwa ikihubiri kuleta maendeleo mengi lakini kiuhalisia kinachohubiriwa nao hakilingammi kabisa na rasilimali za nchi hii zilizotumika. Mbaya zaidi, mimi kama mzazi nitasikitika siku zote na sitapenda kuona kuwa familia yangu inakosa mkate wa kila siku kwa mimi kushindwa kutimiza jukumu langu hilo.

Kwa sasa hivi, chini ya utawala huu wa CCM imekuwa kawaida kwa wafanyakazi wa serikali hasa wale wanaolipwa kima cha chini kushinda njaa mchana wakati wakiwa kazini kwa sababu malipo ya ujira wanayopewa hayatoshelezi kwa wao kukidhi haja ya kula mchana na wakati huohuo kuhudumia familia. Ninajiuliza, ni mafanikio gani utakwenda mbele ya jukwaa uanze kutamba nayo wakati nyumbani kwako watu hawapati milo mitatu kama ilivyo kawaida?

Ushahidi na utafiti nilioufanya ni kwamba katika maofisi mengi ya umma hasa hapa Dar es Salaam wafanyakazi wengi ambao hulipwa kima cha chini mchana kwao wanapitisha bila kutia kitu chochote tumbo, si kama wanapenda, la hasha ni kutokana na kiasi kidogo cha ujira wanachopata,ninajiuliza, kweli ndani ya miaka 50+ ya uhuru mfanyakazi wako anashinda njaa kwa sababu ya ujira mdogo, halafu bado unajitokeza mbele ya jukwaa na kujigamba kwamba umethubutu, umeweza na sasa unasonga mbele? Ni mwendawazimu tu ndiye atayakubali maneno haya na kejeli hizi,ndiyo maana mimi huwaona siku zote wanaoishabikia na wanachama wa CCM wote kwamba ni wendawazimu
 
Back
Top Bottom