Hivi wakina dada KIVAZI cha aina hii huwa mnashindaje nacho?!!

Kwa sababu yeye tu kasema kwenye JF,
mbona wanaume wengi tu wanayafanya.
Kuna mitandao na groups flani watu wakielelezea hayo wanayofanya waume zao huko vyumbani.
Tena wabongo wenzetu kabisaaaa!
Wengine wanajaribu hadi nguo za harusi za wake zao.

Hapo umenena mkuu, unawezakuta hata bosi wako ofisini kavaa suti kumbe ndani ka2pia kivazi cha mkewe.
 
Sasa na huo mzigo wa mbele uliuwekaje?
Mana zile special kwa flat screen, sasa huo mbinuko wa mbele si umeichana itakuawa, or?
Watu wanafanya lkn huwa nyumbani tu, wkt wa matani ya mapenzi, ila ww mpk kazini!?
Mh! I can smell smthng.......................
 
Yap!lengo ni kumfanya mwenzio atabasam tu si vinginevyo,hapa ndio utasikia mtot wa kike anamsifu mpenziwe kwa kusema mpenzi wangu mtundu...utundu wenyewe ndio vijimambo kama hivyo nyie wakaka msichukulie kila kitu serious bana aaah!

Well said!!
nakubaliana na ww 100%
 
Sasa na huo mzigo wa mbele uliuwekaje?
Mana zile special kwa flat screen, sasa huo mbinuko wa mbele si umeichana itakuawa, or?
Watu wanafanya lkn huwa nyumbani tu, wkt wa matani ya mapenzi, ila ww mpk kazini!?
Mh! I can smell smthng.......................

Mbaya zaidi nlikua napata wakati mgumu!! masista duu wakikatisha.
mimi ni mzee wa kuvisosomola vibinti vya shule najiamini. so dont smell anything .........
 
hakuna upingano kati ya kukuachia dadangu na wewe kugawa fuko la mbolea.
Yote yanawezekana at per!

Kumbe unakubali kwamba nikimkamata dada ako nitamfanya hakuna sasa mbn unaleta ligi!!
 
Back
Top Bottom