Hivi wamarekani wamelogwa?

HorsePower

JF-Expert Member
Aug 22, 2008
3,612
2,566
Aibu ya Mwanajeshi wa Marekani Apakatwa, Anyonywa Ndimi na Mwanaume Mwenzake

Source: Nifahamishe

6290102.jpg
Mwanajeshi wa Marekani akiliwa denda na mwanaume mwenzake
Wednesday, February 29, 2012 2:51 AM
Picha ya mwanajeshi wa Marekani aliyetoka kwenye vita vya Afghanistan akikaribishwa Marekani kwa kunyonyana ndimi na mwanaume mwenzake huku akiwa amepakatwa imekuwa gumzo duniani.

Mwanajeshi huyo mwenye cheo cha Sajenti aliyejulikana kwa jina la Brandon Morgan aliruka na kutua kwenye kifua cha mpenzi wake mwanaume mwenzake na kumkumbatia na kuanza kunyonyana ndimi live live bila chenga.

Tukio hilo lilitokea nchini Marekani wakati wa sherehe za kuwakaribisha nyumbani wanajeshi wa Marekani waliokuwa wakipagana vita dhidi ya Taliban nchini Afghanistan.

Picha ya sajenti Morgan akiwa amemdandia mpenzi wake wa kiume akinyonyana naye ndimi imekuwa gumzo kubwa sana duniani.

Sajenti Morgan ambaye ni mkazi wa California hajakasirishwa na kusambaa kwa picha hiyo na badala yake amewashukuru baadhi ya watu waliompongeza na kuwatakia maisha mema yeye na mpenzi wake wa kiume.

Sheria ya Marekani ya kupiga vita ushoga na usagaji ilifutwa miezi mitano iliyopita hivyo kuwapa nafasi mashoga na wasagaji kujitangaza wazi bila woga.

Angalia picha ya sajenti Morgan akinyonyana ndimi na mpenzi wake ambaye ni mwanaume mwenzake.
 
duh, na hizi twita na fesibuku watoto wetu wa kiume watapona kweli?

Ee Mungu tuepushe!
 
Unaona ajabu gani wakati wao wamehalalisha na wako free to express their selves
 
mbona haya mambo yako dunia nzima? wala sio ya kushangaza tena!

Kama Watanzania na wazalendo wenye nia ya dhati ya kudumisha utamaduni wetu na mila zetu, huku tukimuogopa Mungu, nafikiri tuna kila sababu ya kuyashangaa mambo haya na kuyapinga kwa vitendo na kwa nguvu zote. Tunaelekea wapi ndugu zangu?
 
Kweli nyani haoni kundule.
Tanzania kuna wassenge na Mabasha kibao uzuri ni mmoja tu usenge ni nadra kuonyeswa hadharani.
Kuna waheshimiwa wengi na hadhi zao kubwa katika umma ni wassenge, mabasha na wengine wanafanya na kufanyizwa.

Usenge si tatizo la Marekani tu lipo kila nchi.

Hapa Marekani wameliweka wazi kutokana na kiwango cha maendeleo walichofikia.
Tukifika hapo walipo au uchumi wetu ukikuwa kidogo tu ni wazi tutanza kuongelea jambo hilo wazi wazi.

Ona jinsi tunavyoiga kila jambo.
Vijana wanaonyesha chupi kwa kuvaa mlegezeo sasa wengi tunaona poa tu.

Mazungumzo ya kisenge ya kumnyonya denda dume mwenzio yapo kila kona hapo Dar, kama ni utani au malumano mimi sijui. Nijuacho kasi yetu ya uwazi ni kubwa sidhani hata 2020 itafika kabla hatujaona njemba imewekwa Uhouse na njemba nyingine.
 
Tunaweza kujifanya tunashangaa,lakini hapa kwetu nyumbani haya pia yapo jabu hayajionyeshi sana kama hiyo picha.
Nenda Tanga na Zanzibar hivi vitu vipo na hawa watu ni ndugu na jamaa zetu.With globalisation and the world being in our finger tips,i wonder how our children gona survive this.Just wondering
 
ukitaka kujua ni ya kushangaza,
mkute mtoto wako wa kiume kapakatwa.

