tunasubiri kakaMkubwa hii ni process ndefu sana za kuiba hela benki,kwanza huwa wanatengeneza VIRUS wao huyu VIRUS hu2mwa kwenye computer mbalimbali kwahyo sasa mtu akiwa ananunua vitu ONLINE lazma ata2mia KADI YA BENKI kununulia hvyo v2 sasa huyo virus kama yupo kwenye computer basi atapeleka mawasiliano ya ile account yako na hvyo basi hela zote za benk ztakuwa zmechukuliwa au kuhamishwa kwenye account nyngne,hapa nina maelezo mengi sana kama vp nitaweka maelezo hapa ujue jinsi wataalam wa mambo ya IT wa nchi za wenzetu wanavyoiba kweny online.
ASANTE SANA MKUU.
tunasubiri kaka
Ofcourse hata kuiba hizo information kutoka kwenye magnetic strip (kunahitajika program), ila sio kwamba kuiba lazima uwe programmer ni kwamba wanaotengeneza wanaweza kuwauzia wengine (lakini suala la kuiba information peke yake kumepungua sana baada ya benki zinazotoa credit cards kuweka security zaidi (kama ulazima wa kutumia pin number as well as credit card number n.k.)Sun wu sante kwa ufafanuzi wa kina.mie nilijua hii issue wanaoiba ni wataalamu wa program,programmer nikiwa na imani kabisa kwamba chochote kinachotengenzwa na binaadamu,hakimshindi mwingine.