Hivi wakati mwingine huwa tunalaumu wanaume pasipo kujua?

mnh nahisi ningemrudisha kwao usiku huo huo...huyo ni shetani kabisaaa asije sambaratisha familia yangu.:smow:
 
Huwa hatuna ujanja wanaume kwa hilo,sio mfanya kazi tu hata mke wa ndoa utakuta ana mizizi kibao lengo ni kumshika mume asikolome wala kuwa na sauti
ki ukweli mume wa mtu anabahati sana la sivyo alikuwa kifungoni mda si mrefu
 
Upo sana....ningekua mshirika ningekufanyia jaribio uone maajabu!!!

Hauna mtu unayemfahamu ambaye ni mshirikina? Kama yupo hebu mwambie kuna jamaa mmoja mbishi sana....eti anabisha uchawi upo....hebu mjaribu kidogo aone.....lol
 
Hauna mtu unayemfahamu ambaye ni mshirikina? Kama yupo hebu mwambie kuna jamaa mmoja mbishi sana....eti anabisha uchawi upo....hebu mjaribu kidogo aone.....lol
Mhhh will have to ask around...
Nikimpata anajipendekeza kwanza kwako alafu ukimtolea nje ndo anaenda kuyakoroga....siku anakiachia hata hutotaka kumuacha tena!!!JIANDAE!
 
duh kumbe tunawindwa kiasi hicho jamani...
Jamani nimeanza kuuliza hilo swali baada yakuona kisa na mkasa sehemu today nikiwa nimefika tu home nikitokea church...Binti wa kazi kumbe katoka kwao kwa shughuli maalum ,,
Katika kupanga panga nguo zake mara madubwasha yakadondoka...kalikuwepo katoto ka 5 yrs chumbani na dada wa kazi kakamuuliza dada nini hii..Binti kamwambia ni dawa za tumbo mara mtoto akamwita mama yake aje kuona ...mama kuingia chumbani aliyoyakuta kapigwa butwaa kitanda kimejaa mavitu ya ajabu si vibuyu ,,...si miti ya aina mbali mbali..madude meusi ya kutisha mama kachanganyikiwa ...
kaita majirani msichana wa kazi kaanza kulia anaulizwa kwa nini katembea na miti shamba kagoma kusema alipotishiwa sana kama anapelekwa police ndipo aliposema mama yake kamwambia aangalie kama mme wa huyo mama ana uwezo aanze kuogea dawa na zingine aangalie mama akiwa hayupo ajitahidi kumuwekea baba kwenye chakula anachokula ili baba amwache mkewe binti aolewe..
Na kama baba atakuwa hana uwezo atafute sehemu nyingine .....mama wa watu kumuuliza binti kama alishaanza kumuwekea mmewe kakataa kata kata eti ndo alikuwa anataka kuanza ..

Hii kesi bado inaendelea kwa mama wa binti kutafutwa... swali ....

1. Hivi kumbe kuna mambo yanayoendelea pasipo nyie kujitambua ?
2.Kina mama inabidi tuwaombee waume zetu sana
3.Ni lazima kukagua mabegi ya mabinti zetu wakifika??
4..Hivi haya mambo ya ukalumanzira yapo ??

Ooooops!!
 
Ahimidiwe Mungu aishie na kumiliki. Watoto wa kazi ni hatari. Wengine unapowaacha nyumbani wanajifanya ndo wamiliki wa nyumba. Ukiwaachia watoto wadogo hasa wa kiume wanaanza kumshikashika na kumchezea mtoto DUDU yake hadi mtoto anashikwa na ule ugonjwa wa kutahiriwa angali akiwa mdogo sana. Fanya uchunguzi utapata majibu.
 
Huwa hatuna ujanja wanaume kwa hilo,sio mfanya kazi tu hata mke wa ndoa utakuta ana mizizi kibao lengo ni kumshika mume asikolome wala kuwa na sauti
ki ukweli mume wa mtu anabahati sana la sivyo alikuwa kifungoni mda si mrefu
 
Mi nadhan wababa ndo tusali sana maana unaweza kuja kushikwa na kamwanamke ka ajabu ajabu, ujajikuta umemtosa mamsapu wako wa ukwel. Ipite mbali.
 
