Hivi wale Mbwa wa Victoria wanang'ata?

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
Mwenyekujua..naomba anisaidie.je wanafugika kweli?mbona naskia ukimnunua baada ya siku3 unamkuta tena pale victoria anauzwa?ni hayo tu.mia
 
Kuna watu wajinga kweli vingunguti wanakuuzia mbwa halafu wanakuja usiku kumwiba.

wale wa vigunguti siyo.kuna mbwa nlimpata pale kijiwe samli nilivyokuwa nampa msosi kakimbia kaniacha.mi nahitaji wale wa pale victoria.vipi?mia
 
wale wa vigunguti siyo.kuna mbwa nlimpata pale kijiwe samli nilivyokuwa nampa msosi kakimbia kaniacha.mi nahitaji wale wa pale victoria.vipi?mia

Hao wa Victoria ni kwa ajili ya kitoweo, wakati uwanja wa taifa unajengwa biashara ilikua nzuri sana pale. Mia
 
Back
Top Bottom