bernardp
JF-Expert Member
- Mar 23, 2009
- 619
- 918
Ukikutana nao nje ya nchi wana confidence za kufa mtu. wakiwa kwao hawataki longo longo na kama hawaelewani watapigana mikwaju kisha wanadeliver
Tazama KTN au KBC picha ziko clear, news zimetulia, watangazaji wametulia
Soma gazeti la NATION au Standard...huwezi fananisha na lile gazeti la Michuzi (daily nyuz) au lile la copy and paste (guardian)
sisi tuna watu wengi zaidi, rasili mali nyingi zaidi, wanasiasa wengi zaidi, vyama vya siasa vingi zaidi, magazeti mengi zaidi, JF ndio zaidi, cabinet yetu kubwa kuliko ya kwao, katiba yao (na mahakama ya kadhi ndani) ndio walipitisha, sasa kwa nini hawa wana deliver na sisi hatuna kitu?
I've tried to hate them lakini nimeshindwa, cant hate their ambition esp based on their national interest.
Halafu wao kujenga li Superhighway kama hili ili iweje?
ahh sisi hata kuthubutu tunashindwa sijui kwa nini
Wao wakiahidiwa barabara isipojengwa lazima atoswe mtu. Sie ahadi zinajirudia bila kufanyiwa kazi....
Bila kuingoa CCM, hapa hakuna kitu kitafanyika..