Jamani nimeanza kuuliza hilo swali baada yakuona kisa na mkasa sehemu today nikiwa nimefika tu home nikitokea church...Binti wa kazi kumbe katoka kwao kwa shughuli maalum ,,
Katika kupanga panga nguo zake mara madubwasha yakadondoka...kalikuwepo katoto ka 5 yrs chumbani na dada wa kazi kakamuuliza dada nini hii..Binti kamwambia ni dawa za tumbo mara mtoto akamwita mama yake aje kuona ...mama kuingia chumbani aliyoyakuta kapigwa butwaa kitanda kimejaa mavitu ya ajabu si vibuyu ,,...si miti ya aina mbali mbali..madude meusi ya kutisha mama kachanganyikiwa ...
kaita majirani msichana wa kazi kaanza kulia anaulizwa kwa nini katembea na miti shamba kagoma kusema alipotishiwa sana kama anapelekwa police ndipo aliposema mama yake kamwambia aangalie kama mme wa huyo mama ana uwezo aanze kuogea dawa na zingine aangalie mama akiwa hayupo ajitahidi kumuwekea baba kwenye chakula anachokula ili baba amwache mkewe binti aolewe..
Na kama baba atakuwa hana uwezo atafute sehemu nyingine .....mama wa watu kumuuliza binti kama alishaanza kumuwekea mmewe kakataa kata kata eti ndo alikuwa anataka kuanza ..

Hii kesi bado inaendelea kwa mama wa binti kutafutwa... swali ....

1. Hivi kumbe kuna mambo yanayoendelea pasipo nyie kujitambua ?
2.Kina mama inabidi tuwaombee waume zetu sana
3.Ni lazima kukagua mabegi ya mabinti zetu wakifika??
4..Hivi haya mambo ya ukalumanzira yapo ??

Ooooops!!

...Amen, amen 1stLady, pheeewwww!

unajua haya mambo sio hawa housemaids peke yao,
hata huko 'nyumba ndogo' unadhani inakuwaje?
Wanatuloga kweli hawa watu... heri tu mtuombee enyi wake zetu wapendwa.

Angalia IMF chief Dominique Strauss-Kahn nae alivyoponzeka maskini,
arrrghhhh,....huu uchawi umeenea sana duniani!
 
Loh....eti wanawaloga....mmepata kisingizio kipya sasa eehhhh??
 
Wanawaroga kwa mengi, si mitishamba tu; na mitego midogo midogo, kujipitishapitisha, utani utani; kuwabania pua;...the list goes, mpaka mnaingia line!

...Amen, amen 1stLady, pheeewwww!

unajua haya mambo sio hawa housemaids peke yao,
hata huko 'nyumba ndogo' unadhani inakuwaje?
Wanatuloga kweli hawa watu... heri tu mtuombee enyi wake zetu wapendwa.

Angalia IMF chief Dominique Strauss-Kahn nae alivyoponzeka maskini,
arrrghhhh,....huu uchawi umeenea sana duniani!
 
Wanawaroga kwa mengi, si mitishamba tu; na mitego midogo midogo, kujipitishapitisha, utani utani; kuwabania pua;...the list goes, mpaka mnaingia line!

...umeona eeh?...yaani hayakwepeki! ...hata nikiziba macho nisiyaone :A S 109: kwa sauti 'namsikia...!'
Kama huko ni 'kulogwa,' mimi yalishanikolea :A S-confused1:
Hamna cha mzizi, kibuyu wala tunguli. Wamwache tu binti wa watu adumishe 'mila za kwao.'
 
First Lady 1, please forgive me kwa urefu wa post….

Inasikitisha sana mambo ambayo yanatokea katika jamii na hasa katika ndoa… Imekua ni mtihani kwa kweli… Sijui kama nitakua natoka off topic (sorry – kueleweka nataka nidadafue the way naelewa).

Kutokana na ukweli kua maisha yamebadilika sana in every level hivyo kupanda kwa gharama kila sehemu ugusayo hasa ukitaka kitu quality ili kupata huduma ya uhakika iwe education, malazi/makazi, matibabu, chakula, - facts zinazofanya wenza wote wawili mujishulishe hivyo kama mna watoto mnamtafuta binti wa kuwasaidia… Tatizo ndo linakuja hapo.. NDIO akina dada tuko busy saaana lakini jamani are we so busy to the extent huwezi nyanyua kidole hata kidogo??? – Nauliza/nasema hivi in the sense kua NDIO Msichana wako anakupa support katika kuendesha/kuangalia nyumba lakini je kuna haja ya kumpa full access kwa mumeo… kwa mtazamo wangu wadada/mama wengine huyataka mambo kama haya ya kwenye thread hii kuwatokea tokana na the way anendesha mambo yao katika ndoa yake….