Kongosho kwa hilo jibu nakupa mia haya mambo ya kushangaza na yataendelea kuwa ya kushangaza japo watu wanataka tuamini ya kawaida.
Laiti ningekuwa mtawala ningepitisha sheria kali ya kuwathibiti
 
Kama Watanzania na wazalendo wenye nia ya dhati ya kudumisha utamaduni wetu na mila zetu, huku tukimuogopa Mungu, nafikiri tuna kila sababu ya kuyashangaa mambo haya na kuyapinga kwa vitendo na kwa nguvu zote. Tunaelekea wapi ndugu zangu?

ni kwel usemayo.2muogope mungu na kukemea ushoga na usagaj
 
Kweli nyani haoni kundule.
Tanzania kuna wassenge na Mabasha kibao uzuri ni mmoja tu usenge ni nadra kuonyeswa hadharani.
Kuna waheshimiwa wengi na hadhi zao kubwa katika umma ni wassenge, mabasha na wengine wanafanya na kufanyizwa.

Usenge si tatizo la Marekani tu lipo kila nchi.

Kwahiyo unawatetea!!!!

Hapa Marekani wameliweka wazi kutokana na kiwango cha maendeleo walichofikia.
Tukifika hapo walipo au uchumi wetu ukikuwa kidogo tu ni wazi tutanza kuongelea jambo hilo wazi wazi.

Kwahiyo unataka kusema kwamba hili dubwana ni kilelezo cha maendeleo????????? Tobaaaaaa! Tutawajua kwa kauli zao tu, si dalili ya mvua ni............Wanaopenda utawaona tu maandishi yao. Upone katika jina la YESU.

Ona jinsi tunavyoiga kila jambo.
Vijana wanaonyesha chupi kwa kuvaa mlegezeo sasa wengi tunaona poa tu.

Mazungumzo ya kisenge ya kumnyonya denda dume mwenzio yapo kila kona hapo Dar, kama ni utani au malumano mimi sijui. Nijuacho kasi yetu ya uwazi ni kubwa sidhani hata 2020 itafika kabla hatujaona njemba imewekwa Uhouse na njemba nyingine.

God forbid by fire and water...
 
Kwahiyo unawatetea!!!!

Kwahiyo unataka kusema kwamba hili dubwana ni kilelezo cha maendeleo????????? Tobaaaaaa! Tutawajua kwa kauli zao tu, si dalili ya mvua ni............Wanaopenda utawaona tu maandishi yao. Upone katika jina la YESU.

God forbid by fire and water...
Hahahahah... fire and water?...primitive.....:iamwithstupid:
 
Tunaweza kujifanya tunashangaa,lakini hapa kwetu nyumbani haya pia yapo jabu hayajionyeshi sana kama hiyo picha.
Nenda Tanga na Zanzibar hivi vitu vipo na hawa watu ni ndugu na jamaa zetu.With globalisation and the world being in our finger tips,i wonder how our children gona survive this.Just wondering
If we stand firm watanusurika lakini tukiona aibu kuonyesha msimamu wetu , wamekwisha! The Americans claim wana dini, waheshimiwa wao wakijulikana wana nyumba ndogo it costs them dearly lakini hili poa kabisa!!! Mabingwa wa 'double standards'! Yarabi tunusuru na vizazi vyetu!!
 
Siungi mkono lakini mwanzisha mada ajue kuwa kila watu wana mambo yao ambayo huwashangaza wengine. Kuna wamarekani wengi ambao ukiwaambia namna serikali yetu inavyoongoza huku wananchi tukiwa kimya hujiuliza ikiwa kuna hata mmoja wetu ana ubongo.

View attachment 48931

Huyu ni Ahmadinejad, Rais wa Iran. Ipo siku nitakuletea ya hapa hapa nyumbani ambapo hutaamini kugundua kuwa hata baadhi ya viongozi wa serikali y.....
 
Back
Top Bottom