Kwanini umpe msichana wako FULL ACCESS kwa mumeo???? Ladies if you love your man and proud of him at all cost minimize vitu/mambo yawezao kumshawishi (akina mama tuna njia tofauti hii ni kwa wale wataoona I am right) … Kama Speaker alivyosema katika moja ya post.. “Never let your man’s mind wander .... ” Hivyo akina dada/mama tujiulize je wewe personaly umempa msichana wako (maarufu kwa house girl) Full Acces OR No Access kwa mumeo???
FULL ACCESS

Anaingia chumbani kwenu (eti kufanya usafi…lol!) na worse enough yeye ndo anatandika kitanda ambacho wewe na hubby mnajimwaya; Anapika mwenyewe (si mbaya sana) but worse enough yeye ndo anaandaa chakula na kumkaribisha hubby mezani..; Anampokea mizigo akifika – in other words mumeo anatangulia kufika kabla yako kila siku (bad news - kwa wale ambao iko nje ya uwezo …); Ndio afue nguo (for maybe you have no time) but ziwahi hakuna haja ya hubby kuulizia soksi ikowapi which at the end of the day atamfuata binti kumuuliza mana anajua wazi hufui wewe…. Etc.

NO ACCESS
Huna nafasi ya kupika, but unahakikisha umekagua chakula, umeandaa mwenyewe na umemkaribisha mwenyewe mezani, Ndio nguo hafui but at least anahakiki zimetakata zimenyoshwa vizuri na zinarudishwa room kabla hubby hajazimiss..; Ana hakikisha kila mumewe anpokuwepo nyumbani yupo tayari home' labda in rare cases plus kujitahidi kurudi kabla ya the hubby… etc. Kwa ufupi kutojenga mazingira ya wao kuwa karibu…. House girl awe karibu na watoto…. BUT not the husband

Note; Wanaume hawalindiki hasa akiwa na nia but at least ikitokea utasema "I tried my best but he is just a Ba****"

Namuonea ghere mumeo jamani!! hongera Dada nawe yaishi kweli haya uliyoyanena hapa tafadhari
 
wanaume na nyinyi mambo mengine ya ndani muwe mnafanya,heee.mambo ni kusaidiana jamani
 
Namuonea ghere mumeo jamani!! hongera Dada nawe yaishi kweli haya uliyoyanena hapa tafadhari

Mulama asante kaka.... Nashukuru lakini kama ujuavyo kuongea ni rahisi.... kuprove waweza nitembelea kwangu...lol... (kidding)... enways thankyou....
 
Sisi wanaume tunawindwa sana kila kona!nani mwili huu!limbwata sisi,mahouse gal sisi,nyumba ndogo ni sisi,walioko mtaani wanatutamani sisi jamani tutakuwa wageni wanani?

Ha haaa nakwambia mbona mtagawanywa! Maskini kumbe saingine sio nyinyi.
 
Hapo sikuungi mkono, kuna vitu ambavyo ndani ya nyumba haviepukiki hata kama utakua mke mzuri kwa mumeo na maanisha unafanya kila kitu. Mfano uko kazini ukamwambia dada uspike ntakuja kupika then ikatokea na mifoleni isiyoeleweka utaacha watoto na baba yao walale na njaa mpaka urudi? Au umesafiri kikakazi siku tatu tu, utamwambia mumeo ale hotel mpaka urudi? Ukiwepo sawa unaweza fanya vyote lakini bado tu kunavitu utakuta dada kavifanya bila kuagizwa, mfano mume anaweza muomba dada maji ya kunywa haupo hapo unazuiaje labda. Kumbuka wachawi huwa wana act wazuri sana na wapole wenye adabu tele, tena anakuanzia wewe mwenyewe anakupiga limbwata unampendaa na unamwamini kuliko ndugu yako pengine hata huyo mume, akiku win wewe, sasa hapo ndo anamaliza mambo yake yalo mleta. Cha muhim hapo nikumshirikisha mungu tu ili unapopata msichana wa kazi awe anamjua mungu pia. Thanks.
 
Mamushka ; dharula zipo na kama weye ni mke wa aina dada Asha alyemsema hili la dharula halitakuwa hatarishi upande wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom